umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutumia simu aina ya LG Velvet 5G G900UM maoni yako yanahitajika tafadhali

    Habari za mchana wapendwa katika bwana. Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM. Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Mkuu wa usalama umewahi kuteuliwa Balozi tofauti na Tanzania?

    Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa. Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua dosari nafasi hii. Narafakari Ni nchi gani imewahi kumteua mkuu wa usalama kushika nafasi ya ubalozi...
  3. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanyiwa visa kisa kumkatalia mtu kuwa mpenzi wako?

    Habari wa JF members. Leo nilikuwa nimekutana na rafiki yangu niliyewai soma naye shule moja hivi ambayo baadae nikaja kuhama tulikua tukielekezana habari za baada kutengana muda mrefu, baadaye mazungumzo yakahamia ishu moja kipindi nasoma iyo shule kabla sijahama ishu yenyewe ilikuwa inahusu...
  4. JamiiForums Tanzania Nani umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa?

    Habari wadau wa jamiiforums Habari zenu, Naomba kujuzwa Kama umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa. Napenda kuomba kujua ulikusaidiaje kiafya? Au una uonaje? Tafadhali wadau nisaidieni.
  5. JamiiForums Tanzania Mchongo Gani Umewahi Kuupoteza Kisa Umeendekeza Mapenzi?

    Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua. Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao tulikua nao chuo kimoja. Wakisaidiwa na shangazi yao anao ishi kule kwa JoelI Bideni. Mchizi nilikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi fanya tendo la ndoa na watu zaidi ya watatu? Hiki ndicho kinakuotea

    Habarini wana jamvi kwanza nafurahi siku ya leo nimerejea tena JF baada ya kutoweka kwa miaka 5 na kupoteza Acc yangu ya mwanzo. Nije kwenye mada husika, katika kipindi hiki nimekua nikiona habari za watu kufanya mapenzi na mara huyu mara yule imekua kawaida tu kiufupi kwasasa sehemu za siri...
  7. JamiiForums Tanzania Umewahi kuachana na mtu kwa uzuri?

    Mimi imenitokea, mwaka 2017 npo chuo, Nlitokea kumpenda binti wa kiislamu,nlitengeneza mazingira ya urafiki, ila wa upande mmoja yani mm ndio nimtafute. Nlimjali Sanaa ili kuongeza urafiki tu kwa kumpigia simu ila Mara nyingi hapokei, text hajibu kwa wakati iliniuma ila nlimpenda kutoka...
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kuangalia Initial D?

    Wasaalam ndugu wa jf garage. Katika kupita pita mtandaoni nikabahatika kukutana na anime ya initial d ambayo inahusiana na kijana wa kijapan aitwaye takumi fujiwara ambaye anatokea katika familia ya mzazi mmoja yani yeye na baba yake bunta wakijishughulisha na uuzaji wa chakula flan kiitwacho...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na matarajio makubwa kisha ukaumizwa?

    Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha
  10. JamiiForums Tanzania Umewahi kuunguza chakula ukipendacho kikashindwa kulika?

    Natumai hamjambo wapishi, Bahati mbaya kwenye mapishi ipo unajikuta umeunguza msosi, mimi ilishawahi nitokea kuunguza nyama mpaka tukaimwaga maana ilikua chungu. Nikachezea fimbo za kitosha kutoka kwa mama maana nilikua nyumbani bado na nikalishwa ugali mkavu. Nikajifunza kutenga muda kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kumla rafiki wa EX wako?

    Habari za uzimaAISEE SIO MIMI)
  12. JamiiForums Tanzania Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

    Sasa hardcopy ya kitabu hiki inapatikana. Wasiliana na Lycaon pictus kuipata. Muandishi: George S. Clason's, 1926. Mtafsiri: Pictuss. Email: pictuspublishers@gmail.com. ©Pictuss2021. Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu yoyote ya tafsiri hii inayoweza kunakiliwa, kutolewa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wewe umewahi bahatika kukutana na kiongozi yeyote wa Taifa hili na umepata kuongea naye kuhusu nini na mtazamo wake uliuonaje?

    Ni wanasiasa gani umewai kutana nao Live na Mliongea nini Mkashauriana nini. Mwaka 2003 nilikutana na Mzee Hassan Mwinyi kabla sijaanza kufanya kazi na serikali kwa Ukaribu, tuliongea Mengi na nikamkumbusha mambo Mengi ya Nyuma ya History yake binafsi ambayo Wengi hawajui kwakuwa niliipata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…