Habari zenu wanaJF, natumaini nyote mnaendelea na pirika za kila siku kwa ajili ya familia na ujenzi wa taifa.
Twende kwenye hoja yangu direct! Swali langu ni kwamba "Ni lini serikali itapanua barabara hizi muhimu zinazounganisha Mwanza mjini na maeneo kuanzia Usagara hadi mjini kati na Kisesa...