umeme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeshalipia treni 19 za Umeme na mabehewa 89, Seti 10 za treni na mabehewa 80 kwaajili ya mizigo

    === Serikali ya Tanzania imesema imeingia mkataba wa ununuzi wa mabehewa ya abiria 89, vichwa vya treni ya umeme 19, seti za treni za kisasa 10 zenye behewa 80 vikiwa na gharama ya US$381,428,465 karibu TZS 880BL, Hayo yamebainishwa leo siku ya Jumanne Desemba 28, 2021 na Rais wa Tanzania...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tunafunga uzio wa umeme (Electric fence)

    ELECTRICAL FENCE SPECIAL OFFER (19,000/= per meter) fungiwa electrical fence kwa 19,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, bei iyo ni kwa eneo la kuanzia mita 70 kuendelea, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa. Piga...
  3. JamiiForums Tanzania Kukatika kwa Umeme: Kuna shida gani huko Tanesco?

    Naomba kila Mtanzania apaze sauti kuhusu hiki kitendo cha kukatika kwa Umeme. TANESCO mnatuhujumu watanzania. Kazi haziendi kabisa.
  4. JamiiForums Tanzania Mama swala la umeme litakuchafua!

    Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia. Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  6. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO umeme unasumbua sana hasa leo hapa Dar maeneo mengi umeme tatizo! Chondechonde tunaomba muwe mnatoa taarifa! Kazi hazendi kabisa!

    Naomba nieleweke hii sasa inachosha sana leo tulikuwa ofisini posta umeme umekatika sana aese! Tunaomba maintanance inapofanyika ufanyike pia utaratibu wa kutangaza maeneo yatakayoathiriwa kutokana na matengenezo! Saizi mnakata shagarabagara, wananchi hawana tatizo na umeme kukatika ila kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Umeme wakatika Dar na Zanzibar, TANESCO yasema utarudi saa 5 asubuhi

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaskitika kuwatangazia wateja wake, kuwa kumetokea hitilafu kwenye kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Ubungo leo Desemba 15, 2021 saa 3:18 asubuhi. Mafundi wanaendelea na jitihada za...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta amepunguza bei ya umeme, Tanzania vipi?

    Katika kusherehekea sikukuu ya Jamuhuri nchini Kenya Rais Kenyatta amepunguza bei ya umeme ili kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wake na pia kusaidia viwanda na wawekezaji kupunguza gharama za uendeshaji na uzalishaji. Kenyatta amepunguza bei hizo kwa 30% kwa awamu mbili, awamu ya kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana kuona mradi wa bwawa la Nyerere unahujumiwa wazi wazi

    Iweje tarehe ya ujazaji wa bwawa iwe siri? Kweli Crane ya Tani 26 haijafika hadi leo zaidi ya mwezi umepita? ================================ ======================== ================================...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

    Thread was deleted
  11. JamiiForums Tanzania Waliotaka kutupiga kwa mgongo wa mgao wa umeme wameona aibu?

    Mwezi uliopita baada taifa letu kupata taarifa kuwa kuna upungufu wa umeme kiasi cha Mw 345 taifa letu liliwekwa tayari kwa ajili ya kuanza kuzalisha umeme kwa njia mbadala badala ya maji. Kila Mtanzania alijua wazi kuwa sasa mambo ya IPTL, Dowans na Richmond yanarudi na waTz walishajua wakati...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!

    Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati. Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema. Chanzo: Star tv PIA SOMA Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la...
  13. JamiiForums Tanzania January Makamba anaongea kwa vitendo, umeme watengamaa

    Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme hatimaye nchi imetulia baada ya wiki kadhaa kuwa na utengamano na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa...
  14. JamiiForums Tanzania Petroli bei juu. Mafuta ya kupikia bei juu. Mazagazaga bei juu. Maji ya kutumia hakuna. Umeme kukatika hata mara 5 au 6 kwa siku!

    Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania tuipongeze serikali ya CCM kusambaza umeme vijijini kwa kasi na mafanikio makubwa kwa muda wa miaka sita

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu. kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

    Yaani Kenya kwa mara ya kwanza tumeweza kutumia umeme wa zaidi ya 2,000 MW. Ukanda huu Ethiopia pekee ndio wanaotumia umeme mwingi kutushinda. Wenzetu wa kusini bado wapo nyuma kwenye matumizi ya umeme. ===== Power consumption reaches all-time high MONDAY NOVEMBER 29 2021 By BRIAN NGUGI...
  17. K

    JamiiForums Tanzania OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama tutakodi mitambo ya kuzalisha umeme kwa kisingizio cha ukame basi itabidi kila mtu ajipigie tu

    Naona mgao wa umeme kwa sasa ni rasmi japo hakuna tangazo la TANESCO. Tulikaa miaka zaidi ya mi5 bila kusikia mgao,na ndani ya muda huo wananchi hasa wa vijijini kufungiwa umeme kwa bei chee kabisa. Ila sasa toka ameingia ndugu yetu JM kelele zimekuwa nyingi na visingizio ambavyo kwa kweli...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme wa majumbani Dodoma

    Urban electrico istallati installation Company ni kampuni ya umeme inayo jishughulisha na kazi zote za design na istallation ya umeme wa:- 01. Nyumba na fances 02. Hoteli & bar 03 Disco and club 05 flame za maduka. E.tc U.e.i company tunajivunia kufanya kazi kwa ubora na hii ni kwa sababu ya...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kusambaza umeme vijijini, wajikite katika uzalishaji umeme

    Sasa ni wakati wa kuachana na kusambaza umeme vijijini Ili fedha hizo zitumike kujenga vyanzo vya umeme kwani huwezi sambaza kitu ambacho huna. Hii italeta tija, sio kepeleka feza za kuwasha taa na mgao huu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…