upatikanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Waziri mkuu aagiza uchunguzi wa mfumo wa upatikanaji wa dawa hospitalini

    WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI ▪️Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali ▪️Aonya utapeli wa ardhi za vijiji ▪️Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za miradi lakini hawawalipi mafundi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba...
  2. K

    Kwa nini tujali kuhusu upatikanaji na uwezo shuleni na maishani?

    I am Kisaka Kyande, and this is my very long report on accessibility and ableism. Accessibility is one of the most important issues in the history of Canada. According to Municipal World, they say that the population of disabled people in Canada is increasing. The article says, “Statistics...
  3. Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  4. T

    Njoo tupate elimu juu ya uhalisia wa hatua za mchakato wa upatikanaji wa mgombea ubunge na udiwani ndani ya CCM

    Salaam Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani. Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
  5. A

    GE2025 CHADEMA mjifunze demokrasia hii ya CCM upatikanaji wa wagombea

    Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote. Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani...
  6. Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Mfumo wa anwani za makazi umekua changamoto kwenye kufanya application za HESLB, changamoto tunayokutana nayo nikama ifuatavyoo; 1. Mfumo unataka taarifa za mmiliki wa eneo(Nyumba) husika,, hii imekua kikwanza kwa wazazi wanaoishi kwenye nyumba za kupanga. 2. Watendaji wa Kata hawapo oriented...
  7. Upatikanaji wa volunteer au kazi

    Rejea na kichwa cha habari hapo juu mimi kijana wa miaka 28 nina level ya masters degree ya computer science nikiwa nimemaliza mwaka 2025 nipo hapa kuleta jukwaa langu sina expirience ya kazi ila nina jua vitu kama vile mobile application , Machine Learning , Data analyst , DeepLearning nk...
  8. Ukataji wa miti sasa basi, REA yarahisisha upatikanaji wa gesi vijijini

    UKATAJI WA MITI SASA BASI, REA YARAHISISHA UPATIKANAJI WA GESI VIJIJINI Imeelezwa kuwa, mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku katika maeneo ya vijijini na pembezoni imelenga kuchochea, kuwezesha na kuboresha upatikanaji wa huduma za nishati safi ya kupikia ili kuchochea...
  9. S

    VIBALI VYA BIASHARA YA TUMBAKU TANZANIA, na upatikanaji wake.

    habari ndugu zangu. naomba kujua vibali vinavyohitajika hapa Tanzania ili kuniwezesha kufanya biashara ya TUmbaku ndani na nje ya Tanzania. ( kununua na kuuza nje ya Tanzania)
  10. Mdude Katekwa, mjumbe, mwenyekiti wa mtaa na mbunge wa Jimbo lake walipaswa kuwa mstari wa Mbele kupigania upatikanaji Wake.

    Sabato Njema! Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati. Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana. Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
  11. Matengenezo ya magari na upatikanaji wa spare parts: Je, ni magari yapi yana gharama nafuu kuyahudumia Tanzania?

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  12. Waziri Aweso Aelekeza Kufanyika Utafiti wa Kina wa Upatikanaji wa Maji Dodoma Jiji

    WAZIRI AWESO AELEKEZA KUFANYIKA UTAFITI WA KINA WA UPATIKANAJI WA MAJI DODOMA JIJI ▪️Aagiza kuongezwa mitambo zaidi ya uchimbaji visima Dodoma Jiji ▪️Akagua miradi ya Maji eneo la Nala na Nkuhungu ▪️Miradi ya visima vinavyochimbwa kuzalisha maji lita 32m ▪️Hatua hizi kupunguza ukali wa mgao...
  13. Hali ya upatikanaji wa mbolea nchini imeendelea kuimarika

    UPATIKANAJI WA MBOLEA UMEONGEZEKA Hali ya upatikanaji wa mbolea nchini imeendelea kuimarika ambapo hadi kufikia tarehe 31 Januari, 2025 kulikuwa na jumla ya tani milioni 1.21 sawa na asilimia 80.9 ya makisio ya mahitaji ya tani milioni 1.5 za mbolea kwa msimu wa mwaka 2024/2025. Aidha, katika...
  14. Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme

    Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
  15. MANAWASA yakiri Mji wa Nachingwea una changamoto ya upatikanaji huduma ya maji

    Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi: Kusoma alichoandika...
  16. Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  17. Gissima Nyamo-Hanga: Gridi za Tanzania na Kenya kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa Afrika . Gissima ameyasema hayo Desemba 20,2024 wakati wa Ziara...
  18. Enyi wanawake. Hakuna mwanaume bahili, ni vile tu ugumu wa upatikanaji wa pesa unatofautiana. Tuoneeni huruma

    Jioni hii nikiwa hapa nje kibarazani, nawasikia wanawake hapo koridoni wanamteta mshkaji mmoja hivi mpangaji kuwa anapenda mbunye lakini ni mbahili. Jamaa ana mwezi wa tatu tokea aondoke kwenda kijijini kuhudumia ujauzito, cha ajabu wanamsema kwa kutumia wakati uliopo. Nimejiongeza tu nikajua...
  19. RC Queen Sendiga: Upatikanaji wa Maji Manyara Mjini 84% na Vijijini 71%

    RC QUEEN SENDIGA - UPATIKANAJI MAJI MANYARA MJINI 84% NA VIJIJINI 71% "Manyara kuna hali ya hewa nzuri ambayo unaweza kulima mazao yote na Manyara ina sifa ya uwekezaji kwenye sekta zote ambazo umewahi kuzisikia. Kuna mazao ambayo hayastawi popote Tanzania isipokuwa Manyara kama ngano, shayiri...
  20. Waziri Aweso: DUWASA hakikisha mnatafuta suluhisho la muda mfupi maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa maji, hasa ya pembezoni mwa Mji wa Dodoma

    WAZIRI AWESO ATOA MAAGIZO DUWASA Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Kisasa Jijini Dodoma, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Septemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…