Siku ya tatu leo nina umeme muda wot. TANESCO watakuwa wameweza?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,228
5,950
TANESCO wamekuwa waungwana wakati wote wakitoa taarifa kwa umma huku wakipingwa na KEY BOARD WARRIORS ila mwisho wa siku kama TANESCO walivyosema hali ingeweza kurudia kwenye uhakika wa kupata umeme mwishoni mwa Desemba 2022. Naona Mungu kasimama nao na wanafiki wanahamia kwa uhamisho wa Feitoto.
 
HAMNA LOLOTE UMEME BADO UNAKATWA SANA MAENEO MENGI KAMA UMETUMWA WAAMBIE WANATUKERA SANA KWA HUDUMA ZAO MBOVU ZILIZOJAA POROJO
 
Wewe unakaa wapi niwaelekeze waje wakusaidie maana unasema nimetumwa na TANESCO wakati mie nasema kilichonikuta
 
TANESCO wamekuwa waungwana wakati wote wakitoa taarifa kwa umma huku wakipingwa na KEY BOARD WARRIORS ila mwisho wa siku kama TANESCO walivyosema hali ingeweza kurudia kwenye uhakika wa kupata umeme mwishoni mwa Desemba 2022. Naona Mungu kasimama nao na wanafiki wanahamia kwa uhamisho wa Feitoto.
Suala la muda
 
Back
Top Bottom