Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,672
- 4,739
Wakati wahusika wakikazana kusifia na kugeuka chawa wa viongozi, Hapa ni Jimbo la Kigoma kusini wilaya ya Uvinza kata ya Basanza Mkoani Kigoma katika zahanati ya serikali, huyo ni raia mlipa Kodi akitetea uhai wake pamoja na mwanaye baada ya kujifungua Zahanati bila kupata msaada wowote.
Pia, Soma=> Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki
Pia, Soma=> Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki