upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Hisense Smart TV inch43 nusu kioo kina flicker alafu nusu upande inaonyesha vizuri

    Wakuu, naombeni msaada Nina TV yangu ya Hisense 43 Inch, Smart Tv. Sasa hivi inaonyesha flickering screen( kama vijimistari) upande wa kushoto. Upande wa kulia ni nzima kabisa. Kuna muda iliwaka yote ikaonyesha vizuri pande zote (japo haikudumu zaidi ya saa). Ila kwa sasa imerudi tena kuonyesha...
  2. J

    JamiiForums KERO Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji Musoma Mjini, yanapatikana usiku

    Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma Mjini. Maji yamekuwa yakipatikana zaidi nyakati za usiku na kwa kusuasua. Wakati mwingine tunakaa hadi wiki nzima bila kupata maji. Tunaomba mamlaka husika ichukue hatua kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa...
  3. V

    JamiiForums Watanzania munaopenda haki acheni kuwaamini kirahisi wanasiasa wakongwe,na waliotisheka kuiba wanapodai wako upande wenu

    Habari Limekuwepo wimbi la akina Tibaijuka,akina Polepole,akina Ndugai, akina Warioba nk ambao walichangia pakubwa kuifanya Tanzania iwe jinsi ilivyo Leo.... Mfano;wote munaofahamu utawala wa Magufuri munamfahamu Polepole ni nani na alifanya mangapi lakini utashangaa munamuona mkombozi. Ata...
  4. JamiiForums Kesi ya Lissu; Mashihidi upande wa mshitakiwa tuanze na Samia

    Baada ya serikali kufunga ushahidi leo Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
  5. X

    JamiiForums Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  6. JamiiForums Ukweli una pande mbili

    Kamwe usiamini hadithi ya upande mmoja. Daima huwa na kurasa zilizokosekana. Watu wengi wamekuwa wakihukumu watu kwa kutumia upande mmoja wa hadithi, bila kujali ni kwa namna gani wanaumiza wengine. Kusikia upande mmoja tu wa story ni hatari. Mara nyingi mtu anakwambia sehemu inayomfaa yeye na...
  7. JamiiForums Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo." "Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati...
  8. K

    JamiiForums Kumbe shahidi wa ushahidi wa ziada upande wa Jamhuri kwenye kesi ya Lissu ni marehemu!?

    Kamishina msaidizi wa polisi Amini Mahamba aliyekuwa ameandaliwa na upande wa jamuhuri kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Lissu amekufa hata kabla ya october 29 Mwinjilisti Kamara Kasupa amebainisha hayo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwa kamishina Amini Mahamba ni clasmate...
  9. JamiiForums Katika vita ya Midle East wewe uko upande gani?

    Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
  10. A

    JamiiForums Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za kiislamu. Kiukweli nilia navutiwa sana na style ya sheikh Walid Omar. Na baadhi ya masheikh kama...
  11. JamiiForums Serikali imkamate Sheikh Mwaipopo, acheni double standards. Haya mambo ndio yanachochea chuki na kuligawa Taifa

    Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?. Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
  12. JamiiForums Serikali ipo Upande wetu sisi Wanayanga. Simba isahau kuhusu kuchukua Ubingwa

    Nlisema as long as Samia ni Rais basi Yanga tuta enjoy Misimu yote Ubingwa. Maana hilo lipo ndani ya uwezo wetu.
  13. JamiiForums Upande mwema wa Mfumo dume unaofifia taratibu

    Mfumo dume ni mfumo wa Kihistoria unaoelezewa kwa upande mmoja (Mbaya) hivi leo, kwenye kizazi chenye kulea na kuendekeza huruma kimatukio, kuna upande wa Mfumo huu haukusimuliwa ndio maana leo kuna majanga tunayoyaona. Mfumo dume ulitengeneza HALI YA UMILIKI kwa Wanaume, kuwaweka wao kuwa...
  14. M

    JamiiForums Nje ya wajaluo kuna makabila maarufu upande wa Tanzania yenye mafanikio makubwa nchi jirani?

    Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
  15. JamiiForums Ndoa za Kiislamu, je upande wa anayeoa anakuwa hana kauli?

    Wapendwa, katika siku za karibuni nimekuwa nikiona ndoa za kifahari zikifungwa na ndugu zetu Waislamu, ni harusi ambazo ni funika bovu ni sherehe za kifahari kwelikweli, lakini kinachonishangaza ni kuwa waoaji yenye familia za upande wa kiumeni hawaonekani ni kama wao wameolewa, upande wa kike...
  16. M

    JamiiForums Utamjua vipi kama huyu mzanzibar upande wa Tanganyika?

    1. Kuongea? 2. Kuvaa? 3. Rangi? Kwa upande wa Zanzibar kuna zanId ambayo mzanzibar anapewa na asiekuwa mzanzibar hapewi Au waislam ndio watakuwa walengwa?
  17. JamiiForums Sababu muhimu ya sera ya kutofungamana na upande wowote ni kuheshimiwa kwa maamuzi yetu ya ndani

    Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya mashariki na magharibi kwani ilitambua kuwa jambo muhimu mbele yake ni kukuza uchumi na ustawi wake...
  18. JamiiForums Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

    Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia. Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra...
  19. JamiiForums Sera ya Kutokuwa Upande: Nguvu ya Tanzania Kimataifa

    👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. 👉 Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
  20. JamiiForums Baadhi ya watu wanaorudi upande wa Nchimbi wananikumbusha mfano wa ajabu

    Fikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia. Baada ya kichapo badala ya kukimbia wote wawili au kupambana nao wote, unaamua kumkimbilia yule anayevuta sigara na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…