uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

    WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37. Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa...
  2. Makamba unampa taarifa za uongo Rais kwa faida ya nani?

    Kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu. Sasa juzi Januari...
  3. Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

    Anaandika Robert Heriel. Leo tutajadili ishu ya UONGO dhidi ya UKWELI. Katika Mantiki/Logic Ipo Hivi; Ukweli + Ukweli = Ukweli Ukweli + Uongo = Uongo Uongo + Uongo = Uongo Uongo + Uongo = Uongo Mara nyingi ukweli hujulikana zaidi kwenye matokeo/mwisho wa Jambo au muda. Ukweli huwaga hauna...
  4. Kumbe show ya Mr. Right ni uongo

    Mr right ni show inaonyeshwa startimes na wasichana wanachaguliwa na wanaume single ili waolewe. Ila baada ya yote Kuna huyu mmaza alikuwa huko majuzi hapa anahojiwa anadai yupo single na majuzi hapa alipata mchumba hapo Mr right na alidai wanaoana Sasa inakuwaje ni single tena naalikuwa...
  5. Ninaamini bila shaka historia ya nchi imeharibiwa makusudi kisiasa, sehemu kubwa ni uongo

    Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI... nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za...
  6. Nchi ya Uongo: Mpaka leo hakuna mwalimu amepewa kishkwambi

    Hii nchi bhana! Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.
  7. Ni Kwanini Tulikuwa tunamchukia Makonda na Kumsingizia Uongo? Tumwombe Radhi

    Watu walikuwa wanasema subiri Magufuli aondoke madarakani jamaa ata suffer sana. Anachukiwa hata na CCM wenzie. Leo hii si kwamba Magufuli hayupo Madarakani. Ni kwamba hayupo kabisa Duniani. Na Makonda anadunda tu. Mtu ambaye tuliambiwa hafai kuwa uraiani. Muuaji, jambazi, amewatesa wauza...
  8. Uongo mgumu kuutetea, Tundu Lissu, CHADEMA na CCM wanahaha!

    Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee...
  9. Tukumbushane kazi ambazo ukizifanya ni kumtegemea Mungu

    Mimi naanza na udereva wa magari masafa marefu, hasa nje ya nchi.
  10. Magazeti ya Tanzania yana habari nyingi za kupotosha

    Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa. Inasema mishahara ya paa. Ukiangalia Ile document ya increment inasikitisha kweli sekta binafsi kima cha chini kutoka 120k Hadi 150k gazeti linasema mishahara imepaa. Ivi Kwa dunia ya Leo Nani anaweza kuishi Kwa Mshahara wa 150k. Amini na...
  11. Jf members mpunguze uongo kidogo

    God is good all the time, All the time....(don moen). Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini...
  12. Domain kwa AFUTATU goddady ni uongo bwana!

    Wale wrote mliopata domain name kwa TSH.3000 naomba maelekezo, Balenciaga Jr ulipataje hiyo domain kwa afutatu/NNE
  13. T

    Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo. Tuanze na Biblia. 1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu. Tukiamini hivyo...
  14. Baada ya Act wazalendo kuwapiga bao Chadema kisiasa. Chadema wanaeneza uongo kuwa wamejenga ofisi mikoani.

    Jiwe la msingi limeandikwa kwa mark pen. Jengo ambalo ni duka la wananzengo. Huu ni utapeli mkubwa sana wa kisiasa.
  15. Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

    Sio kila muda tuwe tunakuwa serious sana, acha tuburudike kidogo. - Kondoo anapigana na radi na radi inapigwa. - Radi itakupiga ukivaa nguo nyekundu.
  16. Harmonize kama anayoongea Mwijaku ni uongo nenda mahamani! Ukikaa kimya utakuwa mjinga

    Mwijaku amevuka mipaka ya umbea, na amefikia Mahali pabaya kiasi Cha kujaribu kuidhalilisha familia ya Harmonize na Kajala. Mwijaku anadai Hamo analala na Kajala pamoja na Pau Kwa wakati mmoja ni udhalilishaji mbaya mno kuwahi kutokea! Maswali ya kujiuliza ni je Mwijaku Huwa anaingia...
  17. Kwanini Mawaziri Wazanzibar hawapendi kusema uongo?

    Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusiana na Sakata la Trilioni 360 alikiri mbele ya Bunge kuwa madai hayo ni kweli yapo na Serikali inayatambua. Lakini alipokuja Mwigulu Nchemba kuongezea majibu ya Naibu Waziri wake akasema mashauri...
  18. J

    Wanaume acheni uongo, ukweli utawaweka huru

    Unakuta mwanaume anafamilia yake anakorofisha na mke wake anakwenda kutafuta mchepuka. Akifika huko na hasira zake anadanganya hajaoa au kaoa lakn hampendi mkewe, anaenda mbali zaidi anasema anampenda huyo mchepuko zaidi na yuko tayari kuachana na mkewe, hapo hajui km anatengeneza Bomu mchepuko...
  19. J

    Kuhusu UONGO wa kuokota injini za treni Bandarini. Je, Prof. Makame Mbarawa aombe radhi?

    Kuna engine / vichwa vya treni vilikuwa bandarini na serikali ikadanganya kwamba havina mwenyewe. Vichwa vya treni ni mitambo ya thamani kubwa sana na mara nyingi kama sio zote huundwa kwa mikataba maalum. Haiyumkiniki kukawa na vichwa vya treni visivyokuwa na mwenyewe, au vichwa vya treni...
  20. M

    Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi. Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…