umeme

  1. JamiiForums Tanzania BMW nao wamezindua 2nd generation iX3: ni SUV ya umeme kwenye platform mpya!

    Kwenye manesho ya IAA Mobility yanayoendelea huko Munich Ujerumani, wababe wa performance BMW nao wamezindua gari jipya ndani ya platform mpya. BMW iX3 ni SUV mpya ya umeme, juu ya platform mpya ya Neue Klasse. Sasa jina lisikuchanganye na iX3 ya zamani iliokua inashare platform na X3 ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mercedes Benz wamezindua GLC yenye SUV ya umeme: Inakupa range ya kilometa 700!

    Katika maonyesho ya IAA Mobility huko Munich, Germany, kampuni la magari Mercedes Benz wamezindua new generation ya powertrain ya umeme, na kuiweka officially kwa mara ya kwanza kwenye SUV yake pendwa ya GL series. MB walikuja kwenye EV industry na drivetrain yao ya zamani ambayo imepata...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza kukosekana kwa huduma ya umeme Mbagala na Kigamboni

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MBAGALA NA KIGAMBONI Jumatatu, 08 Septemba 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Mbagala na Kigamboni kuwa kumetokea hitilafu ya umeme leo tarehe 08 Septemba 2025 katika njia ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ethiopia inajiandaa kuzindua bwawa la umeme la GERD linalozalisha Megawatt 5000

    Jumanne Septemba 9, 2025 inatazamiwa kuashiria wakati wa mabadiliko katika historia ya Ethiopia. Ni tarehe ambayo ndoto ya Ethiopia iliyothaminiwa kwa muda mrefu inatimia wakati Bwawa la Grand Ethiopian Renaissance (GERD) linapozinduliwa rasmi baada ya miaka 14 ya kusubiri—ukiashiria wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Hóla Diamondhead Superbike: Pikipiki ya umeme ya ki-futuristic kutoka India

    Kampuni la pikipiki kutoka India, Holaciudad wamezindua official superbike ya umeme inayoenda kwa jina la Diamondhead. Imeitwa Diamondhead kwasababu ya muonekano wake wa mbele, kua na shape kama ya diamond. Pia ni e-Superbike inaweza kutoka 0-100kph kwa sec 2 tu. Hola wamesema, body yake...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwendokasi (BRT) wasiachane na magari ya mafuta au gesi wakachukua city bus za umeme mfano Yutong E18.

    Wakuu. Lengo kuu la mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam (na Pwani) kwa gharama nafuu salama. Pamoja na ilo kuu, mengine ni kupunguza msongamano wa magari mjini, kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa kwa hewa ya ukaa (carbon emissions) na kutoa ajira kwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutazalisha umeme mwingi wa uhakika, unaobaki tutawauzia Zambia

    Wakuu, Samia akiwa anazungumza leo, huko Songwe kasema akichaguliwa atahakikisha umeme utakuwa mwingi na wa uhakika kiasi kwamba kutakuwa na umeme mwingine ambao watauuza kwenda huko Zambia
  9. JamiiForums Tanzania Jamaa kasomea uinjinia wa umeme lakini hana ajira

    Kutoka katika ukurasa rasmi wa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche ameandika..... "Nchi ya Tanzanite, migodi mikubwa ya dhahabu, Nchi ya almasi, Nchi ya Ngorongoro, Serengeti na Serous.. Nchi ya makaa ya mawe, chuma, uranium, nickel na cobalt. Nchi inayoagiza Mpaka gunia la Kubenea viazi...
  10. JamiiForums Tanzania Usizime Moto wa Gesi, Mafuta au Umeme kwa Kutumia Maji badala yake Tumia Njia Hizi

    USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI! Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi! Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa! Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe "Clean Cooking Gas" ndiyo inayozuia miradi ya umeme isikamilike?

    Inasikitisha sana kuona miradi ya watu binafsi inasimamisha miradi mikubwa ya nchi ambayo ingesaidia vizazi na vizazi. Hawa wanaoitwa "Wanamtandao" ni MAADUI NAMBA 4 wa Tanzania baada ya UJINGA, UMASIKINI na MARADHI.
  12. JamiiForums Tanzania Vitongoji 1,997 sawa na 88.4% vimepatiwa huduma ya umeme Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), iliyopita na inayoendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi mafundi wa umeme (wiring) mnavyopanda na mabegi yenu darini mnatafutaga nini hivi?

    Wale wajenzi na mafundi, tafadhali tusaidiane katika hili. Mara nyingi huwa mnapanda juu mkibeba mabegi na waya zetu za wiring. Swali langu ni: kule juu huwa mnafanyia nini na hayo mabegi? Na je, tunapowasachi tunakosea kweli? Tusijaribu kuingizana kwenye majaribu, wapendwa. Jana nilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Usiogope unaweza Kumiliki Biashara ya Kituo cha Kuchaji Magari ya Umeme

    Teknolojia ya usafiri inabadilika kwa kasi. Dunia nzima inasogea kwenye magari ya umeme (EVs), na ili kuendesha mapinduzi haya kunahitajika kituo cha kuchaji (EV Charging Station). Kwa sasa, gharama ya kufunga kituo cha kibiashara cha kuchaji magari (hasa DC Fast Charging) inakadiriwa kati ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo wa magari ya umeme (Electric Vehicle System).

    Magari ya umeme (EV – Electric Vehicles) ni magari yanayotumia umeme badala ya mafuta (petrol/diesel). Badala ya injini ya mwako wa ndani (internal combustion engine), yanatumia electric motor na betri kubwa kuhifadhi nishati. Vipengele Vikuu vya Mfumo wa Gari la Umeme 1. Battery Pack Hii...
  16. JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na vifaa vya kielectroniki, anapatikana, uzoefu wa kazi, ubora na uaminifu!

    Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina. Huduma ninazotoa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Fundi umeme nipo hapa

    Habari zenu, Ni mwaka wa 9 sasa nimekuwa nikizunguka na kampuni X nikiwa kama fundi umeme wa kampuni ilihali sijasomea io taaluma, nimekuwa ni mtu wa kujisomea majarida na vitabu mbalimbali vinavyohusu masuala ya umeme pamoja na kufundishwa na wabobezi wangu. Nimefanya shughuli za ufundi umeme...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye risiti za SMZ kulipia bili yote ya umeme waliyokuwa wakidaiwa, ailete hapa tafadhali🙏

    Salamaleko! Tumeambiwa kuwa mmelipa deni lote mlokua mkidaiwa na muungano. Tunaomba tuonyesheni risiti za malipo hayo tafadhali 🙏 Nawasilisha!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kusema wilaya ya Kigamboni ndio inaongoza kwa mgao wa umeme nchini Tanzania.

    Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM, Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo la kukatiwa umeme. Maeneo kama Kisarawe II, KIBADA,Mwasonga nk ni maeneo ambayo TANESCO Kigamboni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Arumeru-Arusha umeme mmeupeleka wapi? Tuko gizani tangia asubuhi, mbn hakuna taarifa?

    Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…