umeme

  1. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, umeme ni WA grid ya Taifa unakatika masaa 5, usalama wa nchi u wapi?mwizi wa RASIRIMALI akiukata anatuua wote

    Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani. Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash? Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
  2. JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme nchi nzima ni mbinu ya kupooza maandamano ya July 7

    Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno. Kuzima umeme nchi nzima kamwe hakuwezi kuwa ni tukio la bahati mbaya wala kuhusianishwa na tangazo...
  3. JamiiForums Tanzania Pazeni sauti zenu kuna kitu kipo kwenye giza kwa kisingizio umeme

    Kuna jambo linataka kufanyika likionekana kuwa sio mtandao ila litakanushwa ni kwa umeme nawala sio wahusika. Mliopo karibu na wana CHADEMA wote mnatakiwa kuzibitiwa au kupotezwa kabla jumapili.
  4. JamiiForums Tanzania TANESCO: Gridi ya Taifa yapata hitilafu. Umeme wakatika nchi nzima - Juni 27, 2026

    Waungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo? Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme, Nini itakua sababu? ===== TANESCO wanasema hivi: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuwa leo, tarehe 27 Juni 2026, majira ya saa 01:00 usiku...
  5. JamiiForums Tanzania Gari zinazotumia umeme kujiendesha si rafiki kwa nchi za afrika.

    Teknolojia imekuja kwa kasi ila kasi ya afrika kwenye kuipokea inachangamoto kubwa. Kwa magari ya umeme nimegundua mfumo wake wa betri umewekwa chini na si rafiki kwa nchi yetu. kwa nini sio rafiki?.Embu tuangalie barabara zetu zenye mashimo,mawe,madimbwi,rafu na n.k. Kwa uvumilivu wa betri...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Mikwambe Kigamboni wanachelewesha huduma ya kuunganisha umeme makusudi

    Napenda kuwashirikisha changamoto niliyokumbana nayo wakati wa kuomba huduma ya kuunganishiwa umeme katika ofisi za TANESCO Mikwambe, Kigamboni. Kwa kifupi, ofisi hiyo ni mpya na ina mazingira mazuri, lakini huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja inaonekana kucheleweshwa kwa muda mrefu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia kuunganishiwa umeme Mpemba Songwe toka march 2026, hadi sasa June 2026 nazungushwa tu!

    Nimelipia kuunganishiwa umeme Mpemba Songwe toka march 2026 hadi June 2026 wananizingusha tu!!
  8. JamiiForums Tanzania Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

    Nadhani tumesikia bajeti mpya ilivyoongeza kodi kwenye magari yaliyotumika nje. Focus kubwa ikiwa kwenye umri wa gari na ukubwa wa engine. Ila kwa upande wa pili, ni furaha kwa wenye mpango wa kuingiza magari ya umeme. Excise Duty kwa magari ya umeme (EV) imeondolewa kabisa. (Ila Excise Duty...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majohe: Zaidi ya Masaa 24 Bila Umeme, Tanesco Hamtoi Taarifa Wala Majibu, Tatizo Nini?

    Ninaomba kuwasilisha kero yangu kwa Tanesco kuhusu hali ya umeme katika maeneo la Majohe, Dar es Salaam. Kwa muda sasa tumekuwa tukikumbana na tatizo la kukatika umeme mara kwa mara bila taarifa yoyote. Karibu kila baada ya siku mbili au tatu tunakaa siku nzima bila umeme, huku wananchi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Bagamoyo walisema kuunganishe umeme baada ya kulipia ni Siku 30, sasa wanasema siku 60

    Ninakero yangu, mkoa wa Pwani Bagamoyo Tanesco ni Kero, nimelipia kuhusu kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa nne mwanzoni 2026 hadi sasa hawajaniunganishia, kila nikiwapigia mwanzo walisema siku 30 za kazi baada ya siku 30 za kazi kupita wanasema ni siku 60 za kazi ni kerooo.
  11. JamiiForums Tanzania Swala la umeme africa bado sana kama ili tena kampuni moja inataka umeme wa nchi nzima na bado inakudai.

    Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu. Hapo ni kenya.
  12. JamiiForums Tanzania Pikipiki mpya za Umeme Verge TS, zina range hadi ya kilometa 600 kwa full charge. Bei yake hadi Tsh. Mil 130 tu!

    Verge Motorcycles, kutoka Finland maarufu kwa kutengeneza pikipiki za umeme zisio za hubs (kwahiyo haina nyororo wala belts, na motor iko connected na tyre ya nyuma direct) wamekuja na pikipiki tatu za Verge TS. Verge TS: Hii ndio base model, ina 107 hp, 0-100 kwa 4 sec, top speed 180 km/h...
  13. JamiiForums Tanzania MaSwali ya kichokonozi: Bwawa la Nyerere ? umeme toka Ethiopia? uchumi wa Tanzania umezidi kuliko USA

    Naomba kujibiwa haya maswali.Ila kubwa zaidi bwawa la Nyerere ?.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inapendekeza kusamehe kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye vifaa vya kuchajia magari ya kutumia umeme

    Serikali imependekeza hatua kadhaa za kodi kwa mwaka wa fedha 2026/27 ili kuchochea matumizi ya nishati ya umeme na gesi asilia nchini. Hatua hizo ni pamoja na kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vya vituo vya kuchaji magari ya umeme vinavyoingizwa nchini, kupunguza ushuru...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Eneo la Buswelu Center - Mwanza tuna tatizo sugu la kukatika kwa umeme, tumeripoti TANESCO ila hata hatuwaelewi

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu tatizo sugu la kukatika kwa umeme katika eneo la Buswelu Center, jijini Mwanza. Kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa, kumekuwa na changamoto kubwa ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, hasa nyakati za jioni (kuanzia saa 12 hadi saa 2 usiku). Tatizo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO nalia na nyie! Mmehalalisha wizi kupitia makato ya kodi ya pango

    Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani? Iko hivi, juzi umeme kwangu uliisha usiku, nikasema ninunue umeme wa elfu 5, ukagoma. Nikajua labda pesa haitoshi, nikiongeza elfu...
  17. JamiiForums Tanzania HOJA Kwenye umeme na mafuta....

    Tuambizeni ukweli hizo tozo na Makato hasa kwenye umeme yamezidi... Unanua umeme wa 5000/= Unapata unit za 3800/= Kuna Makato kibao rea,Vat,ewura Kwa sitaili hii kujiajiri Ni ndoto TUWENI TU MAWINGA.... UMEME WA BWAWA LA NYERERE Ulisafirishwa kwenda wapi mbona Bei YA umeme haishuki kama supply...
  18. JamiiForums Tanzania Hii idea yangu ya biashara ya Bajaji za Umeme mnaionaje?

    Habar za Leo Wana forum Nilikuwa na wazo moja la kutengeneza Bajaj za umeme, ambapo Nina fabricate mwenyew kuanzia chases, electronics, mpk programing Baada ya bajaji kukamilika mchakato wa kutafuta madereva utaanza na taratbu zitafuatwa 1.Dereva atatakiwa kuripot kazIn saa moja au mbili...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumba la kifahari, inadaiwa la Lugumi, ukipewa kuishi bure, unaweza shindwa, kumudu bili ya umeme na maji

    Sina hakika ni skendo tu nasikia ni ya LUGUMI. Kwa ukubwa inaonekana vigogo hewa wa humu jf tunaweza SHINDWA KUMUDU billi ya maji na luku, maisha haya
  20. O

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya uunganishiwaji umeme wateja wapya Tanesco-Mkuranga

    Kumekuwa na ucheleweshaji wa huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja wapya wilaya ya Mkuranga ambapo mteja anakuwa ashafata taratibu zote kwaajili ya kupata huduma ila mteja anasubirishwa Hadi miezi sita bila kupata huduma. Na ukijaribu kufatilia wanakuambia Kuna uhaba wa vitendea kazi kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…