Wakazi wa eneo la Jaws Corner, Mji Mkongwe Zanzibar, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ziara yake katika eneo hilo, wakisema imewapa faraja na kuthibitisha kuwa ni kiongozi anayewathamini na kuwajali wananchi wa Zanzibar.
Wakazi hao...