ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuziba nafasi ya Kinana

    Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee. Baada ya kauli hiyo siku chache mbele...
  2. A

    JamiiForums Tanzania January na Oddo Ummy karibuni Nyumbani Tanga

    Haya Wana Tanga, karibuni kwenye mapokezi ya kishindo ya wanetu Oddo Ummy na January; MAHALI: Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. TAREHE: 19 Agosti 2024, MUDA: Saa 8 Mchana. Chakula, Vinywaji na burudani vitakuwepo. NB: Msafara utaanzia Maweni mpaka Mjini (Mkwakwani Stadium) - Nyumbani ni nyumbani...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya NHIF yalianzia Kwa Maamuzi Mabovu na Ummy Mwalimu Mwenyewe mwaka 2016

    Ummy Mwalimu aliteuliwa kuwa Waziri Nov 2015, ndani ya miezi 7 akaamuru Bodi ya NHIF iwafukuze kazi Wakurugenzi/ Wakuu wa Vitengo wote pamoja na DG wao kwa tuhuma za uwongo. Katika hiyo timu ya Wagurugenzi 9, nusu yao walikuwapo kuanzia NHIF ilipoanzishwa mwaka 2003, wamekuwa na Mfuko hadi...
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

    Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya. Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia! Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Miaka 14 ndani ya Baraza la Mawaziri, miaka 9 waziri kamili wa afya. Inatosha, apumzike!

    Pamoja na kwamba wapo Mawaziri ambao wamekuwa Barazani Kwa zaidi ya miaka 14 ila kudumu miaka 9 kama Waziri kwenye Wizara 1 tuu ni rekodi ambayo ameiweka Ummy Mwalimu. Ukidumu mda mrefu kunakupa nafasi ya kuacha legacy hasa kwenye Wizara hizi za kimaendeleo na Huduma achilia mbali Wizara za...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tutamkumbuka kwa lipi Ummy Mwalimu?

    Uteuzi uliofanywa na Mhe. Rais SSH tatehe 14 Agosti 2024 umemtema nje bi Ummy Mwalimu kutoka Wizara ya Afya. Kutokana na unyeti wa Wizara ya Afya, umuhimu wake ni mkubwa kwenye jamii. Pamoja na kusimamia sera ya Afya nchini lakini ndiyo wizara inayosimamia taaluma ya wahudumu wa Afya. Je tuna...
  7. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amedhamiria, Reforms ya kibabe kwenye Afya

    SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo. Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah...
  8. Jeep wrangler

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Ummy Mwalimu, tunaomba uingilie kati, Zahanati ya Hosiana Mission Tabora tunanyanyaswa na uongozi wa mkoa

    Utangulizi: Kituo cha Hosiana mission dispensary kinapatikana katika Manispaa ya Tabora. Kituo hiki cha afya kimekuwa ni kimbilio kwa watu wenye matatizo mbalimbali ndani na nje ya manispaa ya Tabora. Kituo hiki kina madaktari, wauguzi na watumiahi wengine wasiopungua 10. Baada ya maelezo...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali kudhibiti Madaktari wanaofanya kazi kwenye Kituo zaidi ya kimoja

    https://www.youtube.com/watch?v=7xmj6NSToGE Kutokana na kuwapo idadi kubwa ya madaktari vijiweni, Serikali imesema ipo katika mchakato wa ufumbuzi wa tatizo hilo, ikigusia kuwa itaanza kudhibiti wale wanaofanya kazi hospitali zaidi ya moja na vituo vya afya binafsi. Zaidi ya madaktari 5,000...
  10. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu asema NHIF ni urithi(legacy) iliyoachwa na Mkapa

    “As we are celebrating the life of the late Benjamin Mkapa, I would like to also mention that the National Health Insurance Fund is also a legacy of His Excellency Mkapa who started the initiative during his presidency”, says Ummy Mwalimu at the 2nd National Human Resource for Health...
  11. Fundi wa fundi

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Dkt. Pindi Chana, George Simbachawene na Ummy Mwalimu kujadili ongezeko la vifo na talaka nchini

    Waziri wa Katiba na Sheria Dr Pindi Chana atakutana na Waziri wa Utumishi George Simbachawene na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutafuta Suluhisho la Ongezeko kubwa la Vifo na Talaka nchini My take: Sijajua Kwanini hawajamshirikisha Dorothy Gwajima ======== WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa kuweka kambi ya siku 3 katika Hospitali ya Wilaya ya Bukoba

    📌 Kuweka Kambi ya Siku 3 mfululizo kuanzia kesho Jumatatu Hospitali ya Wilaya- Bujunangoma kutoa huduma mbalimbali za Kibingwa, Wananchi wote mnakaribishwa. Huduma za Kibingwa ambazo zamani zilikua zinapatikana kwenye Hospitali za Rufaa, za Mikoa na Taifani pale Muhimbili, sasa miaka mitatu ya...
  14. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mwanamke adaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza

    Wakati wahusika wakikazana kusifia na kugeuka chawa wa viongozi, Hapa ni Jimbo la Kigoma kusini wilaya ya Uvinza kata ya Basanza Mkoani Kigoma katika zahanati ya serikali, huyo ni raia mlipa Kodi akitetea uhai wake pamoja na mwanaye baada ya kujifungua Zahanati bila kupata msaada wowote. Pia...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Fanyeni mazoezi ya mara kwa mara ili kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kuifanya miili yao kuwa imara na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Waziri Ummy alitoa wito huo Januari 13, 2024 alipokuwa katika moja ya maduka ya vifaa vya michezo la ‘Just fit’ lililopo Jijini...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Miradi miwili ya ajabu kwenye Wizara ya Afya

    Nimeangalia zaidi kwenye bajeti ya afya kuna miradi miwili zaidi ya hospitali ambayo inaonesha walakini kwenye utekelezaji wake. Mradi wa uimarishaji wa Hospitali ya Rufaa ya Rukwa umepokea hela 99% ya walizoomba lakini mradi huo umefikia 65%. Kuna tofauti kubwa ya kilichotolewa na...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Dozi moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga Msichana kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo. Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=N16fn896FLM
  19. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: APHTA warudi mezani tujadili kuhusu kitita cha NHIF huku wagonjwa wakiendelea kutibiwa

  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
Back
Top Bottom