upatanishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Kabila lako bado mnaendelea kufanya matambiko ama mmeikacha asili yenu? Tambiko lenu hufanyikaje liwe la upatanishi, kufukuza mikosi, msamaha, n.k

    kabila hutambuliwa kwa Lugha, Mila, Miko, Majina na matambiko , hapa tutagusia matambiko .... Hakuna mtanzania asiye na tambiko, kila kabila alilotoka lina tambiko lake . yapo makabila ambayo.97% ya kabila hilo ni wakatoliki lakini matambiko ya kiukoo yanaendelea na wazee wamila...
  2. Ritz

    CHADEMA mlimuita Jakaya Kikwete dhaifu, kulikoni tena leo mnamuhitaji?

    Wanaukumbi. Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
  3. mr vata

    Uzi wa upatanishi na kukiri makosa

    Ndugu zangu, Yawezekana kuna mtu ulimfanyia kosa kubwa na ukashindwa kumuomba msahama moja kwa moja au kukiri kwake, basi jukwaaa hili ni kwa ajili yako, sema hapa hata kama hataona lakini angalau utakua umetoa dukuduku moyoni. Kuna wale ambao wana mambo mengi katika vifua vyao na hawajawahi...
Back
Top Bottom