uovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nitashiriki uovu mwingine ila sio uovu wa kutoa mtu roho

    Yaani nafikiria tu nikiiba naweza kesho nikaenda kwa mwenyewe nikamuomba msamaha na akanisamehe. Haya sasa je ukimtoa mtu roho hata ukaenda mbele za mungu kuomba msamaha bado utakuwa hauna amani. Maana haujui kama umesamehewa ama namna gani.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa soko la Sabasaba Sumbawanga tunadhulumiwa na Katibu wa CCM Mufindi

    Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli. Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga tuliounguliwa na moto katika soko la Mandela mwaka 2016 kupewa nafasi tuanzishe soko lingine. Tulianza...
  3. Surya

    JamiiForums Tanzania Uovu unatawala...... Leo kuna moto makanisani balaa

    Wakatoliki wote wanakemea uovu unaondelea kwenye nchi yetu.. Walutheri na sisi hatujabaki nyuma, kukemea japo huko juu viongozi wetu hawalushi makemeo wazi wazi, lakini waumini wote tunapewa neno la kutufungua fikra zaidi. Mchungaji wangu leo kanisani kafundisha Mambo mengi kwa ufupi. 1...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Padre: Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya

    Wakuu, Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani". Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
  5. Waugwadu

    JamiiForums Tanzania Wema na uovu ni kama pande mbili za sarafu!

    Ikiwa utatangaza nia yako ya kuuangamiza ouvu, tambua ya kuwa hayatakuwa mapambano ya wazi. Mchezo wa ouvu ni wa vita ya kisaikolojia, si vita wa kimwili. Unasema utauangamiza uovu. Uovu hautopinga azimio lako. Badala yake, utakupatia zana na rasilimali nyingi zinazoonekana kutokuwa na mwisho...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa uovu wanaoufanya Magaidi wa Hamas na Islamic Jihad hawapaswi kupewa nafasi ya kuishi katika duniani hii!!!!

    VIDEO ya kuhuzunisha ya sekunde 40 inayomuonyesha mateka wa Israel Evyatar David, akionekana kuwa na mifupa na dhaifu ndani ya handaki akilazimishwa kuchimba kaburi lake mwenyewe. Video hii ilitolewa kwa idhini ya familia yake, baada ya Hamas kuchapisha kanda hiyo bila ridhaa yao. Familia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uonevu unaofanywa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Serengeti

    Mganga mkuu wa wilaya anaharibu idara ya afya na kamati ya afya mkoa wanafahamu. Mkurugenzi anafahamu. Anawasimamisha kazi watumishi bila kufuata utaratibu na bila mkurugenzi kujua. Amewasimamisha watumishi wa kituo cha afya Natta bila Mkurugenzi kushirikishwa (ambaye ni mwajiri). Amemchukua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

    Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu. Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!

    Wanabodi, Huu ni ushauri wa Bure kwa Balozi Humprey Polepole. Tukubali tukatae, kitendo alichokifanya Balozi Humprey Polepole, kujiuzulu nyadhifa yenye hadhi kubwa kama ya ubalozi, ni kitendo cha kishujaa, hivyo Balozi Polepole ni shujaa mzalendo wa kweli kama Mwalimu Nyerere. Sii wengi wanajua...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wafalme na Watawala wabaya ili wafanye watakavyo, huanza kwa kuchafua hekalu

    Askofu Bagonza akihubiri katika Ibada ya kuweka Wakfu Vifaa na Alama za Kanisa zitakazotumiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga, amesema. Wafalme wabaya na watawala wabaya ili wafanikiwe, huwa wanaanza kuchafua hekalu. Hekalu likishashachafuka na kudhoofika, unabii hukoma, na wafalme...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wazo la kumhusisha nyoka na uovu linatoka wapi?

    Biblia pamoja na simulizi nyingi za kale kutoka sehemu mbalimbali za dunia zinaashiria uwezekano wa wanadamu wa zamani kuwa na mawasiliano na viumbe wa ajabu waliotoka mbali maarufu kama Ancient Aliens. :::(Rejea mada tuliyowaongelea ANUNNAKI). Simulizi la bustani ya Edeni katika kitabu cha...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche Apinga Kufungwa kwa Kanisa la Gwajima: 'Hatutanyamazia Utekaji, Uovu'

    https://www.youtube.com/watch?v=vO-UWuTq9AU Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho kinaungana na msimamo wa Askofu Josephat Gwajima, juu ya kupinga masuala ya utekaji ambayo ymekuwa yakiripotiwa nchini. Heche ameongeza kuwa kutokana na msimamo huo wanapinga pia...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashughulike na matatizo ya usalama wa wananchi na sio kushughulika na wanaofichua uovu. Sura ya Tanzania kimataifa imekuwa mbaya mno!

    Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa hii penalty hii mliowanyima Singida endeleen kuwabeba Simba uovu una mda wake nawahakikishia utaisha

    Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu Mda ukifika itasema
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki

    Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki. Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mtu wa Kwanza kukataa Madaraka akikataa kukubaliana na Uovu wa Wenzie Serikalini

    Mpango aliona haendani kabisa na Ukatili unaofanywa kwa watanganyika wenzie. Ameamua kujiweka pembeni kuepusha msongamano.
  17. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani?

    Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani? Karibuni wadau tujadili.
  18. H

    JamiiForums Tanzania CCM Imewekeza Sana Kwenye Uovu, Huku Kila Siku Ikiwafukuza Wananchi.

    Sijui ndani ya CCM ameingia shetani gani!! Maana kwa mwenye akili, hata ile akili ya kawaida sana, hawezi kufanya yale ambayo CCM inayafanya kwa sasa. Kiuhalisia, CCM ya sasa imewekeza sana kwenye uovu huku ikiwafukuza wananchi wote wema na wanaotaka haki ndani ya nchi. Fikiria chama ambacho...
  19. Desierto

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtu mmoja anawaingiza maelfu ya watu kwenye uovu ili dili lake lifanikiwe

    Mfano. MBUNGE ambaye atashinda kwa kura za wizi. Siku hiyo ya uchaguzi maelfu ya watu huingia kwenye mauvu ili mbunge ashinde. Ataanza mkuu was wilaya na mkurugezi halafu wanafuatia wakuu wote wa vituo vya POLICE halafu wanakuja maaskari wanaosimamia vituo siku hiyo baadae wasimamiza wa...
  20. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania kwenye Ukarimu wa Uovu (The Banality of Evil )

    MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi .Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye Mauaji ya Mayahudi ( Holocaust) . Chap MOSSAD chini Peter Malkin inafanya international Espionage...
Back
Top Bottom