Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.
Aliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.
Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳
Pole sana Odo!!
Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga.
My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania
1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .
2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha...
Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati...
Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu amechukua fomu leo June 30,2025 ya kuomba kutetea Ubunge katika Jimbo la Tanga Mjini.
Ummy ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Afya amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Tanga na amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tanga, Jamal...
Ulitutangazia kuwa serikali imetoa bilioni 15 kujenga kipande hicho cha barabara. Mchina/MKANDARASI alikuja siku mbili tu, akaweka mambo/vijiti pembeni kuainisha upana wa barabara na vifusi kama 50 akaondoka. Hajarudi tena
KULIKONI?
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa barabara ya Tanga–Pangani.
Mheshimiwa Ummy aliyasema hayo wakati wa mahojiano...
Nimeamini msemo wa Vunja mifupa ungali meno iko.
Huyu ni aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Adabu kama zote. Hadi Jokate anamshangaa
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya kiuchumi.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Februari 28, 2025 katika Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga, wakati wa...
Wakuu,
Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa.
Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚.
Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu ambaye alikuwa na amehudumu katika wizara mbalimbali hapa Nchini ikiwepo Wizara ya Afya .ambayo alikuwepo kama Waziri wake mara ya mwisho kabla ya kufanyika kwa mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri.
Amekuja na jambo kubwa kwa wana Tanga...
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu amewahimiza wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mhe. Ummy ametoa wito huo, Februari 14...
Wanabodi,
Wanasiasa wameanza rasmi masuala ya kuomba kura lakini this time wanafanya indirectly.
Ummy anajua nguvu ya bodaboda katika ushawishi kwa hiyo ameamua kuchagna karata zake vizuri.
================================================================
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mhe Ummy...
Wakuu,
Sijajua tuko season au episode ya ngapi lakini ile tamthiliya yetu ya kuelekea uchaguzi mkuu inaendelea
=====================
Wanachama wa Umoja wa Wamiliki wa Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga (Uwapibata) wamechanga Sh1 milioni kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan...
Ndugu zangu Watanzania,
Speaker Wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai Ameibukia Jiji La Tanga akiwa Ameongozana na Madiwani Mbalimbali kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kongwa .
Ambapo yeye pamoja na Waheshimiwa Madiwani ,mkuu wa wilaya na mstahiki meya wa halmashauri ya Kongwa wamefika jijini...
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Jimbo la Peramiho, Mkoa wa Ruvuma linaloongozwa na Jenista Mhagama, amemsifu mbunge ambaye ni Waziri wa Afya kwa kazi anayoifanya ndani ya Serikali.
"Nalishukuru tumbo lililomleta Jenista Mhagama, mimi pamoja na kwamba ni Rais, lakini namwita kiraka changu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.