upanga

Upanga East is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 7,385.

View More On Wikipedia.org
  1. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Upanga: 9th and 10th Floors 2 Bdrm Apartments For Sale - Dar

    • Direction: Mindu • Facilities: (2 bedrooms, 2 washrooms) x 2 • Floor Area: 81 sqm • Document: Sub Title • Price: Each USD 75,000 (payment in TSH accepted) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ zipo apartment 2. Moja ghorofa ya 9 na nyingine ya 10 ✓ zote zinajitosheleza. Kila moja chumba master 1 na...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Teruso, yaani aliyeokoka kuuawa kwa upanga wa miungu

    TERUSO YAANI ALIYEOKOKA KUUAWA KWA UPANGA WA MIUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Tena siku zile nikasema acha nifuate njia zangu mwenyewe. Nimechoka kuwa chini ya MUNGU. Nitatumia nguvu zangu mwenyewe. Akili zangu mwenyewe. Wala sitaki Tena kuongozwa na huyo...
  3. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na uwezo wa kufanya masaji wa msichana huyu wa kiarabu kutoka Kariakoo jijini Dar es Salaam

    Umri wake ni miaka 26 na jina lake linaanzia na herufi H. Wakati naenda kukutana nae kwa mara ya kwanza I thought my friend was joking with me. Kwa sifa alizo kuwa anampa kwa sababu alikuwa anampa sifa ambazo tumezoea kuzisikia kutoka kwa wasichana wa kimwera, wayao, WAMAKONDE, wadigo etc...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Mfungo wa Ramadhani: Futari Nyumbani kwa Mayor Kitwana Kondo Oyster Bay na Upanga

    KUMBUKUMBU ZA RAMADHANI: FUTARI NYUMBANI KWA MAYOR KITWANA SELEMANI KONDO OYSTER BAY NA UPANGA Katika makala fikra zangu zinarudi nyuma miaka mingi sana Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu. Wakati huo Mzee Kitwana Kondo alikuwa Mayor wa Dar-es-Salaam na akiishi Oyster Bay. Mimi na wenzagu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi katika Maghorofa marefu hasa ya Upanga tafadhali mkiwa mnaanza 'Kunaniliana' muwe mnafunga kwa muda Madirisha yenu ili msitupandishe Midadi

    Wengine tumeumbwa na Midadi hasa tukiona Minaniliano madirishani huwa tunatamani hata tuje kuomba Kolabo, ila huwa tunashindwa tu. Halafu ukijiona upo juu Ghorofani usidhani uko peke yako na huonekani kwani kuna Wengine (hasa GENTAMYCINE ) tuna Macho ambayo yakiona tu Kitu cha mbali basi...
  7. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Miungurumo ya Majenerata Upanga na Posta jijini Dar

    GTs, Kwa wakazi kama mimi wa mitaa ya posta mpya au Upanga ni mashuhuda hizo kelele za majenerata yaani ni kama alivyotabiri Dkt Magufuli kuwa akiondoka madarakani hakuna atakayeweza kuisimamia serikali. Viongozi waadamizi wengi ni wezi na hakika imetokea yaani hata huwezi jua jenerata lipi...
  8. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

    Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni Hudumza zote wanapata huko huko Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi Starehe zao ni huko huko Hosptali zao ni classic zipo Maduka yao Posta mengi...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Popo tishio kwa maisha ya Wakazi wa Upanga Dar es Salaam

    Na Francis Godwin Changamoto ya Ndege aina ya popo imekuwa ni Tishio Kubwa kwa wakazi wa Mtaa wa Seaview Kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam. Madhara ya popo yanaweza kutofautiana kutoka kwa kipindi cha mwaka na eneo. Hapa kuna madhara kadhaa yanayoweza kutokea kwa sababu ya...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hii Imeenda: Aliyeua kwa upanga ameuawa kwa bunduki

    Wakuu hii tuiitaje hii? Dada kamchokoza msela kaleta dharau kageuziwa msala
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Mauaji "Rudisha upanga wako Alani; atakayetumia upanga, atakufa Kwa upanga"

    KIKAO CHA MAUAJI; RUDISHA UPANGA WAKO ALANI, ATUMIAYE UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA. Anaandika, Robert Heriel Yesu aliwahi kusema, kipimo utakachompimia mwenzako, ndicho hichohicho utakachopimiwa tena Kwa kufurika Akaendelea kusema; Atumiaye upanga, atakufa Kwa upanga. Bado akitetea falsafa...
  12. fullcup

    JamiiForums Tanzania Anayeua kwa upanga hufa kwa upanga

    Hiki ni kisa halisi Katika kisa hiki ufanano wa matukio na majina ya wahusika uchukuliwe kuwa ni bahati mbaya. Chapisho hili halitatumika Kama ushahidi na lisinukuliwe Kama sehemu ya ushahidi. Limeletwa hapa kwaajili ya ushauri na maoni tu. Back to the topic Mwaka huu mwezi na tarehe...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Vitumbua vya Kisutu na Upanga bado vipo?

    Maeneo ya Kisutu kule nyuma karibu na Upanga kulikuwa na eneo vinapikwa vitumbua vitamu mnooo. Sijui kama bàdo wapo wale jamaa.
  14. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu bila ya ‘speed governor’ ni tatizo. Ndugu zangu wa mitaa ya ‘Al Muntazir’ Upanga mjipange

    Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa. Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me. Kama hela...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naipongeza serikali kwa kuanzisha kodi hii ya nyumba na sehemu za biashara kwa wamiliki

    Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali. Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
  16. Kitomai

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watu wa Makao Upanga na Makao Oysterbay wao siwasikii wakilalamikia nyongeza hii 'Kiduchu' ya 23.3% ya Mshahara?

    Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi. Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Jiji vyumba maeneo ya upanga na maeneo jirani vinasomekaje

    Habri!! Muda si mrefu ninaingia hapo jijini, kuanza Kazi. Kituo cha kazi kipo Upanga, Sasa nauliza wazoefu wa mjini vyumba maeneo hyo vinapatikana kwa sh ngapi?? Mfano chumba na sebule au chumba ambacho ni self au Sio self coz nataka nijue najipangaje wakuu. Au maeneo jirani na Upanga?!
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Unazungumziaje hii fasheni ya Kim Jong-un, umeona upanga wa nguo yake?

    Mtazame Rais wa Korea, Kim Jong-un katika majukumu yake ya kawaida, wadau tuijadili hii fasheni ya nguo zake alizovaa.
  20. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

    Mungu wa biblia, Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima! Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee...
Back
Top Bottom