Uongozi wa Halmashauri ya Shinyanga kijijini angalieni kwa makini mnada unaofanyika soko la Tinde

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Wadau kwema !

Naleta maoni yangu kwa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga vijijini, kuna soko la mnada pale maeneo ya Tinde huwa ni maarufu sanaa kwa biashara mbali mbali hadi vitoweo

Nilifika ilo eneo leo kwa mara ya kwanza lkn kiukweli ni hatarishi sanaa uchomaji wa nyama Mbuzi unaofanyika pale sizani kama watu wa idara ya Afya na Mazingira wa Shinyanga DC wana litolea macho ...biashara ya chakula inafanyika ktk mazingira sio rafiki hapo hapo kuna mi umbwa inazunguka , hata wale wafany biashara ya kuuza Nyama hawazingatii usafi ..maji tu ya kunawia mikono ni Issue

Hofu yangu siku ukiibuka ugonjwa wa mlipuko au magonjwa kwa wanyama ni wazi pale pata leta majanga, nashauri Shinyanga DC na uongozi, tembeleeni pale mpange utaratibu na kusisitiza mazingira rafiki

Kwa walio wahi fika hapo maeneo watakubaliana na mie, naomba kuwasilisha.

Asante.
 
Hiyo ndiyo maana ya mnada. Unataka huduma zenye hadhi ya Hoteli ya nyota tano mnadani?
 
Back
Top Bottom