upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Upinzani waenda Mahakamani kulalamikia ukandamizaji wa Serikali

    Citizens Coalition for Change (CCC) ambacho ni chama kikuu cha upinzani Nchini Zimbabwe kimefikia uamuzi huo kikipinga uamuzi wa Polisi wa kupiga marufuku mkutano wa kisiasa uliopangwa kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 2023. Zuio hilo linahusu kufanya mkutano katika Mji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

    Kuna Mmoja wao kwa sasa Yeye, Mkewe na Watoto zake si Raia tena wa Tanzania ila Kutwa anazurula Mitaani na katika Media kutaka kuonyesha kuwa ana Machungu na Watanzania, anawapigania huku kila Siku Usiku Saa 3 anapiga au anapigiwa Simu na Kuongea kwa Furaha na Mtu Muhimu Tanzania huku akiwacheka...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Vyama vya upinzani vitakuza uwajibikaji wa chama tawala

    Picha na Ebony FM UTANGULIZI Nafasi ya upinzani katika kukuza uwajibikaji wa chama tawala ni tata na limedumu kuwa swala mtambuka. Vyama vya upinzani vinaweza kuchukua jukumu hili muhimu katika kuwajibika kwa serikali ya chama kilichopo madarakani kwa namna mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutoa...
  4. JamiiForums Tanzania TPP KULETA UPINZANI MKALI UCHAGUZI MKUU TAIWAN MWAKANI(2024) ?

    ( Mgombea kiti cha urais 2024 bwana Ko Wen-je kupitia chama cha TPP ). Chama cha kisiasa cha Taiwan ambacho kiliundwa miaka minne(2019) iliyopita kimepanda nafasi mbele ya chama kikuu cha upinzani Kuomintang na kuwa chama cha pili maarufu zaidi katika kisiwa hicho. Chama cha watu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania ni dhaifu na Kibogoyo

    wasalam, Natafakari juu ya mbadala wa Serikali Tanzania, yaani upinzani sipati majibu. Kuna umuhimu wa kua na upinzani kweli? Umuhimu wake uko wapi? Ikiwa kila Jambo linakuja na linapita kama lilivyo bila pingamizi lolote popote, si ndani ya Bunge au nje ya Bunge. Je, kuna Serikali mbadala...
  6. JamiiForums Tanzania Wana-CCM kuuchukia upinzani mnafanya makosa, mtakosa kujifunza na kujirekebisha

    Kumchukia mtu anayekukosoa ili ujirekebishe huo ni ujinga tu. Kitendo kinachofanywa na wana CCM kuwabeza wapinzani pale wanapokosolewa ni kuendekeza ujinga tu. Leo hii bungeni kumejaa misemo ya ubaguzi eti oooo Mbowe ametamka maneno ya kibaguzi. Wacheni hizo ngonjera mbakie kwenye jambo la...
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkataba na DP World: Serikali sasa ikutane na viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Wasalaam Wakuu. Baada ya Bunge kuunga Mkono azimio la Serikali kuingia Mkataba na Kampuni ya DP World, mengi yamekuwa yakisemwa. Leo tar 12 Juni 2023, Waziri Prof Mbarawa alikutana na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu juu ya mkataba wenyewe. Na kuondoa sintofahamu na hofu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la DP world! Niko tayari kuingia kwenye ulingo wa siasa za upinzani!

    Sasa, ni rasimi na niko tayari kutumikia siasa za upinzani kwa nguvu zangu zote na kwa mali zangu zote, huku nikiwaelimisha watanzania jinsi wanavyouzwa na kurudishwa utumwani kwa tamaa za viongozi walafi na wasiotosheka na kile walichonacho kutoka CCM. Chama kinachoitwa ccm ali maarufu kama...
  9. JamiiForums Tanzania Ingekuwa Kenya kingeumana !! Sisi hatuna upinzani upo TU WA mitandaoni!

