upinzani

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua upinzani kutatokea vita. Anatakiwa kuitwa kwenye Kamati ya Maadili

    Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukimchagua mpinzani kutatokea vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake.
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hawako serious kabisa kuiongoza nchi, sijui ni uvivu ama la

    Habarini Katika kutafakari tutafikaje 28 october, likanijia hili wazo tena fikra za kuanzia at family level Kwenye familia, vikao vya kifamilia vikikaa yule mwenye uafadhali kimaisha ndie mara nyingi anakuwa anasikilizwa na kupewa majukumu ya kiuongozi the same as katika ukoo Kwenye ubunge...
  3. JamiiForums Tanzania Bila umakini itachukuwa muda mrefu na inaweza ikawa mrefu sana kwa upinzani kuiondoa CCM madarakani

    Wana Bodi leo ninakuja na uzi fikirishi kwa kupinga dhana ya kuiondoa madarakani kiuwepese wepesi na kimzaha mzaha bila kuwa na strategic Movement ambayo itakuwa na proper focus ya kitu gani kinatakiwa kufanyika kuweza kufikia hilo lengo. Kwanza upinzani bado wengi wao hawajatambua kuwa CCM ni...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani waitumie rasimu ya Jaji Warioba kuisoma hadharani ili kutoa mawazo hasi kwamba mapendekezo ya ilani zao ni mawazo yao binafsi

    Nimeipitia kwa mhutasali rasimu ya jaji warioba, Ni nzuri na imebeba mawazo halisi ya wananchi, nikagundua, ila za vyama makini vya upinzani vimekopy KUTOKA rasimu ya Jaji Warioba. Nashauri wapinzani kuisoma Tena hadharani ili wananchi wakumbushwe tu kuwa, rasmu ya katiba mpya ni nzuri kiasi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema vyama vya Upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar. Zitto ameongeza kuwa Oktoba 3, 2020 watatangaza ni nani hasa atasimama kama Mgombea Urais...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

    Hapa JF tunapigana vijembe na hasa watu wa CHDEMA wakijaribu kuonesha kwamba wao wako fit kuliko CCM na kwa ujumla hawazungumzii vyama vingine utadhani kweli nchi hii ni ya CCM na CDM. CCM wana udhaifu wa kuwa na viongozi ambao wanahangaikia kuiba na kujitajilisha na chama kuwa maficho ya watu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mr. Much know na Kachero waamsha wenge upinzani: Vurugu zimeanza tayari

    Wanabodi, Tujiandae kusikia chochote kutoka kwenye viunga vya siasa za Upinzani. Bundi ametua kwenye mti wa mzambarau halafu akaruka na kwenda kutua mti wa msumbawanga (taja kabila). Kule kwenye mti wa mzambarau, kachero hashikiki hatamaniki. Unaambiwa amevimba Kama koboko. Kasema Kama mbwai...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya nchi yetu, hakuna dalili yoyote ya upinzani kushinda Urais, hata kama hakutakuwa na faulo

    Wana wema wa MUNGU. Ni ukweli ambao kwa wengine utawaumiza, na wengine utawafurahisha, lakini hakuna dalili yeyote ya upinzani kushimda nafasi ya uraisi, kwa sababu zifuatazo: 1: Mtandao wa CCM unawabeba. Yaani CCM wametengeneza vyema mtandao wa kuwafikia wananchi. Mathalani,mabango na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya kutopeleka maendeleo Majimbo ya Upinzani inahalalisha Sera ya Majimbo!

    Sera mojawapo ya CHADEMA ni majimbo. Maana yake halisi ni kuwa watu wenyewe kwenye maeneo yao, yawe mikoa au wilaya, ndio wawe wanachagua au kuwateua viongozi wao, kama wakuu wa mikoa, wilaya na halmashauri. Pia maeneo hayo, pamoja na Bunge, viongezewe madaraka ya kuamua badala ya Rais pekee...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  11. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri. Watanzania wali miss sana siasa za Upinzani

    Ukiona yanayo tokea, badhasha, furaha inayoambatana na mapokezi ya Wagombea udiwani, ubunge na Urais kupitia Chadema na ACT wazalendo unagundua yafuatayo. - wanainchi walikua na kiu ya kusikia Sera mbadala za upinzani , - kuna kundi la wananchi ni die hard wa upinzani hivyo katazo la shugjuri...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea atakayetuahidi kufyekelea mbali mishahara na posho nono za Wabunge na Wanasiasa, tutampa kura

    Sasa, sasa: kama kweli Mgombea huyu wa Upinzani ni jasiri wa kutosha na mwenye uchungu na sisi wavunja jasho na walipa kodi wa nchi hii, atuahidi hadharani katika kampeni zake kwamba tukimchagua atafyekelea mbali mishahara na maposho manono manono ya wabunge na wanasiasa. Na kwamba atafuta...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

    Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu...
  14. JamiiForums Tanzania Alikosea kwa kuamini kuwa angeweza kuumaliza upinzani kwa kutumia Vyombo vya Dola badala ya kutumia nguvu ya hoja

    Rais Magufuli alianza kutekeleza azma yake hiyo kwa kutangaza hadharani kule Singida, katika sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa chama chake cha CCM, hapo Februari 5, mwaka 2016, kuwa ndani ya utawala wake, atahakikisha vyama vya upinzani vinakufa ifikapo mwaka huu wa 2020! Utekelezaji wa azma...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu ya Vyama vya Upinzani kutomuunga mkono Lissu, CHADEMA walivunja makubaliano ya kugawana Ruzuku kuvipa Vyama vyote vya UKAWA

    2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu. Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Upinzani Mali kukataa Serikali ya mpito inayoungwa mkono na Jeshi

    Vuguvugu maarufu la upinzani wa Mali limekataa mkataba wa serikali ya mpito inayoungwa mkono na maafisa wa jeshi walio muondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mapinduzi ya kijeshi. Serikali ya kijeshi iliunga mkono mkataba wa serikali ya mpito ya miezi 18 iliyo afikiwa Jumamosi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuwaengua baadhi ya wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha kumewaongezea umaarufu maradufu wagombea hao

    Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha, kutakuwa kumewaongezea umaarufu mkubwa hao wagombea wa upinzani Ni lazima hivi sasa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inawezekana kuwa asilimia 50 ya wabunge wa mkoa wa Mara watatoka upinzani

    Jinsi kampeni zinavyoendelea mpaka sasa ninaamini kuwa asilimia 50 ya Wabunge wote wanaotoka Mkoa wa Mara watatoka upinzani. Nianze na Tarime Mjini, Rorya, Bunda Mjini na Tarime vijijini hali siyo shwari kwa CCM. Tujiulize hapa ni nani wa kulaumiwa?. Mimi ninatoa lawama kwa uongozi wa Wilaya na...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakurugenzi waliowaondoa Wagombea wa Upinzani kwa maelekezo ya CCM wafutwe kazi, wana ajenda yao wakiachwa wataleta machafuko

    Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa. Hawaaminiki tena na wala hata wao...
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu za kushindwa upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri shahiri kwamba kutokana na mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 zinazoendelea Upinzani unakwenda kuendeleza kushindwa vibaya kwa mara nyingine. Sababu za kushindwa vibaya uchaguzi huu katika ngazi zote (Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani) ni nyingi ila mimi nitagusia chache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…