Nahisi watako, Kichwa, Miguu, Tumbo, macho na Midomo wao hawana..
Mtu atusaidie kumnyang'anya Nyahoza Kalamu. Msajili wa Vyama vya Siasa kajigeuza mwalimu wa kiswahili na Mahakama.
Tunawashukuru sana uongozi wa JamiiAfrica kwa kupigania hili jukwaa la kitanzania kwa ajili ya watanzania. Kufungia jukwaa ilikuwa sawa na kutuziba pumzi.
Tunaiomba serikali iache utaratibu huu. Kama kuna shida iwe inatatuliwa kwa mazungumzo bila kuathiri upatikanaji wake.
Wanasiasa walioko...
Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi umeona taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu changamoto ya ukosefu wa Mochwari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi.
Hoja ya Mdau ~ Milioni 100+ zinatumika kununua gari la ‘staff’ Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi...
Hili ni jambo ambalo hatimae nimetambua ndilo tatizo kubwa linaloikabili Tanzania. Ni kwamba maamuzi mengi kuhusu Tanzania yanafanywa na viongozi wenye IQ (akili ya kufanya maamuzi sahihi) ndogo sana, na hata wale wenye IQ ya kutosha hawatumii akili yao bali wanafanya mambo kwa njia ya...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza katika mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, Msigwa alifafanua kuwa namna wananchi wanavyotii sheria ni kipimo cha wazi cha kuridhishwa na uongozi na mwelekeo wa nchi.
Katika historia ya taifa letu viongozi wanaobeba moyo wa uzalendo wa kweli huendelea kukumbukwa kwa namna walivyoweka mbele maslahi ya wananchi na kulinda heshima ya nchi yao.
Ameendelea kuonesha mfano huo kupitia uongozi wake wenye utulivu hekima na moyo wa kujali watu hili ni lazima Liwekwe...
Amebaki Pascal Mayalla anajitutumua kua very critical.
Ufisadi unaoendelea sasa hivi bila kuwa tasinia ya habari yenye waandishi wa habari kama Pascal Mayalla taifa letu linakwenda pabaya sana.
Bajeti zinapitishwa na bunge huwezi kuona Mwandishi amechambua au kumhoji waziri husika...
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza
Kwa list fupi:
1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni
2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote
3. Kupunguza uhasama –...
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.
Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia...
Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
Habari,
Mimi ni mkazi wa Morogoro mjini.
Changamoto niliyokutana nayo TTCL Morogoro ni kuwa nilituma maombi kwa ajili ya kuja kufungiwa fiber internet kwenye eneo langu la kazi lakini maombi hayo hayakujibiwa mpaka nilipoenda ofisini kwao kuwauliza.
Wakaniambia subiri zamu yako ikifika...
Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa.
Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate.
Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za ziada (extension fees) licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujitahidi sana.
Mfano halisi:
Kuna...
Anonymous
Thread
chuo kikuu
postgraduate
tafiti
udom
uongozi
usimamizi
wanafunzi wengi
Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji
Nafanya kazi kwenye kampuni moja ambayo ina miaka mingi tangu kuanzishwa kwake, imeshakuwa na wakurugenzi kadhaa, ila mara nyingi huwa wanaondoka kwa...
Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha...
Neno Acha Ujinga limekuwa maarufu sana jf,na limetumika kuanzia zamani sana,juzi nilitembelea uzi wa Makapuku nikakuta toka 2016 hili neno linatumika sana
Kwahiyo neno hili lipewe imoji ili iwe rahisi kuwatupia watu ambao huleta ujinga humu ndani.
Ni hayo tu!
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian, Makonda amesimamisha Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na kuusimamisha Uongozi wa sasa wa Kamati hiyo kufuatia malalamiko ya baadhi ya Wagombea waliokuwa wakiwania nafasi mbalimbali za Uongozi wa TOC kuenguliwa kushiriki...
Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na Gallup, ambalo ni shirika maarufu la kimataifa la uchunguzi wa maoni, unaonesha kwamba mwaka jana, kiwango cha kukubaliwa kwa uongozi wa kimataifa wa China ni asilimia 36, na kuizidi Marekani kwa asilimia 5.
Uchunguzi wa Gallup umeshirikisha zaidi...
Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mwelekeo wa kidiplomasia. Kauli na hatua zake za awali zilijenga taswira ya kufungua milango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.