upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Upendo ni nini? (Part 1)

    Najiuliza maana ya upendo nini? Mpaka uwe na kingi ndio ushee? Au pesa kipindi michango ya sherehe? Au mzazi anayetamani mtoto uendelee? Ndio maana anakulea ile umlee Inasadikika kuwa upendo wa kweli ni kujali Mama mzazi homa ikikushika tu halali Tabasamu analokupa unaposhika Masarali...
  2. M

    Nampenda member Eph

    Huyu memba nampenda sana, mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+. Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama. Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani, humu wanakupaparikia ikiwemo mimi, nmekusoma sana kimyakimya lakini sikati tamaa. Sema utakacho dear...
  3. Enyi wazazi wapeni na waonesheni upendo watoto wenu

    Good morning to all parents, Straight to the point, wazazi wenzangu nawasihi sana tuwapende sana watoto wetu katika hali yeyote ile. Tukiwa na fedha ama fukara, kitu pekee ambacho mtoto anahitaji zaidi kutoka kwa wazazi/mzazi ni upendo. Hayo mengine yote Mungu hubariki na huyafanya kwa wakati...
  4. Upendo una viwango, nimegundua mzazi wangu ananipenda kwa kiasi kidogo sana

    Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ? Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu kila wakati na kukutumikisha kama mtumwa, siku ukizipata anajileta kama mzazi sasa na yeye anaanza...
  5. PreGE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    Dada anafunguka vibaya huko kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani. === Video: Mwananchi
  6. Unamkumbuka Ex wako aliyekuwa anasema hawezi kuishi bila wewe? Umejifunza nini sasa akiwa anaishi bila wewe?

    Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia? Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂
  7. Hongereni sana wakina mama wote kwa upendo mlionao kwa watoto wenu.

    Juzi mama wa mwanangu alikuwa anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi. Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama dakika 6 tu dogo akataka abebwe. Mama akawa mkali, mtoto akatumia akili nyingi akaita mama mamaake...
  8. Ukweli wa dhati wa mwanadamu: Mume/Mke uliyenaye unaweza kuta wewe wala siyo chaguo lake

    Katika Dunia, kuna mengi ila mume/mke ulie nae, unaeza kuta katika ukweli wa ndani wa moyo wake wala wewe ulie nae sio chaguo lake, ila yuko na wewe ili mladi tu maisha yaende. Yaani unaeza kuta mwanaume/mwanamke yuko katika uhusiano lakini hisia zake na upendo wake wa dhati uko kwa mwingine...
  9. B

    Ridhiwan Kikwete atumia siku yake ya kuzaliwa kusambaza upendo kwa wengine, afikisha miaka 45

    Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024, Kikwete ameitumia kusambaza upendo kwa wananchi mbalimbali kwa kutoa vyakula mbalimbali. Kikwete...
  10. Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

    Haya fungukeni wapendwa
  11. Tamaa na haja za kimwili zikiisha upendo wa dhati ama usio wa kweli hujidhirisha bayana

    Lengo na vichocheo vya kimwili vikijitosheleza baada ya kukutana kimwili, ndipo unaweza kuona uzuri na ubaya wa huyo ulokutana nae kwenye tendo. na ndio maana matamanio, hamu, ugwadu na upwiru huchochea sana watu wengi kujielaza kwa uongo na kweli, na kuwashawishi wenza wao hata kwa fedha na...
  12. Ridhiwan Kikwete: Upendo ndiyo Nguzo ya Mafanikio yetu

    Upendo ndiyo Nguzo ya Mafanikio yetu-Kikwete (MB) Maneno hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete alipokuwa anaongea na Viongozi wa Chama wa Halmashauri ya Chalinze alipowaalika kwenye Futari...
  13. J

    Makamu mwenyekiti UWT CDE. Zainabu Shomari atoa salamu za upendo za Rais Dkt. Mwinyi kwa UWT

    MAKAMU MWENYEKITI UWT CDE. ZAINABU SHOMARI ATOA SALAMU ZA UPENDO ZA RAIS DKT. MWINYI KWA UWT Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu. Zainab Shomari akizungumza na Maelfu ya Wanawake waliojitokeza kwa wingi kwenye Kongamano la kumshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. Nauliza wale tunaonyesha sasa Upendo Tukuka kwa Samia tulikuwa wapi Kumuonyesha wakati John akiwepo?

    Halafu natoa ONYO mnaojifanya Kumpenda na Kumsifia sana sasa tutakuwa tunawarekodini na hata kuwapigeni Picha au kuchukua Video zenu mkiwa nasi Vijiweni mnamkandia na kumdhalilisha Samia Wanafiki wakubwa nyie sawa? Badilisheni hicho Kijiwe chenu cha Majungu na Unafiki cha Mbezi Beach zilipo...
  15. Rwanda tunayoichukia na Rais Kagame tunayemchukia wanatuonyesha Upendo wao Kwetu kwa Vitendo

    Taarifa...... 1. Rwanda kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam 2. Rwanda kujenga Kiwanda kikubwa cha Maziwa Mwanza Tanzania Ukiona Adui/ Mtu ambaye kwa Wivu na Upumbavu wako Unamchukia halafu Yeye anakujibu kwa kukuonyesha Upendo wa Ajira kwa Watu wako na kukuimarishia Uchumi wako jua si...
  16. Wazungu ni watu wa upendo sana

    Leo hii kuna laptop nimefungua ndani nikakuta vitu Kama ifuatavyo Kule ndani nimekuta vifaa vya nchi kadhaa ikiwamo U.S.A Malaysia China Japan India Singapore Je sisi ngozi nyeusi tutaweza Nini Kama tumeshindwa kufanya tu hata vya kuiga vinavo onekana kwa macho. Tuache unafiki mfano. Mtu...
  17. Urafiki wa Upande Mmoja/ Urafiki wa kujifaidisha kwa ngao ya mapenzi au upendo

    Kuna mfumo Fulani upo kwa Watu wa Jinsia ya Kike. Unapo mtongoza tu unakua umempa Fulsa ya Kupata Pesa/ Mali kutoka kwako Mwanaume. atataka umuaminishe Kama unampenda kupitia Pesa au Vizinga Vya Hapa na Pale. Kipindi Pesa zinatoka we bado mzigo ujapewa, unajiaminisha utapata tu, Sasa swali...
  18. Uzalendo nchini Tanzania: Upendo, Uaminifu au Dhima?

    Nilijikuta kwenye mbio za kutembeza Twitter siku nyingine. Ndio, bado unaiita "Twitter." Baadhi yenu waimbaji wa teknolojia wanaweza kuiita X, Y, au nani-anajua-nini-kifuatacho, lakini nivumilie. Kuingia kwenye tweets za kisiasa ni kama kuchimba kwenye mfuko wa chips mbalimbali - baadhi...
  19. Wanawake wengi wanaolewa ili kupata urahisi wa maisha na sio upendo wa kweli

    Jambo? Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati. Mwanamke aliewahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma huwa anaolewa kwasababu ya vitu na sio upendo wa kweli. Sasaivi sio jambo...
  20. Valentine yako iliendaje?

    Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa? Let's go😀😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…