umeme

  1. Kasi ya kupeleka umeme vijijini imepungua sana, kulikoni?

    Ni vigumu kusafiri kwenda mbali kusema habari za mazingira kama wananchi bado wanawasha moto wa Kuni ili TU kupata mwanga wa kumulikia usiku kusoma na kupika jikoni. Kama Mtu hana njia nyingine ya kupika chakula chake lazima awashe moto wa Kuni au mkaa hayo mazingira yatatunzwa namna gani...
  2. Hapa Rujewa, Mbarali umeme kwa sasa ni kitu ghali mno na nadra sana kupatikana

    Ndiyo,ni hapa Rujewa. Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki! Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini. Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo...
  3. M

    Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

    Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme. Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika. Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji...
  4. N

    Naombeni Orodha ya vifaa vya umeme kuanzia biashara

    Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
  5. January Makamba ni lini utaanza kufanya ziara kukagua usambazwaji wa umeme?

    Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu waziri mpya wa nishati bwana January Makamba ateuliwe na rais Samia Suluhu kushika nafasi hiyo. Waziri Makamba tangu ateuliwe amefanya ziara Kigoma tu tena mjini mjini baada ya kupewa maagizo na makamu wa rais afike huko kutatua kero ya kukatika katika umeme...
  6. Nina maswali kuhusu gari za umeme

    Hello. Nina swali moja kubwa kuhusu gari za umeme hasa charging system. Hivi ukinunua gari ya umeme ambayo inakuja na ile charging set yake. Uki install nyumbani kwako na ukawa unacharge gari yako. Je charging speed itakuwa sawa na ile recommended kwenye manuals za gari au itakuwa tofauti...
  7. Ni bora kuishi maskini Karne hii nakuendelea kuliko walioishi enzi hakuna umeme kimsingi Mungu katupendelea sisi

    Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi? Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi...
  8. January Makamba anajisikiaje kusimamia Bwawa la Umeme la Nyerere?

    Ama kweli mchawi mpe mtoto akulelee. Hapo mwanzoJ Makamba akiwa kwenye mazingira alikuwa kwenye jopo la kuandaa report Uharibifu wa mazingira ya bonde la mto rufiji ambako bwawa la Umeme la Nyerere linajengwa. Katika report ile pandekezo yalikuwa ni kutojenga lile bwawa kwa sasa litaharibu...
  9. Waziri Makamba ujue siyo kila kitu ni cha kubinafisisha

    Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa. Umeme Bandari Reli Viwanja vya ndege Mbuga etc Baba wa taifa Mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na...
  10. Mwambieni January Makamba kwamba umeme umeanza kukatika ovyo Dar es Salaam

    Huku Dar umeme umeanza kukatika hovyo hovyo tena sahivi unakatika muda mrefu sana hadi masaa 8. Juzi nilikua sehemu fulani nje ya mji umeme ulikatika kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 1 usiku ndo walirudisha. Dalili za kuonyesha hali sio shwari ni pale umeme ukirudi watu wanashangillia hii sio...
  11. Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, === Tufahamu lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia...
  12. Tangu awamu hii imeingia madarakani umeme unakatika ovyo

    Tangu awamu ya pili iingie madarakani nchi hii imekuwa na changamoto mbalimbali za umeme kiasi kwamba umeme umekuwa kama anasa vile kama bia na sigara. Yani kila siku nchi yetu inafanya juhudi mbalimbali kuhakikisha kwamba anasa hii ya umeme haiwafikii wananchi kwa wakati. Kila kukicha ni...
  13. U

    Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

    Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo. Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa...
  14. January Makamba, umejaribiwa mapema sana na watendaji wako, kukatikakatika kwa umeme kutakuondolea kuaminika, enzi zenu za majenerator zaja

    Wana Jf Kukatika hovyo kwa umeme ni iShara mbaya sana kwa Wazir J.Makamba, huenda wafanyakazi wanamjaribu au aliowaingiza hawana uweledi wa viongozi, jana watu walishindwa kununua umeme, vijana mnaosema wajiajiri wamekosa pesa. Siku mzima hawakufanya kazi, leo mkoa wa kagera na sehemu fulani...
  15. J

    Kutokana na utabiri wa TMA kuhusu uhaba wa mvua; je, bwawa la Mwalimu Nyerere litajaa na kuanza kuzalisha umeme mwakani?

    Nauliza tu kwa wataalamu wa Hydro power je tuendelee kutumaini umeme mpya kutoka Bwawa la Nyerere katikati ya mwaka ujao kama tulivyoahidiwa? TMA wametabiri mvua chache sana mwishoni mwa mwaka.
  16. P

    Tatizo la LUKU limerudi tena

    Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
  17. Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

    Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM. Sielewi tatizo ni nini!
  18. M

    Maisha kuwa magumu zaidi: China kuna matatizo ya umeme, Ulaya nako kuna mgao, gesi na makaa ya mawe ni dili kubwa

    Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka. Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
  19. Achana na Chanjo ya UVIKO-19, Hii ndio propaganda nzito iliyokuwa inapigwa kupinga Umeme miaka ya 1990s

    Propanda ya kupinga Umeme.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…