uozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

    My Take Nawaambieni ukweli mchungu. Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani. Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo. Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
  2. Replica

    Aliyeibua uozo wa vifaa tiba Tabora asimamishwa kazi

    Bwana James Getogo wa Ishihimulwa Tabora amesimaishwa kazi pamoja na dada Rose Shirima kupisha uchunguzi. Wawili hao walionekana kwenye video wakijibishana juu ya kutumia vifaa tiba vya malaria vilivyopita muda. ===== Watumishi wawili wa Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa Rose Shirima na James...
  3. Waterbender

    Wahudumu wa Airtel ni uozo

    Habari za muda huu, Kama kuna muajiri wa Airtel humu wahudumu wako ni hovyo kabixa yan unapiga simu wanaongea na mteja kama kuna ugomvi hasa wanawake ni hovyo kabisa ondoeni hizo takataka zinawaharibia kazi na kama mko humu mjirekebishe mnaharibu na kuchafua kazi za watu kama umechoka andila...
  4. chiembe

    Sasa ni rasmi, TAMISEMI imemshinda Bashungwa, imebidi Waziri Mkuu aingilie kati, ndio wizara yenye kelele za uozo

    Bashungwa, Waziri kijana, ambaye ilitarajiwa "damu iwe inachemka" awe anapanda na kushuka,anakaba huku na kule, ameonekana Mzee kuliko Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anaenda Arusha, anaenda Singida, anajua mambo ambayo alitakiwa Bashungwa awe ameshayajua na kuchukua hatua....hamna kitu. Alikuwa na...
  5. P

    Je, Dkt. Magufuli angelikuwepo, angelikuwa anakandiwa uozo wote unaosemwa?

    Najiuliza tuu, JPM endapo Angelikuwepo kama raisi ama muda wake wa utawala kuisha, Aliyekuwa makamo wake ambaye ndiye Rais wetu kwa sasa Angelisema hayo kama aliyosema Washington huko kwa wazungu, ama kwa vile mwenzetu katangulia ndio tunasema na kwa bahati mbaya hawezi hata kusema kwamba kwa...
  6. John Haramba

    Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali...
  7. T

    Ni nani yuko nyuma ya uozo Shule za Wazazi (CCM)?

    Nimepita kwenye shule mbili za jumuiya ya wazazi CCM hapa mkoani mbeya yaani Meta sc na Sangu SC, ambazo kwa miaka ya nyuma zilisifika na kutukuka kwa kufanya vizuri sana na kuvutia watu wengi ndani na nje ya nchi. Kilichonisikitisha ni namna shule hizi zilivyotafunwa na uongozi mbovu na kila...
  8. Gang Chomba

    Uozo, blabla na upendeleo wa wazi wazidi kuishushia hadhi Ballon d’Or

    Niliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka. Tuzo hizi kwa miaka ya mwishoni mwa 2000 hadi sasa zimekuwa zikitawaliwa na skendo nyingi huku kwa nyakati...
  9. T

    Nakuomba Waziri Mbarawa ukajionee wizi na uozo unaolitafuna Shirika la Reli ya Kati kipande cha Tabora - Mpanda

    Ni jumapili iliyopita nilipojaribu kusafiri Kutoka kijijini Ukumbi kakoko kilichopo mpakani mwa mikoa ya Katavi na Tabora kuelekea Tabora mjini, ambapo kwa bahati mbaya siku hiyo treni ilichelewa kupita hivyo nikalazimika kusafiri kesho yake yaani jumatatu. Nilichokishuhudia kwenye hii...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Police online loss report hamna kitu, ni uozo mtupu

    Nimejaza online loss report nimelipia, nimekaa zaidi ya masaa 24 report not approved. Mwaka jana nilijaza loss report ya vitu 4 nilipata report 2 instantly, vitu 2 vingine nilikaa wiki sijapata loss report. Sijaangalia kama walitoa au la. Imagine unakaa wiki moja bado panasoma not yet approved...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Spika Ndugai ndio chanzo cha uozo katika Serikali hii

    Habari! Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya spika Ndugai ndilo lililopitisha sheria kandamizi nyingi zaidi kuliko kipindi cha maspika wengine wote. Serikali (Rais) kazi yake ni kutawala, na katika kutawala kuna mahali panahitajika mkono wa chuma(maumivu) na kuna mahali hapahitaji...
Back
Top Bottom