Habari wanajukwaa,
Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina.
Huduma ninazotoa ni...
Habari zenu,
Ni mwaka wa 9 sasa nimekuwa nikizunguka na kampuni X nikiwa kama fundi umeme wa kampuni ilihali sijasomea io taaluma, nimekuwa ni mtu wa kujisomea majarida na vitabu mbalimbali vinavyohusu masuala ya umeme pamoja na kufundishwa na wabobezi wangu.
Nimefanya shughuli za ufundi umeme...
Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM,
Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo la kukatiwa umeme.
Maeneo kama Kisarawe II, KIBADA,Mwasonga nk ni maeneo ambayo TANESCO Kigamboni...
Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana.
Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
Anonymous
Thread
asubuhi
bila
bila taarifa
habari
jioni
katavi
kuhusu
malalamiko
mara
mimi
mkoa
mkoa wa katavi
mpanda
taarifa
tanesco
umeme
wadau
Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo
Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
Wiki hii leo ni siku ya 5 kila siku umeme unakosekana kutwa nzima jijini Mbeya.
Zaidi siku ya hapo leo 09.08.2025 muda huu saa 4:40 usiku bado umeme haujarudi tangu ulipokatika majira ya saa 1 asubuhi. Cha kushangaza, hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na TANESCO.
Kuna nini?
Bei: 50,000 TSH
✔️ Bramu mbili (Dual Plates) — pika vyakula viwili kwa wakati mmoja!
✔️ Linafanya kazi kwa haraka na kuokoa umeme
✔️ Salama kutumia — lina thermostat ya kudhibiti joto
✔️ Muundo wa kisasa na rahisi kusafisha
📦 Tunafikisha popote ulipo DAR ES SALAAM — BURE kabisa!
📍 Tupo...
===
Akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Kagera amesema Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani humo, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na vitongoji 1,763 kati ya 3,665 (48%) vimeunganishwa na umeme, Miradi hii minne mikubwa ya umeme wa...
Ndugu karibuni katika mada hii japo nitasema kwa uchache.
Pamoja na kwamba mimi ni fundi umeme na ujenzi lakini hapa kwa leo nitazungumzia zaidi umeme ambao upo ndani ya miili yetu zaidi.
Nikiwa nafanya kazi zangu za kiufundi umeme huu tunaotumia majumbani nilikuja kubaini kuna uhusiano mkubwa...
REA YATOA ZAIDI YA BILIONI 4 KUZALISHA UMEME WA MAJI LUPALI
📌Utekelezaji wa mradi wafikia asilimia 98
📌Bodi ya nishati Vijijini yasisitiza mradi ukamilike kwa wakati
📌Mradi kupunguza matumizi ya nishati isiyo rafiki na mazingira
📍Njombe
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha...
Mara nyingi mambo haya hufanywa ktk mazingira ya Giza na Kiza kinene. Kukatwa kwa umeme majira ya usiku nchi nzima kwa masaa 6 siyo Jambo la kawaida. Huwenda ndiyo mpqngou nakamilika.
Eeh Mungu! Na iwe hivyo.
Katika bara la Afrika, pikipiki zimekuwa njia ya kujipatia riziki kwa zaidi ya watu milioni 5, jambo ambalo limetokana na ustawi wa biashara ya mtandaoni katika miaka ya hivi karibuni.
Kufuatia mahitaji ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na maendeleo ya haraka ya teknolojia ya nishati...
Zaidi ya shilingi bilioni 200 zinatumika kujenga kituo cha kupoozea umeme katika kijiji cha Nkangamo, mkoani Songwe…mradi unalenga kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kupungua kwa nguvu ya umeme mkoani humo.
Karibu wa huduma ya ufundi wa vifaa vyote vya electronics na umeme, kwa ufundi wenye uhakika bila ubabaishaji na uaminifu wa hali ya juu.
Vifaa hivyo ni kama;- Tv aina zote, Projectors, Amplifiers, mixers, Vinanda, Machine za kufulia, machine kubwa na ndogo za kuprint, machine za mazoezi...
VOICES FROM IRAN
'A big prison with no water or power', fed up Iranians speak out
2 hours ago
Share
Iranians are speaking out with increasing urgency over chronic water and electricity outages that upend daily life and fuel fury at the government.
With temperatures topping 40°C in Tehran and...
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange Julai 18, 2025 amefanya ziara ya kuagua maendeleo ya Miradi ya umeme ukiwemo wa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Zuzu hadi Mbande, Mradi wa kusambaza umeme ardhini katika mji Serikali na Mradi wa Kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Mjini Mkoani...
Ezbon Mujuni (28) mkazi wa kijiji cha Bunazi Wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera amehukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa kosa la kuchimba na kuiba nguzo 3 za umeme na nyaya zenye thamani ya Tsh. 11,536,357
Mshtakiwa alitenda kosa hilo Julai 21, 2024 katika kijiji cha Nyakahama Wilaya ya Muleba...
JIKO LA GESI NA UMEME 330 000 maongezi yapo kwa hilo jiko...liko vizuri kabisa....ndo natumia hadi sasa
plate mbili gesi, plate mbili umeme
napatikana Dsm
piga 0683473391
kwa maongezi zaidi