Uongozi wa uto waazimia kumuonyesha mlango wa kutokea kocha wao. Wachezaji wakongomani nao kuwekwa kitimoto

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,099
3,363
Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo:

1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani?
2. Kwa nini wachezaji wake wote aliowapanga jana walinywea kama ugali wa bada na kupelea mzee wa kutetema kutokugusa mpira kwa dakika zote 90 alizocheza?
3. Kuhusu wachezaji wa Kikongo, hawa wanatuhumiwa kucheza chini ya kiwango ili kumuokoa Kocha Ibenge ambaye ni Mkongomani mwenzao asitemeshwe kibarua.

Kikao bado kinaendelea.
 
Tarehe 23 Utopwizo jiandaeni kwa kipigo kitakatifu. Nipo nimekaa hapa hii ni kampeni yangu mpk trh 23 ntakua nawakumbusha kila siku
 
Mechi ya makolo nawakojolea hata siwazi hii simba tunaijua sana kuwafunga lazima furaha yetu itarudi mchumba ataingia gesti Bila chupi
 
Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo:

1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani?
2. Kwa nini wachezaji wake wote aliowapanga jana walinywea kama ugali wa bada na kupelea mzee wa kutetema kutokugusa mpira kwa dakika zote 90 alizocheza?
3. Kuhusu wachezaji wa Kikongo, hawa wanatuhumiwa kucheza chini ya kiwango ili kumuokoa Kocha Ibenge ambaye ni Mkongomani mwenzao asitemeshwe kibarua.

Kikao bado kinaendelea.
🚮
 
Back
Top Bottom