Hali ya upatikanaji wa mbolea nchini imeendelea kuimarika

Hali ya upatikanaji wa mbolea nchini imeendelea kuimarika

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
UPATIKANAJI WA MBOLEA UMEONGEZEKA

Hali ya upatikanaji wa mbolea nchini imeendelea kuimarika ambapo hadi kufikia tarehe 31 Januari, 2025 kulikuwa na jumla ya tani milioni 1.21 sawa na asilimia 80.9 ya makisio ya mahitaji ya tani milioni 1.5 za mbolea kwa msimu wa mwaka 2024/2025.

Aidha, katika msimu wa kilimo wa mwaka 2024/2025, tani 388,619.87 za mbolea yenye ruzuku ya thamani shilingi bilioni 131.66 imesambazwa kwa wakulima 4,223,278.

Hayo ni katika utekelezaji wa shughuli za Serikali katika mwaka 2024/2025 kwenye eneo la upatikanaji wa mbolea.

FB_IMG_1744390378940.jpg
 
Back
Top Bottom