Hello
Hope mko salama..
Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa..
Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako?
Usihangaike tena — tupo hapa kukusaidia kwa haraka, usahihi na kwa kuzingatia sheria zote za TRA.
Tunatoa huduma zifuatazo:
✔ Kuandaa na kuwasilisha VAT Returns
✔ Income Tax Returns (Individuals & Companies)
✔ SDL, PAYE &...
Maisha yako speed.
iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure.
2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia.
3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku
Huna haja ya daftari tena Fuga inakusaidia kujua faida au hasara mapema zaidi ili uweze kuboresha ufugaji wako...
Hivi sometimes najiuliza hawa watu wanaopata GPA below 4.5 ni binadamu wa kweli hawa?how binadamu aliyekamilika anapata GPA below 4.5 kwamba huko chuo mlienda kufanya nini?
Au mlienda kuuza sura ama nini? Utakuta mwanaume mzima anajiita mwanaume kamili anatembea kabisa barabarani na kutongoza...
Mashine ya mayai 30 ipo kwenye offer kila mtu apate bei ni 150,000/= TSh.
Zipo pc 100 tu.
Karibuni
Tupo Dar es Salaam Tegeta kwa Ndevu darajani njia ya kwenda jeshini.
Wateja wa mikoani tunatuma baada ya malipo.
Piga simu 0656 446 991
Wakuu,
Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii.
Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na TANESCO 😫😫😫, yaani mtu ungekuwa na mamlaka unazifutilia zote mbali kila kitu kinaanza upya kwa kuwa na...
Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
Hii inaweza kuwa ishara ya moja kati ya changamoto kubwa mbili za afya ya uzazi: Ovarian Cyst (uvimbe kwenye mfuko wa mayai) au Fibroids (uvimbe kwenye mji wa mimba).
🔍 Ovarian Cyst ni Nini?
Ni uvimbe uliojaa maji unaotokea kwenye moja au ovari zote (mayai ya uzazi). Mara nyingi ni wa kawaida...
Wakuu hebu tujadili kitu kimoja hapa.
Media na watu maarufu na machawa kutwa kucha ni kusifia tu na wakati kuna mambo kibao yanatokea ambayo siyo mazuri ambapo walipaswa kuwa wanayaongelea pia lakini wao kazi waijuayo ni kusifia.
Anyways tuseme wanaogopa kukosoa kwasabab absolutely watapitia...
Maisha ni kuchagua, hustle zako, pesa yako!
Mac Pro kutoka Apple official website inauzwa $8,000+ tu, mpya.
Kwa wataalamu wa computer, hii ni CPU peke yake bila screen (monitor yake), ila utapewa na touchpad na keyboard kwa hiyo bei.
(Total bei cheki picha hii kwa juu)!
Specifications:
RAM...
Habari wana JF it's another beautiful day.
Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO.
Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)".
Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna Story...
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo
Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe
Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri
Mimi huwa sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.