uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijawahi kupata Kiongozi kwa tafsiri halisia ya Kiongozi

    Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki. Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea. Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Safu ya Uongozi wa juu wa CHADEMA haiaminiki kwa Watanzania kuweza kuungwa mkono

    Ndugu zangu watanzania, Ili chama Cha siasa kipate uungwaji mkono kutoka kwa watu ,Taasisi,Jumuiya,Rika mbalimbali,Makabila yote,Kanda zote na Dini zote Ni lazima Safu ya uongozi wa Juu wa chama husika iwe na viongozi wanao aminika na kuheshimika,wanao kubalika, wenye maadili na misimamo,wenye...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanasiasa: Kati ya Shetani na Binadamu nani ni baba wa Uongo?

    Inadaiwa Shetani alimdanganya Eva pale katika bustani ya Eden, alimdanganya nini? Ni nani aliyemuambia Adam kwamba yu uchi baada ya kula tunda alilokatazwa na Mungu asile? Yawezekana shetani anasingiziwa mengi. Maoni na Majawabu tafadhali!
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ataacha Katiba Mpya basi itatupatia picha kuwa uongozi ni akili na siyo nguvu

    Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja. Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
  5. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo uongozi wa mwendokasi (BRT)

    Wakuu tunaomba mjitahidi kutoa huduma inayoeleweka. Sijui ni nani anaepanga route za magari maana imagine mtu unakaa kituoni lisaa lizima gari zinapita chache mno na zimejaa hakuna hata pa kusimama. Mtu unaamua uende hadi terminal ya kivukoni au gerezani unakuta hali ndio haifai. Jitahidi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku. Serikali na uongozi uliopo hasa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Godfrey Nyange Kaburu kama Jambo hili tu jepesi na la Kikawaida limekushinda je, Uongozi wa Simba SC yetu utauweza?

    Utaratibu wa Wagombea uliwekwa wazi na hata Fomu ulizopewa zilijieleza kuwa kunatakiwa kuwe na Mhuri wa Kisheria na Saini yako Wewe kwa Kujifanya Alwatan ndani ya Simba SC ulivyojaza umeweka tu Mhuri bila Saini na Kuiwasalisha kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC ulitegemea nini...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mikakati hii ya kimafia ikifanyika Simba SC itakuwa Bingwa, wasiwasi wangu uko kwa Uongozi wenye kusalitiana

    Kikiundwa tu Kikosi Kazi cha Umafia (Michezo Michafu) ya Soka la Tanzania (Bongo) kisha Kikaaminiwa, kukawa na Usiri nina uhakika Simba SC ikizicheza Mechi Nne tu za Yanga SC ile ya Mtibwa Sugar FC, ya KMC FC, ya Namungo FC, ya Mbeya City na yetu ya Sisi na Wao huku Simba SC tukikubaliana...
  9. vibertz

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa uongozi wa Yanga

    Kuna tetesi za Feisal kuondoka kwenda Azam, kama lina ukweli basi atakiwe kila la kheri maana mpira ni ajira. Ila napendekeza uongozi ufanye replacement yake kwa kumchukua mchezaji fundi kutoka Singida big stars atatufaa sana. Hasa ukizingatia tunaelekea kwenye michezo ya makundi Shirikisho CAF.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Uongozi siyo sura. Fuateni nyayo za waziri wa Sudan Mobior Garang

    Mobior Garang mtoto wa rais wa kwanza wa Sudan Kusini, alikuwa waziri wa maji na alifanikiwa sana kuhakikisha kila mahali nchini kwake Kuna maji. Hapa bongo kwa muonekano wa huyu mshikaji hata ubalozi asingepewa na angeozea jela.
  11. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Hapa huwa najiuliza ni wapi tunapokosea Watanzania? Uongozi wa aina ipi tunaohitaji kufanya kazi pasipo kushurutishwa?

    Our late president JPM alikuwa Chapakazi sana kwa hili nampongeza sana kwa wakati ule alipopokea kijiti kutoka kwa JK alikimbia sana na wakati kwenye kuinua nchi upande wa nyezo za uchukuzi na kuipa nchi nafasi nyingine ya kuingia mikataba yenye uhai hata hivi leo bado zinaendelea kufanya...
  12. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka kuchukua nchi fanyeni marekebisho kuanzia mfumo wenu wa uongozi kwa ujumla

    Hellow, Hakuna chama cha upizani kina nguvu kama CHADEMA na kina watu wengi sana kuliko vingine vyama vya upinzani. Lakini pia kina watu makini sana ambao watu hao wamejawa na tamaa, yaani ni wabinafsi sana kuliko kawaida. CHADEMA kina miaka mingi sana tangu kianzishwe Tanzania, lakini Ofisi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwa ujumla wake tuna tatizo la uongozi ngazi zote

    Mbowe kasema ukweli. Je tufanyaje ili kuwa na viongozi watendaji, wabunifu na wasio wala rushwa. Pamoja na katiba mpya tujiulize je utamaduni ni tatizo, je elimu yetu ni tatizo. Kwanini makabila mengine yana utamaduni wa biashara na maendeleo na mengine hayana. Kwanini wahindi wana utamaduni wa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Taifa, natamani kuona uongozi mpya wenye ushawishi

    Amani iwe nanyi, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
  15. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakristo wa CCM mmeanza uchochezi, huu upuuzi wa kulalamika dini kwenye vyeo vya juu muuache. Chama hakina dini

    Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam, Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!. Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura...
  16. luangalila

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Halmashauri ya Shinyanga kijijini angalieni kwa makini mnada unaofanyika soko la Tinde

    Wadau kwema ! Naleta maoni yangu kwa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga vijijini, kuna soko la mnada pale maeneo ya Tinde huwa ni maarufu sanaa kwa biashara mbali mbali hadi vitoweo Nilifika ilo eneo leo kwa mara ya kwanza lkn kiukweli ni hatarishi sanaa uchomaji wa nyama Mbuzi unaofanyika...
  17. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza Hotuba za Samia ukalinganisha na Mwendazake utagundua uongozi ni karama

    Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu. Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto. JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kuanguka chooni kwa kupigwa stroke

    Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha. Baada ya kila kitu...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ana sifa nzuri au mbaya katika uongozi wake?

    Moja ya sifa za Rais Samia Suluhu Hassan ni muumini mzuri wa mageuzi yenye lengo la kubadili fikra, dhana na mitizamo ambayo imekuwa kikwazo kwa jitihada za vijana katika kufikia mafanikio katika nyanja za biashara na uchumi. Sifa nyingine ya Mama ni usikivu, mrahisi kufikika, mfariji na...
  20. Kaji Bagome

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Msingi (W) Magu, rekebisha uongozi wa Shule ya Msingi Magu

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee, sawa; moja kwa moja kwenye Mada. DEO Msingi (W) Magu, napenda kukujulisha kwamba, uongozi wa Shule ya Msingi Magu umepwaya, kiasi kwamba mshikamano wa waalimu shuleni hapo haupo; waalimu wamegawanywa na Mwalimu Mkuu EZEKIEL NJALLA; kiasi kwamba...
Back
Top Bottom