Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

Kaparare

Member
Apr 19, 2021
93
230
Wasalamu wakuu.

Ni hivi, huyu binti kanichosha.

Tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za ajabu. Mara utasikia “wewe hebu niache”, mara “mambo gani hayo mi sitaki”.

Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye mwili. Nambembeleza sana lakini wapi naambulia Mzungu wa Nne!!

Imefika muda namwambia you are not romantic hata kidogo eti kunipa utamu mpaka ajisikie mwenyewe ndo utasikia haya leo tufanye sasa.

Juzi nilimtumia meseji nzuri ya Mahaba jinsi ninavyoikubali K yake huku nikimuelekeza jinsi ya kufinyia kwa ndani binti akanijibu "Hivi wewe ni mjinga umechanganyikiwa" aisee nilichoka kabisa.

Hapa nilipo Sina hamu tena.

Huyu binti ni mke wangu niliyemtolea mahari. Kwa lugha nyepesi ananinyima unyumba au kunipangia siku za kunipa.

Nafikiria kumrudisha kwao maana hata kuzaa aliniambia atazaa baada ya Miaka miwili eti hawezi kuingia kwenye Ndoa na kukimbilia kuzaa.

Pia heshima yake kwangu ni ndogo Sana. Anapenda kunibishia ndani ya nyumba hatusikilizani. Muda mwingi yupo busy anachat na Mama ake na Ndugu zake wengine. Anapenda kutoa Siri za ndani kwetu yaani nikikwama kidogo tayari kashamwambia mama ake au dada ake "Hela yenyewe hamna leo kaniachia 2000" 😭😭[/B]

Kabla sijachukua maamuzi magumu tafadhali naomba mnishauri; vipi kuna mke kweli hapa au napoteza muda?
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
mkuu karne hii unatafutiwa mke wakuoaa alihali mzigo ndio unakaa nao ndani ama kweli umebeshwa gunia la misumari alihali una upara.
Pole sana wajulishe hao waliokutafutia huyo mke wajue hali unayopitia ....ila mwanamke kama unamsugua vyema mbususu hawezi kukunyima kamwe labda pengine hana hisia na wewe"
Je ulimkuta bikra?
 
Jamani jamani,hakuna ndoa isiyo na changamoto hata moja.
Ndoa nyingi zinachangamoto kadha wa kadha tena mpk hizo ambazo wanandoa walichaguana wenyewe bila shinikizo la wakubwa.
Kijana asaidiwe ushaurì,bila kujali alichaguliwa...na wakubwa zake.
 
Nasisitiza,,, acheni kuoa wakuu,,, malalamiko yamekuwa mengi sana mbona..

Sasa wew unanyimwa unyumba,,, ujue kuna mwana huko anapewa yote hadi tiGo rusha...

Halafu pia vip unajiweza kiuchumi.!?? Au ndio tia maji tia maji hapakuchi panakucha kidogo chetu kikubwa cha bakhresa.

Nidhamu italetwa na pesa.... Hilo la unyumba pia linaweza letwa...

Ila bila kupepesa macho,,, Mkuu hupendwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom