unyama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Minjingu Jingu

    Wa Azerbaijan walaani Unyama wa Russia hadi kwao

  2. Koffi Annan

    Vodacom wamenifanyia unyama, kesho naenda makao makuu na mwanasheria wangu.

    Nimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998 Matumizi yangu kwa siku ya jana hayajazidi dakika 300 kwa mujibu wa call history. Sijapokea sms yoyote kuonesha dakika...
  3. Dr Matola PhD

    Nini msimamo wa TLS kwa wanachama wake kuwatetea wabakaji na walawiti ambao jamii nzima imeona unyama wao?

    Mimi siyo mwanasheria, lakini nimeona msimamo wa TLS kulaani tukio la unyama uliofanywa na wabakaji na walawiti na TLS imetowa wito kuhakikisha haki inatendeka. Sasa napata tabu kidogo kusikia kuna mawakili wanne wanaowatetea hawa washenzi wasiostahili huruma hata chembe. Mimi ningekuwa wakili...
  4. MK254

    Magaidi wa jihad wakutana na walaji watu wa Mali, unyama kwa unyama, yetu macho

    Wanajeshi wa Mali watuhumiwa kuchinja magaidi wa jihad ya kiislamu na kuwatafuna nyama, kuna video ilikua inasambaa ila imefutwa.....yaani wote mashetani, binadamu wanafanyiana unyama kuzidi wanyama wa mwituni..... Magaidi ya kijihadi kujinadi kwamba wao ndio wakali wa kufanya maunyama, ila...
  5. Webabu

    Jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kufanya unyama Palestina, wasiingie nchi yoyote duniani kuamrisha ujinga ujinga wao

    Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika . Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na...
  6. R

    Afrika na Uafrika: Nini kiliwafikisha hapa Liberia kufanya unyama huu 1980

    Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980
  7. B

    South Africa: Unyama wa Israel haukuanza Oct 7

    1. Kimeumana mahakamani "koleo" laitwa kwa jina lake: 2. Kuna wale wenye mahaba uchwara ya dini. 3. Kwamba hawawezi kujiuliza katika nchi zote, kwanini HAMAS wana taabu na Israel si Kenya wala Tanzania?
  8. MK254

    Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

    Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
  9. Webabu

    Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama

    Inashangaza sana kuwa binadamu sasa wamekuwa na roho za kinyama sana kwa sababu wanyama ndio ambao mwenzao akiliwa wanakuwa na msaada mdogo sana japokuwa kwa umoja wao wangeamua wangeweza kumuokoa. Kinachotokea Gaza kinalingana sana na unyama.Kiwango cha vifo vya wapalestina na kujeruhiwa ni...
  10. ELI COHEN

    Mwana mfalme wa Bahrain ailaani (condemn) hamas na unyama waliofanya october 7th

    Haijalishi wewe ni muislam au lah lakini kama una akili za kutosha hauwezi furahia unyama walioufanya hamas. Jana tu tumepokea taarifa dogo wetu mtanzania ni kwamba hayupo tena na sisi. Huyu prince ni mmoja wa waislam wachache ambao wamejitokeza kukiri ujinga wa hamas wengine wanajifanya...
  11. Msanii

    Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

    Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale...
  12. Erythrocyte

    Unyama: George Sanga atimiza siku 1088 rumande kwa tuhuma ya Mauaji

    Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee? Ikumbukwe kwamba huyu kijana George Sanga hajafungwa , yuko selo tu huku tukiendelea kuambiwa Upelelezi bado haujakamilika...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  14. Kipenzi Changu

    Simba yauza tiketi zote za Simba Day leo Agosti 3, 2023, zaidi ya saa 48 kabla ya siku yenyewe

    Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY. Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi
  15. Valencia_UPV

    Subaru Forester (2008-2023) unyama sana

    Hizi ndinga zimekaa vizuri kuanzia umbo la nje, speed 240kph (max), AWD, ground clearance nzuri. Vijana hizi ndo gari za kuendesha Kwa sasa si MURANO
  16. F

    Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc. Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani. Jamani, hivi...
  17. B

    Unyama aliofanyiwa mtoto huyu ulaaniwe

    Binadamu baadhi yetu wana wivu, chuki na roho mbaya inayowafanya kutumia njia zozote kuhakikisha jambo lao baya linafanikiwa. Soma alichokisema mtoto huyu ambaye ni msanii kutoka Congo namna alivyopata upofu wakati alizaliwa akiwa anaona vizuri. "Mimi sikuzaliwa kipofu, nilizaliwa naona kama...
  18. Mussa Nzugilwa

    Single mother bana, tabu tupu

    Samaleko... Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe. Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo...
  19. Wakili wa shetani

    Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

    Katika timu zote kwenye mashindano ya CAF, jina la Young Africans ndiyo tamu zaidi.
Back
Top Bottom