unapenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwanini unapenda Kusali misa ya kwanza?

    Kristu Ni Tumanini Letu. Mapendo Daima. Binafisi huwa napenda kusali misa ya 1. Ibada ya misa ya kwanza huanza mapema na kuisha mapema pia. Baada ya hapo unaendelea na kazi zako za kila siku. Je wewe huwa unaenda misa ya ngapi? Nawatakieni ibada njema nyote wakristu wanzangu. Bwana awe Nanyi
  2. Traxtion

    Ni kitu gani unapenda kuhusu Tanzania 🇹🇿

    Actually nchi yetu Tanzania ina changamoto nyingi sana na huenda zikachukua miongo mingi kuzitatua. Tumekuwa tukilalamikia changamoto nyingi za nchi hii huku wengi wakitamani zitatuliwe, na hii inaonesha kwamba watu wengi wanaipenda nchi yao, haijalishi tunatofautiana mitazamo kiasi gani lakini...
  3. VERBOSE

    LOOSE BALL: Kama wewe umewahi kukutana na Loose Balls pitia hapa. Dondosha kisa chako hapa

    Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?. NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
  4. H

    Samia kwanini unapenda maigizo!?

    Huyu Samia ni kama alizaliwa kuwa muigizaji akajikuta anapenda uhudumu wa ndege. Isivyo bahati akadondokea kwenye uraisi. Maigizo ya Samia: 1) ety kaanzisha wizara ya vijana hii wizara mbona ipo toka kitambo lakini anavyo ibrend ni kama haikuwepo. 2) Uchunguzi ety ameunda tume huru, huru...
  5. BabaMorgan

    Kama unapenda muziki utakubaliana na mimi zile amapiano za mwanzo kipindi cha corona zilikuwa noma sana

    Tuwape maua yao South Afrika kipindi kile cha COVID-19 zilidondoka amapiano kila ngoma ilikuwa fire moja kati ya hizo ngoma ilikuwa Jerusalema ya Master KG hili dude lilikuwa habari nyingine aisee. Dude jingine lilikuwa ke star remix ya Focalistic na Davido hatujatulitia wakatuchapa na champion...
  6. The silent smile

    Kuna matunda mengi sana, ila mimi nalipenda zaidi hili... Je wewe unapenda lipi zaidi?

    Habari Wadau: Inafahamika kuwa kila binadamu ana kile anachokipenda zaidi, na asichokipenda zaidi katika vyakula na matunda.. Kwenye upande wa matunda nayapenda mengi tuu, ila katika hayo yote kuna tunda nalipenda zaidi na bahati mbaya sikutanagi nalo mara kwa mara, Tunda lenyewe linaitwa...
  7. AskariKanzu

    Ni njia gani unapenda kuonyeshwa upendo

    -Maneno matamu -Matendo -Zawadi -Muda wa pamoja -Kuguswa
  8. mcTobby

    Siku ya mazishi yako unapenda nyimbo gani uipendayo ipigwe?

    Kuna nukuu isemayo "An empty mind is a devil workshop" . Sasa hapa katika kuwaza nimejikuta nafikiria itokee labda chance ya ku select nyimbo niipendayo ichezwe katika siku ya mazishi yangu ningetamani nichezewe hii. Ili inisindikize huko kunaposemekana kuna Afterlife...
  9. Fbn

    Mambo machache kama unapenda wajapani wakuheshimu na nchi ambazo sio Japani

    Katika mambo ambayo nataka twende kwenye mada kuhusu Wajapani na mataifa ambayo yanaweza kuwa kama japani. Wajapani wakitaka kukuheshimu kuna mambo mengi ila cha kwanza kikubwa. Heshimu maisha yako na watu: Japan ni bora mtu kujiua kama kashindwa kuheshimu maisha yake au watu wake kuliko...
  10. C

    Kama wewe ni developer, una Ideas, ya software, unapenda mambo ya Programming Huu uzi ni kwa ajili yako

    Wadau ..kwema bado kumekua na mijadala mingi sana kuhusu Programmers au developers wa Kibongo lakini nitaelezea hapa matatizo kulingana na uzoefu wangu nitaelezea Sababu tatu tuu zinazotufanya developers wa kibongo kuendelea kuwa Maskini. 1.FINANCIAL STABLE Hili ni tatizo kubwa saana...
  11. uhurumoja

    Kama unapenda mpira fatilia mechi za Pamba Jiji

    Hii team tangu mzunguko wa pili uanze na aichukue baba isaya inapiga mpira jihadi sana ni Raha kuitazama hasa Leo itakapoumana na fountain gate
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    UNAPENDA MOVIE 😋

    movie Time 🔥🔥🔥 Kuna nyakati inabidi tuangalie na sehemu tunazotafuta maisha 😌 Vijana walipoona pesa zinapatikana baharini wakaamua watazitafute kilichotokea hawakusahau kwenye maisha yao yote ✍🏾 Video itizame 👇🏾👇🏾 https://youtu.be/RSPb8d1ofBI
  13. KENZY

    Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

    Uzi maalumu kwa wanywa cocktail na mocktail, karibuni tujumuike kujua nini unapenda zaidi na kwanini unakipenda hicho kinywaji!. Kwa ambao hawajaelewa Mocktail ni vinywa vinavyoandaliwa ila vinakuwa havina kilevi, cocktail ni inakilevi huo ndo utofauti kati ya cocktail na mocktail!. Binafsi...
  14. Davidmmarista

    Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment

    Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment "Asante Mungu"
  15. realMamy

    Unahisi unapenda ulivyo? au kuna kitu kinakusukuma kuwa hivyo?

    Nini kinakulazimisha kuwa kama ulivyo? Tofauti na ulivyo?
  16. Kyambamasimbi

    Ni nyuzi zipi unapenda kuzisoma na huwa za member Gani wa JF?

    Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
  17. ELI COHEN

    Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  18. Magical power

    Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke mmoja tu

    Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke MMOJA TU, lakini hizi filimbi zetu huku chini ndio zinatamani Kila mwanamke 😂😂😂😂😂😂😂
  19. Mkyamise

    Je ni tabia ipi unayo ambayo unapenda iigwe na jamii?

    Mimi napenda kunawa mikono kwa sabuni nikifika tu nyumbani kutoka kwenye mishemishe. Sijui ilianzia wapi ila it came automatically na imeshakuwa sehemu ya maisha yangu. Wewe je?
  20. X

    Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

    "Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake" –Tyrese Gibson Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia...
Back
Top Bottom