    Ingekuwa Kenya pasingekalika saa hii !! Ccm itatawala miaka 1000 mpaka kizazi Cha WAOGA kifutiliwe mbali ,wenzetu wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ...sisi hata mlio wa gitaa tunakimbia hovyo kama kuku wa kisasa ! Ingekuwa Kenya muda huu raila angekuwa anaelekea ikulu na Mitaa yote imefungwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mwongozo kwa Vyama vya Upinzani katika Kulinda Haki za Wananchi

    Acheni janjajanja za kisiasa Acheni janjajanja za kisiasa na badala yake jikite katika masuala ya msingi na maendeleo ya wananchi. Epusheni siasa za matusi, ugomvi wa kibinafsi, na uzushi ambao hauchochei maendeleo na umoja wa taifa. Jitahidini kuwa wabunifu, na wajibika katika kuwasilisha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa upinzani bungeni waonekana kwa mara ya kwanza

    Hayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja atakayepinga maana atapoteza ugali!! Ni Imani yangu kuwa wapinzani wangekuwa bungeni tungeyajua mambo mengi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ikibidi Vyama vya upinzani tuungane hata na Genge S kupinga mkataba huu hatari kwa taifa letu

    Vipengele vilivyopo kwenye mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya Dubai Ports (DP) ni vipengele visivyoonesha ukomo wa maslahi na mipaka ya kisheria kwa DP. Mkataba huu kama utasainiwa utaifunga Tanzania na miaka mingi na kutufanya kupoteza udhibiti wa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Burundi yakifungia Chama Kikuu cha Upinzani

    Wizara ya Mambo ya Ndani imesema uamuzi huo dhidi ya National Freedom Council (CNL)umetokana na malalamiko yaliyowasilishwa na viongozi 8 wa chama hicho, waliodai kufukuzwa ndani ya chama baada ya kumpinga Rais wa chama . Katibu Mkuu wa chama, Simon Bizimungu, amepinga uamuzi huo na kuuelezea...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani wagoma kuhudhuria maombi ya kitaifa

    Viongozi wa Muungano wa Azimio wakiongozwa na Raila Odinga wamegoma kukubali mwaliko wa Rais William Ruto kuhudhuria maombi ya kitaifa yaliyoratibiwa kufanyika leo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Azimio imedai kitendo cha serikali ya Kenya kwanza kuandaa hafla ya maombi...
  15. JamiiForums Tanzania CCM yampinga Balozi Karume/ACT-Wazalendo. Yasema Upinzani haujawahi kushinda Zanzibar

    Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema madai ya Balozi Ali Karume kuhusu uchaguzi mkuu akisema CCM haikushinda si mageni kwani aliyekuwa Makamo Mwenyekiti CUF Mussa Haji Kombo amewahi kutamka mgombea urais wa CUF hayati Maalim Seif Sharif Hamad hakuwahi kushinda urais . Hadi leo hakuna...
  16. JamiiForums Tanzania Wosia wa Le Mutuz: CCM/Serikali Imejisahau Haisikilizi, Ikosolewe. Wabunge Wasisifu Viongozi kwa Kutimiza Wajibu Wao. Upinzani Sio Uadui, JF Keep Up!

    NIPASHE YA JANA 04/06/2023 Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi kuwa wiki hii, nitawaandikia kile alichokisema mtoto wa Mzee Malecela, hayati William Malecela...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Senegal baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa

    Habari wana jamvi. Maandamano makubwa yanaendelea Senegal nzima baada ya kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kulaghai watoto chini ya miaka 21. Awali bwana Sonko ambaye ni gavana wa jimbo mojawapo alikuwa na tuhuma za ubakaji. Pale dada wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Nilihamia upinzani kwa faida ya CCM

    "Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Kusema upo upinzani kati ya Mbowe na Lissu siyo sahihi

    Mbowe anaweza kusema Rais Samia anafanya kazi nzuri sana: amejenga baarabara hapa na pale na pale. Lissu anaweza kusema Rais Samia ana matatizo makubwa sana; pale na pale na pale bado hajajenga barabara. Sasa, that is just two sides of the same coin. Hawajabishana kitu chochote. Kwa mfano jana...
  20. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Upinzani wataka uchunguzi wa Nyumba za Mawaziri kutokana na gharama kubwa za Maboresho

    Chama Kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance (DA) kimeomba mamlaka ya kupambana na Rushwa na Ufisadi kuchunguza mikataba inayodaiwa kuwa na gharama kubwa kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za Mawaziri zinazotajwa kuwa za anasa Ni baada ya Serikali kubainisha kuwa kati ya 2019 na 2022...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…