Mimi binafsi ulichokifanya kina matashi mema! Kina baraka za Mungu na wote wanaoipenda nchi yetu Tanganyika/Tanzania.
Ukiacha vumbi lenu ndani ya CCM, ingawa linatugusa wote kwa sababu mnamiliki serikali na rasilimali zetu, mengine uyasemayo wengi wanakuunga mkono!
Thanks ulisema uko hata hapa...
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe...
https://youtu.be/UrmiHUuMW8k?si=8Zq7aoVlL4uoABVb
Ameeleza kuengua wagombea wa chama fulani tu ni dhahiri ajenda ya siri. Amesema Jeshi la Wananchi peke yake kwa sasa ndio linafanya kazi kwa uzalendo. Mambo ya kula kwa urefu wa kamba yake hawana
Kwa wiki sasa nimekuwa ninasikiliza historia za viongozi madikteta Afrika. Nimesikiliza jinsi walivyoua na kunyanganya uhuru wa watu. Nimesikiliza kuhusu Samuel Doe, Iddi Amin Dada, Mobutu na madikteta wengi sana. Kwa kweli roho imeniuma sana viongozi wanaoaminika na kupewa madaraka na badala...
Ni jambo la kusikitisha kwamba mahakama ya Mwanzo Ilala haina njia mbadala ya kufanya shughuli zanazotegemea umeme kuendelea kama kawaida pale umeme unapokatika. Kuna watu waliahidiwa kufuata nakala za hukumu ila wameshindwa kupata kwa kuwa umeme hakuna. Kinachokera zaidi kituo cha polisi...
Nimepenyezewa taarifa zenye uhakika kwamba tarehe 10 Desemba 2024 kumefanyika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi almaarufu TAFCA ambalo ofisi zake zipo Magomeni Kagera
Narudi nyuma kidogo. Mnyetishaji amenielezea kuwa Mkutano Mkuu wa TAFCA uliofanyika mnamo tarehe 18 Desemba...
Anonymous
Thread
rais
rais wa shirikisho
sanaa
shirikisho
ufisadi
ufundi
uozo
vigogo
Huu wizi umezidi, na tunauchekea kama hatuna akili nzuri.
Mtu ataanzishaje mfumo wa ukusanyaji mapato na kutengeneza namb za slio wa kutuma daa za serikai?
Hapa wakubwa wanahusika!
Lililotokea Mbeya na Arusha ukusanyaji mapato kwa kughushi data, ni lazima ni tatizo la nchi nzima.
JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI:
ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA.*
Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri Hussein Simba anabaki kuoa wanawake kila siku na kula hela za miradi tu. Hebu ona hii aibu Mama SAMIA...
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Bwana Jumanne Makhanga analalamikiwa na wananchi ambao ni wanachama hai wa CCM Wilaya ya Manyoni kwa kuchangisha pesa zisizo na tija.
Mwenyekiti huyo kwa mwaka jana pekee amechangisha pesa kwa wanachama wote kwa kila Mwanachama kutoa Shilling mia tano kwa...
Kwanza nianze kwa kuwapa salam.
Muende moja kwa moja kwenye malalamiko yangu. Ni jumanne ya wiki hii nyumba tunayoishi Mimi pamoja na wapangaji wenzangu tulikatiwa maji kutokana na baadhi yetu kulimbikiza malipo ya Ankara za Kila mwezi. Siku ya jumatano tulifanikiwa kulipa bili pamoja na faini...
Naitwa Abdul-Aziz Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM):
Octoba 20,2023 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya mikopo (HESLB) Abdul-Razaq Badru aliishukuru serikali kwa kutenga Bilioni 731 kwa ajili mikopo ya wanafunzi 220,376 wa Elimu ya juu, lakini pia alitangaza awamu ya kwanza ya...
Wasalaam wadau..nimezunguka sana kusini mwa dar hasa mbagala na vitongoji vyake, vikindu mpaka kisemvule...kwa kweli Kuna watu wengine mno na maisha yanaenda mchakamchaka Ila kwenye masuala ya huduma mbalimbali wapo very poor.kifupi hakuna jambo lolote utakalofanya lenye kuhusisha mtu mwengine...
Match Day
Yanga SC vs Singida FG
NBC Premier League
Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522]
Time: 1815hours
Updates...
Saa 12:04 Jioni
Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa.
Mashabiki wanazidi kuongezeka hapa.
Mawingu mepesi mepesi yametanda
Vikosi Vinavyoanza
Saa...
Kuna haja ya serikali kuvipa vipaumbele vitu muhimu ambavyo vitahitajika katika miradi tarajiwa.
Serikali inasiaid mikataba mikubwa ambayo ilipitisha muundo na bajeti ya mradi fulani bila kuzingatia mahitaji na vipaumbele vitakavyoleta tija nchini mwetu matokeo yake Fedha za kufanyia shuguli...
Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi.
UKiwa hauna tax clearance, adi kubaki(Fire kibali) au kibali chochote kile uwe na hela tu huyu mama anapitisha.
Unyanyasaji mkubwa Kwa...
Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama;
1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja.
2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa mitihani ya utamilifu (mock).
3. Kutokuwa na utaratibu mzuri wa mawasiliano na kutoa maagizo ya zima...
Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika.
Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
Mkurugenzi wa TAKUKURU na wafanyakazi walio chini yake wanalipwa fedha nyingi kutoka kwenye kodi za wananchi.
Pamoja na malipo mazuri hakuna kazi yoyote ya msaada wanayotoa kwa serikali na jamii kwa ujumla. Kama wangekuwa active hizi taarifa za madhila ya wafanyabiashara wangekuwa wanazo na...
Mwanza ni Jiji la pili Tanzania linalokua kwa kasi kutokana na Wingi wa watu na miradi mikubwa ya kimkakati ambayo imejengwa kwenye jiji hilo, Lakini mbaya zaidi ni kwamba takribani mikoa yote ya Tanzania ukiacha mkoa wa Mara huingia Mwanza kupitia njia kuu ya Shinyanga, kisha Buhongwa na Baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.