upinzani

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani Hatua za kushika dola zinahitaji agenda inayoeleweka kwa watu

    Nawasalimu wana JF, Poleni na Majukumu. Baada ya salamu naomba niwasilishe uchambuzi wangu mfupi kwenu juu ya vuguvugu la siasa linaloendelea kwa sasa wakati tunapoelekea Oktoba 28, Nitagusia siasa za upinzani, Kupitia andiko hili lazima nikiri kuwa Upinzani ni kichocheo cha maendeleo hapa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

    Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani bado wana mentality ya kujaza umati ndiyo kukubalika

    Wasalaam, The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa. CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na...
  4. JamiiForums Tanzania Propaganda za CCM kuwa Upinzani umekufa Tanzania aibu yao

    Kweli kwa mwendo huu upinzani umekufa Tanzania?Au walikuwa wanaota ndoto za mchana.
  5. JamiiForums Tanzania CCM mkiwa mnajiandaa kuwa Chama cha Upinzani

    CCM jiandaemi kuwa Chama cha Upinzani, muone raha ya kugaiwa ruzuku na Serikali iliyo madarakani. Kwa kuheshimu katiba ya nchi sidhani kama mtazuiliwa kufanya siasa lakini mjiandae vyombo vya dola kuwaona kama raia wa kawaida. Msione ajabu nusu ya wasanii kuunga mkono upinzani kwani hatimae...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kusema Wagombea wa Upinzani wasiwachafue wagombea wa chama tawala una lengo la kutaka kuwatisha

    Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao. Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu. Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
  8. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukandamizwa sana kwanini wanachama wa upinzani nchini Tanzania bado wamejawa na furaha tele?

    Hili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe. Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile, wameteswa , wamepotezwa, wamepigwa risasi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama chama kikuu cha upinzani uwezo wake ni kugombea kwenye majimbo 163 kati ya 214 yaliyopo kuna haja ya wapinzani kushirikiana!

    Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50. Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara. Hivyo basi uwezekano wa CHADEMA kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeshawishiwa, nimeshawishika na kukubali kuwa Tundu Lissu ni mgombea sahihi wa Upinzani mwaka huu

    Si siri humu Jamvini kuwa mimi ni kada mwandamizi wa CCM. Nimekuwa ndani ya CCM kwa zaidi ya miaka arobaini. Nimeshuhudia chaguzi nyingi za nchi hii kuanzia zile za chama kimoja na hata za vyama vingi. Nimejionea wagombea na nimesikia sera zao kwa miongo kadhaa. Kuna chaguzi zilikuwa na wagombea...
  11. JamiiForums Tanzania Wastani wa makusanyo ni Tsh. tril. 1 kwa mwezi, mishahara ya Watumishi karibu bilioni 700 kwa mwezi. Hata Rais atoke upinzani bado tuna safari ndefu

    Tuseme ukweli tu,hii nchi bado makusanyo ya mapato yako chini sana japo, serikali inajitahidi kuyaongeza. Ifike mahali Bunge litimize majukumu yake katika kuishauri Serikali itakayokuwepo madarakani 2020 na pia wananchi wayajue majuku yao katika kuchangia maendeleo na pia katika kuongeza pato...
  12. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

    Leo nilibahatika kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini. 1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu 2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa 3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hili nimejifunza kuwa upinzani wanamkubali sana Rais Magufuli, sema tu neno Upinzani linawafanya wasikiri hilo

    Nimefuatilia kwa makini mikutano yote ya Halmashauri Kuu na Mikutano Mikuu ya vyama vya upinzani particularly CHADEMA na ACT-Wazalendo nikapata funzo kubwa, kuwa za kuambiwa nichanganye na zangu kwa sababu hawa jamaa wanamkubali sana Rais Magufuli katika mambo mengi ila tu hawataki kusema kwa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani kuna hizi hapa kura za bure msiziache

    Moja ya makundi yaliyojeruhiwa kimaslahi kwa hii miaka 5 iliyopita ni kundi la Wafanyakazi wa Umma. Bila ongezeko la mshahara, ambalo lilikuwepo kisheria, kila mfanyakazi wa umma amejikuta akipoteza maslahi ya kutosha. Kwa mfano binafsi, mwaka 2015 nilikuwa nina annual increment ya shilingi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani watoe Ilani zao za Uchaguzi yaani “Election Manifesto" acheni porojo hazina Tija

    Ilani ya Uchaguzi au kwa kiingereza huitwa Election Manifesto ni kabrasha litolewalo na chama cha siasa ambalo limesheeni mawazo na sera zote. Mara nyingi chama cha siasa kikishinda uchaguzi huweza kupimwa mafanikio yake kutokana na utekelezwaji wa ilani yake ya uchaguzi. Kwa miaka mitano...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi upinzani ukichukua nchi Vyombo vya Habari na Wasanii wa Tanzania watakimbizia wapi nyuso zao?

    Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana. Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea wa Urais kutoka upinzani kimsingi wanaruhusiwa kutoa ahadi za miradi na misaada mbalimbali nchini, kama anavyofanya Magufuli

    Imekuwa ni kawaida kumsikia Rais Magufuli akitoa ahadi mbalimbali anapokuwa katika ziara nchini. Ahadi hizi ni za misaada na miradi mbalimbali ambayo utekelezaji wake utafanyika baada ya uchaguzi wa 2020. KImsingi, unaweza kujiuliza, iweje Rais Magufuli atoe ahadi hizo wakati hatujui nani...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Kitanzi dhidi ya Wagombea wa Upinzani kimefichwa ndani ya Kanuni za Uchaguzi 2020

    Kwa jicho la uchambuzi hebu angalia kanuni hii: 30.-(1) Subject to the provisions of the Act, the Director of Elections, Registrar of Political Parties, Returning Officer, Attorney General or a candidate for Parliamentary election may lodge an objection of the nomination of any Parliamentary...
  19. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Masasi CCM msipokuwa makini linaenda Upinzani

    Habari zenu wakuu. Jimbo la Masasi ambalo lilikuwa chini ya mbunge Dkt Chuachua! Kwenye kura za maoni Dr chuachua alipigwa chini na mwambe ambaye anaonekana ana ushawishi mkubwa sio kwa wajumbe lakini pia ni kipenzi cha wananchi! Katika uchunguzi wangu nimengundua hili CCM isipokuwa makini...
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe maalumu kwa vyama makini vya Upinzani hasa ACTWazalendo na CHADEMA kuelekea Oktoba, 2020

    Mada inahusika. Napenda kuwapa ujumbe huu maalum kwenu mkiona inafaa kuuzingatia kuelekea uchaguzi wa Oktoba, 2020. i. Senario za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na kilichotokea , ziwape mbinu mia moja zaidi mbele kuhakikisha mnakwepa mitego yote ya CCM, NEC, ZEC na mawakala wao ndani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…