umma

Umma (Sumerian: ๐’„‘๐’†ต๐’†  ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Kwa manufaa ya umma, kwa nini Tundu Lissu asiachiwe kama watuhumiwa wengine wa uhaini walioachiwa?

    Watuhumiwa wengine wa uhaini waliachiwa kwa manufaaa ya umma. Why not Lissu amabae hata kesi yake haina muelekeo?๐Ÿ‘‡
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma maisha yako yapo hatarini kwa ushirikina masaa 24 siku 365.

    Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo. Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia. Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Murkomen Aonya Maafisa wa Umma: โ€œWantamโ€ na โ€œKasongoโ€ Zinaweza Kukufutia Kazi

    Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, aliwaonya maafisa wa umma, wakiwemo polisi na machifu, dhidi ya kujihusisha na kauli au misemo ya kisiasa wanapokuwa kazini. Murkomen alitoa onyo hilo Narok Jumatatu, Agosti 11, 2025, akisema maafisa watakaopatikana wakiimba kauli ya upinzani...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania TICD ARUSHA: Kafulila katika mhadhara maalum wa Umma

    https://www.youtube.com/live/pMhiTp9NL64?si=xROoNvI7LdkavRdN Mjadala wa PPP na Maendeleo ya Tanzania Waendelea Arusha == Mjadala kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika kuchochea maendeleo ya Tanzania unaendelea leo, Agosti 14, 2026, katika kongamano la Public...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku, Respect is not granted like a cake on the plate. Respect for public leaders is earned!!

    Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao.. Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
  7. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Katiba Mpya wale wanaojifanya Miungu watu katika ofisi za Umma watatuheshimu

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo ameeleza hayo wakati akihutubia katika kongamano la ACT Wazalendo la Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam, Agosti 12, 2026.
  8. JamiiForums Tanzania Tutegemee "Taarifa kwa Umma" ya Manqoba na "Thank You" ya Doumbia Kabla ya Mzunguko wa pili wa NBC.

    Kama umeangalia utendfaji wao kwa makini basi ni muda tu unasubiriwa.. Si lazima Yanga afungwe ndo Kocha afukuzwe na ni lazima Simba ishinde ndo stiker abaki..
  9. JamiiForums Tanzania Chadema kitengo cha mawasiliano ya umma kinapwaya sana

    Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ya Selemani Mwalimu kwenda Yanga Ahmed Ally akamatwe, kadanganya umma

    Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani. Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzinga

    Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinatumika kwa ufanisi katika kuchochea maendeleo jumuishi. Mhe...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni mashirika gani ya Umma hayana tija yanafaa kufutwa

    1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for) 2. TTCL 3. .....endelea Na haya yalitoa gawio la Samia?
  13. JamiiForums Tanzania Tangazo la treni maalumu kwaajili ya nanenane

  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watumishi hatujapandishwa madaraja licha ya kukamilisha taratibu zote na Waziri kutoa agizo la madaraja kupandishwa

    Waziri Ridhiwani Kikwete alitangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa vibali vya kupandishwa madaraja na vyeo kwa watumishi wa umma waliokidhi vigezo. Hata hivyo, baadhi ya taasisi bado hazijatekeleza mchakato huo bila kutoa sababu za msingi, licha ya...
  15. JamiiForums Tanzania 'Uchamishaji' wa taasisi za umma, tishio kwa utawala bora

    UCHAMISHAJI WA TAASISI ZA UMMA: TISHIO KWA UTAWALA BORA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika mfumo wa taifa la kisasa, kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa, serikali na taifa. Chama cha siasa ni taasisi inayoundwa na watu wenye mtazamo na itikadi fulani za kisiasa. Vyama kama vile...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu kufutiwa baadhi ya posho kwa watumishi wa umma

    Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya tozo unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna tozo zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

    Utawala wa sheria maana yake nini? Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga. Haki za wengine hawana habari...
  18. JamiiForums Tanzania DED - Maswa, Bw Maisha Mtipa alazimisha watumishi wa umma wote Maswa DC kwenda kukesha na mwenge (Kibatari) tarehe 27/7/2026 uwanjani!

    Mliokuwa hamjui ni kwamba; Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..." Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Duniani Kote katiba huletwa na Umma au Jeshi. Ngoja tuone Tanzania

    Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili yoyote. Aidha Dr Nchimbi amekiri kuwa katiba iliyopo inampa Rais madaraka makubwa na nafasi kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