Wana jamvi habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unapokuwa na mpenzi akakuzingua huwa unafanya nini kama mmefikia ile point ya kila mtu afe kivyake. Binafsi huwa napiga buyu tu mdogo mdogo namsahau ila imekuwa tofauti kwa huyu binti. Kila nikitaka kuachana naye nashindwa kabisa...