umeme

  1. RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

    Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita. Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
  2. Hili la Umeme linatosha kuitoa serikali madarakani, Serikali ifanye jitihada za dharula kuweka hali sawa

    Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa . Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula...
  3. Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  4. Umeme umekuwa janga mkoani Kilimanjaro

    Hali ya upatikanji wa umeme mkoa wa Kilimanjaro imekuwa changamoto kubwa sana, kwa siku umeme unaweza kukatika zaidi ya mara tatu, siku nyingne umeme unakatika zaidi ya masaa 16. Mkoani kwako hali ipoje?
  5. Leo Tanesco itakuwa kuna intern kitengo cha switch ya kukata umeme. Wanakata kila baada ya nusu saa.

    Naamini kabisa leo kuna mtu anapata mafunzo kwa vitendo kwenye kitengo cha kukata umeme hapo Tanesco. Maana kila baada ya nusu saa wanakata. Nimekaa hapa nawahesabia tu.
  6. A

    DOKEZO Kero ya umeme Mbeya

    Sisi wakazi wa Isyesye iliyoko mkoa wa Mbeya tunashida moja na TANESCO, hatukatai kuna mgawo wa umeme lakini kuna kero moja inayotukwaza sana wananchi: Umeme umewekwa kwa zamu lakini cha kushangaza hata siku ambazo tunatakiwa kushinda na umeme wao wanakata. Pia wakati mwingine wanarudisha umeme...
  7. PreGE2025 Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

    Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli...
  8. Uchumi wa tujiviwanda hautegemei umeme wa uhakika

    Ukweli ni kwamba kuendesha nchi kwa mchango wa uchumi wa tujiviwanda hakuna umuhimu sana wa umeme kuwa wa uhakika. Ila kama unataka sekta ya viwanda iwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi namaanisha uchumi wa viwanda hapa kuna umuhimu mkubwa sana wa umeme kuwa wa uhakika kwa kiwango...
  9. S

    Umeme umekuwa janga la Taifa, Rais jitokeze uiambie Taifa ukweli

    Watanzania wenzangu sijaona hali mbaya ya umeme km wakati huu. Tuliambiwa ilikuwa tatizo la upungufu wa maji kutokana na ukame. Mvua imenyesha tangia mwezi wa 11 na mpaka sahivi inanyesha mpaka imekuwa kero. Lakini hakuna umeme na hali ndiyo imekuwa mbaya sana, hata km watanzania mmezoea ni...
  10. Suala la Umeme linafanya niwaze siasa

    Mimi ni wale watu ambao hawajihusishi wala kujishughulisha na kitu kinaitwa SIASA. Ni mwezi sasa hapa nilipo kumekuwa na mgao mkali sana wa Umeme. Yaani ndani ya siku 30 naweza kuwa nimepata umeme siku 5 tu (Yaan ukiunganisha unganisha mgao kufikia masaa 120-5days). Hii inanifanya nijiulize...
  11. Tanesco wamekata umeme Dar, wapi unacheki Taifa Stars vs Morroco AFCON 23?

    Je, ni njama ya wenye mabanda ya mpira na mabar?
  12. TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa. TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
  13. Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

    Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo? Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za...
  14. Kilio cha kukatika kwa umeme

    Hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara imekuwa ni changamoto inayochangia kilio kikubwa katika jamii na uendeshaji wa biashara. Kwa mfano, shughuli za biashara zinaweza kukumbwa na hasara kubwa kutokana na kukatika kwa umeme, na hii inaweza kusababisha uharibifu wa vifaa vya kielektroniki...
  15. S

    TANESCO mnafeli hasa huku mikoani, ufunguzi wa AFCON na mechi ya mapema Simba mmeshaukata umeme

    Mnashindwaje kuyachukulia uzito matukio makubwa mawili kama haya? Rais wetu Ndugu mueshimiwa mwinyi ametumia kukarabati uwanja wa Amani kwa usd kadhaa na tukio kubwa la Tanzania liko zenji mmetukatia sisi wa mikoani umeme tusokuwa na majereta tusione, mnauangusha uchumi wa blue ndugu zangu...
  16. Huu hapa muonekano wa Kichwa Mchongoko cha Treni kitakachotumika katika SGR

    https://youtu.be/h0_F13LspEI?si=Fb9vd3ROVGTv_rC2 Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  17. PreGE2025 Ziara ya Dkt. Biteko Mkoani Mtwara yasababisha mitambo ya Umeme iliyosimama kuanza uzalishaji

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Biteko mkoani Mtwara tarehe 14 na 15 Novemba 2023 imeleta matokea chanya kwani maagizo yote aliyoyatoa yameanza kufanyiwa kazi ikiwemo mitambo ya umeme ambayo ilikuwa...
  18. TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

    Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
  19. Natafuta pikipiki ya umeme (Electric scooter) used

    Offer. Kwa yeyote mwenyewe pikipiki ya umeme zile ndogo (electric scooter) used anayeiuza au hana uhitaji nayo kwa sasa na anaiuza hebu anicheki hapa nahitaji kwa matumizi ya nyumbani.. Itapendeza zaidi nikiipata dare salaam
  20. K

    Waziri Masauni lipa posho za maji na umeme kwa Askari wako

    Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge! Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi! Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…