Nikisema hapa tuvue mashati, kila mtu aangalie mgongo wa mwenzake, tutakimbiana jinsi kulivyo na taka, sababu mikono yetu haifiki huko katika kujisugua.
Mwenye uwezo wa kukusugua ni mkeo peke yake, sasa jaribu kumwambie mke wangu twende tukaoge wote, au njoo nisugue mgongo uone atakavyokukwepa...
WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA
Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku...
Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.
Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
Mahakama ya Mwanzo Mkoani Mbeya imevunja ndoa ya Upendo Charles (40) na Nelson Sospeter (54) baada ya mke kudai kutopatiwa unyumba na mume wake kwa muda wa miaka saba.
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Asha Njovu, amesema baada ya kusikiliza kwa kipa pande zote mbili Mahakama iligundua kuwa...
Ugomvi wa baba na mama umekuwa ukiongezeka siku hadi siku. Nipo kijijini kwa mapumziko ya likizo ya siku 28. Hali hii imekuwa ikinikera sana hivyo nikaona kwasababu mimi ni mtu mzima nikae chini na Mzee Wangu tuyaongee, kwani shida ni nini?
Basi, kwa kuwa Mzee Wangu ni mtu wa kupenda maji...
Wakuu naomba tupeane mawazo kuhusiana na swala hili linalosumbua sana katika mahusiano.
Kumekuwa na tabia ya wanawake kuwanyima wenza wao unyumba kwa sababu tofauti, lakini kubwa zaidi tutazame sababu hii inayotokana na mwanaume kushindwa kutizimiza ahadi alizompa mwenziwe mfano; kumnunulia...
Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza.
Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna...
Tunaposema maandiko ya biblia hayajakataza ndoa yenye mke zaidi ya mmoja ila ni maelekezo ya viongozi wa makanisa muwe waelewa.
Haya sasa, hivi chukulia kijana wa kikristo mwenye miaka 25 kaoa halafu anaenda kukutana vitu hivi kwenye ndoa.
Mke kaamua awe na mtoto mmoja tu baada ya hapo...
Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo.
Unakuta
-Mke anakunyima game maksudi kabisa
- Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa
-Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma.
....
Na hurusiwi ongeza mke.
hii hali dhambi ya uzinzi inaepukika?
Wasalamu wakuu.
Ni hivi, huyu binti kanichosha.
Tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za ajabu. Mara utasikia “wewe hebu niache”, mara “mambo gani hayo mi sitaki”.
Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye...
SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!.
Na, Robert Heriel.
Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio yakujitungia, ni matokeo ya uchunguzi huru nilioufanya. Aidha uchunguzi huu usichukuliwe kuwa Rasmi Kwa...
Baadhi ya wanaume mkoani Shinyanga wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa na kupigwa na wake zao.
Hayo wameyasema Jumanne Desemba 7, 2021 wakati wakipewa elimu ya ukatili wa kijinsia na dawati la jinsia la polisi katika stendi ya mabasi wilayani Shinyanga...
WEDNESDAY AUGUST 18 2021
Moshi. Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kennedy Malekea (21), mkazi wa kijiji cha Msinga wilayani Rombo kwatuhuma za kumuua mkewe Fausta Silayo (22) kwa kumchoma visu vya tumboni na mgongoni kwa madai ya kunyimwa unyumba.
Marehemu Fausta alikuwa na...
Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba.
Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma...
Wana MMU,
Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe.
Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.