uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Cha msingi kwa sasa ni kuondoa kwa nguvu uongozi wa kisiasa kote ndani ya Afrika

    Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu kuelekea kuwaondoa wanasiasa wote madarakani na viongozi wao ili kujipanga upya na kuleta HAKI kwa wote sivyo hamna kitu hapo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Mtume Muhammad S.A.W Wakati wa nchi ilipokuwa na Migogoro. Jinsi alivyotatua

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi wa kipekee aliyeongoza jamii yenye migogoro ya kikabila, kiimani, kijamii na kisiasa. Uongozi wake uliijenga amani, umoja, utawala wa sheria, na usawa katika mazingira ambayo awali yalikuwa magumu sana. Njia alizozitumia 1. Alisimamia Mkataba wa Amani –...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Marekani hufanana na wa Tanzania

    Kwa kawaida mara nyingi (Siyo Mara zote) uongozi wa Tanzania hufanana na uongozi wa Marekani Kwa wakati husika. Chunguza utanielewa!!
  4. vnn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Hivi nchi ya Tanzania haina uongozi?

    Ulishawai kuiona familia ambayo haina mzazi? kila mtu ni kambale anafanya anachotaka! nashangaa hizi siku kila mtu alipo anajiropokea tu, kila mtu anaongea anachojiskia, Kuna chizi mmoja anajiita shekhe amehaidi kuwakata vichwa wote wataoandamana desemba9, tena akiwa mbele ya vyombo vya...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hatama ya Uongozi wa Tanzania na Mwalimu JK Nyerere? Tusjisahihishe hivi Vitabu Vometabili Mengi Sana

    Pitie hivi Vitabu
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashe: Namshukuru Rais Samia kwa imani kubwa aliyonionyesha kipindi chake cha kwanza cha uongozi na kuniteua

    Baada ya kutupwa nje katika baraza jipya la mawaziri Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema: Natumia nafasi hii kumshukuru Allah kwa kila jambo na kwa baraka zake katika safari yangu ya utumishi. Namshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa imani kubwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutaweka mazingira kuhakikisha tunakuza vijana kwenye uongozi

    Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Taja jina la mbunge unayetamani awe Waziri Mkuu mpya wa Tanzania?

    Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM. Tupe utabiri wako
  9. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Je, Damu za Raia Ndiyo Ufunguo wa Kimamlaka Uongozi?

    Kama Unavielewa Vile Vyama Vya Siri na Wanaoiiendesha Dunia Karibu Tujadili kwa Undani. Niendelee kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopotezwa kwa kuuliwa kupitia askali waajiliwa wa government yetu. Nimejiuliza kimya kimya ila jibu linakosekana ila matukio mengi huko nyuma na sehemu...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ mpelekeni haraka Oman kwa Wajomba zake na Itisheni baraza la Uongozi la Kitaifa

    Wananchi tumeshachukua nchi yetu. Tunawaomba sana makamanda wetu tunaowapenda sana. Taasisi pekee tunayoiamini wananchi. Tuondoleeni huyo mama mpandisheni ndege aende kwa wajomba zake Oman. Itisheni haraka baraza la Uongozi la Kitaifa chini ya Jeshi tuanze kuijenga upya nchi yetu.
  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Jabal school jijini Mwanza mnafeli

    Yaani watoto kutoka saa kumi na mbili wanasubiri usafiri hadi saa mbili hii
  13. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Uongozi wa Mabavu Kulingana na Biblia Takatifu

    Katika historia ya kibinadamu, kiongozi wa kweli anapaswa kuwa mfano wa huruma, haki, na upendo kwa watu wake. Hata hivyo, wakati mwingine tunashuhudia viongozi wanaotumia mabavu na nguvu ili kujimilikisha madaraka, na hii mara nyingi husababisha madhara makubwa kwa taifa, familia, na hata...
  14. Patriot

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Madagascar limechukua Uongozi wa nchi! Eti TV za Bongo wanashindwa kutangaza kwamba

    Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea? Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Jingu: Wanawake wapewe nafasi za Uongozi si kwa sababu ni wanawake ila kulingana na uwezo wao

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amewataka viongozi wanawake chipukizi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kuchukua hatua madhubuti na kuleta mabadiliko halisi katika safari zao za uongozi ‎ Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati...
  16. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Heche: Muachieni Polepole na viongozi wetu wote haraka

    Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya....... "Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii. Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Afrika hasa Tanzania tuna uongozi au uongo?

    Ukiwasikia na kuwasiliza kwa makini, watawala wanavyowahadaa na kuwadanganya watawaliwa unashangaa na kujiuliza. Je tuna uongozi au uongo? Nafikiri na kuwaza kimya kimya baba yenu nyote.
  18. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ni maandamano ya wananchi Kenya wakimuonya Rais Ruto kuongeza muda wa uongozi

  19. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Bibi anasema katika uongozi wa Richard Turnbull watu walikuwa hawapotei. Alikuwa na UTU, hakutaka kuona damu ya mtanganyika, kweli mkoloni hana RANGI

    Kwenye story mbili tatu na mke wangu hapa (Junior huwezi elewa, namuongelea BIBi hapa) akawa ananisumulia kuhusu utawala wa waengeleza (ni reza au leza, tuachane nayo pia, sio muhimu). Watu walikuwa hawapotei hovyo, anasema yule bwana alikuwa hataki kuona watu wanapotea potea na alishawahi utoa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maria Sarungi: Heche na Lema mmeiua CHADEMA kwa uongozi wa Mabavu

    Habari wakuu, Kama kweli ni kauli ya Maria Sarungi simuuungi mkono Naona Maria Sarungi katema cheche huku akidai Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche pmoja na Jonathan Lema kuwa uongozi wao wa Mabavu umeua CHADEMA ilhali tangu CHADEMA ikumbwe na matatizo...
Back
Top Bottom