umeme

  1. JamiiForums Tanzania Wananchi jifunzeni kuishi na serikali yenu kwa akili, usisifu umeme ambao haupatikani mtaani kwenu,

    Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Fundi wa umeme wa gari

    Naomba kuuliza fundi mzuri wa mifumo ya umeme wa gari, nina crown ambayo inanyonya battery, nimeweka battery mpya na bado imeisha charge.
  3. JamiiForums Tanzania JPM aliwezaje kusimamia TANESCO wasikate umeme ?

    Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ?
  4. JamiiForums Tanzania Responded TANESCO: Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme Imalilo (Simiyu) umechelewa kwa sababu za Kiutendaji

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  6. JamiiForums Tanzania Hatupaswi Kushangilia Umeme Unavyosambaa kwa Kasi Vijijini, Nyumba za Nyasi Zinavyopungua Idadi, Kutawanyika Kutafuta Hela

    Katika zama hizi tunazoita za maendeleo, kuna mambo mengi tunashangilia bila kuyachambua kwa undani. Tunaona fahari umeme unaposambaa hadi kijijini, nyumba za nyasi zinavyopungua, na watu wanavyohamia mijini kutafuta fedha. Lakini, je, kweli haya ni mafanikio? Au ni dalili za jamii inayokosa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Je kifaa hiki kinafaa kwa jiko la umeme?

    Naombeni ushauri!Nataka kutumia umeme kupikia!Je kifaa hicho kinafaa kwa jiko la umeme?Nina mafundi wawili hapa wanabishana balaa!Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu!!
  8. JamiiForums Tanzania Submita kata umeme

    Kuwa mjanja na submita kata. Ondoa changamoto. Jifunze namna ya kuzitumia Mita janja. Submita hizi ni nzuri sana na utainjoy sana. Endapo ukijua kuzitumia. Kumbuka submita hizi haifungwa kwa chumba kimoja Bali inafungwa kwa kila chumba au kwa kugawa makundi ya vyumba.... ukihitaji...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Naona tuko kwenye mgao mkali wa umeme Kimara kuanzia Stop Over

    Kila siku umeme unakata asubuhi unarejea saa mbili usiku hakuna taarifa hakuna lolote hii inaitwa "mtajijua" sijui kwanini tunateswa namna kwenye nchi yetu !!!
  10. JamiiForums Tanzania Mnakamatia Yesu kwenye pasi ya umeme? Huu ndio ufashisti unaofichwa kwenye kanzu ya sheria!

    Ndugu zangu Watanzania, hatuwezi kukaa kimya wakati utawala unageuza dini kuwa kisingizio cha kuua demokrasia. Tumeona sasa, kwa macho yetu wenyewe, serikali ikiamka na kiburi kama cha shetani wa jangwani, inavamia makanisa, inakandamiza maaskofu, na inadhani ina mamlaka ya kuamuru nani aseme...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO yakanusha madai ya kushirikiana na vyombo vya usalama, yasema makatizo ya umeme yanayotokea nchini huwa ya kupangwa kwa matengezo au dharula

    TAARIFA KWA UMMA UHIFADHI WA TAARIFA ZA WATEJA NA MAKATIZO YA UMEME Jumanne, 03 Juni, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwahakikishia wananchi na wateja wake kwa ujumla kuwa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai TANESCO inashirikiana na vyombo vya ulinzi na...
  12. JamiiForums Tanzania Jamani kweli hii sio kuvuja kwa umeme? Unit 28 kwa siku 6

    Mimi mke wangu na watoto wawili wadogo TV, radio, friji inawashwa mara moja moja, taa tunazima Tusaidiane jamaani mawazo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Dogo mpambanaji anataka kiwanja, kwa bei hiyo. Kuwe na huduma ya umeme
  14. JamiiForums Tanzania Mh rais huyu Razaro Twenge wa TANESCO sisi watu wa kiruvya kisarawe tumemkosea nini tangu jana hakuna umeme.

    Mh Rais Samia suluhu Hasan nakupa hongera kwa kusimamia utekelezaji wa ilani hasa suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika ila kuna tatizo pia . Tangu huyu DG mpya aingie ofisini na kuapa sisi wakati wa kiruvya, kisarawe, kwa omar,kwa sumaye ,makulunge hadi kwa masista hatuna umeme tangu...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

    Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku." Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme? Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  17. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

    Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde azindua mradi wa matumizi ya umeme wa jua mgodini igunga- Tabora

    Imeelezwa kuwa mradi unaotumia teknojia ya kisasa ya uzalishaji umeme wa jua ni mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kwa kupunguza gharama za uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 65. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Mei 18, 2025 wakati akizindua mradi wa...
  19. JamiiForums Tanzania TanesCo msipende kukata Umeme

    Habarini za sahizi watu wa humu jukwaani. Mimi nina kero na TANESCO. TANESCO msiwe mnakata umeme huku kuna watu wengine ni machizi radio vichwa vyao vimejaa stress. Umeme ukikata radio haziongei kwa hio wanaanza kuongea wao wenyewe bila kuongeleshwa na mtu. Kwa hio jitahidini umeme msiwe mnakata.
  20. JamiiForums Tanzania Tanesco! Tanesco baadae 22:00 kuna Jambo la kidunia msikate umeme

    Tunawamba tanesco wasikate umeme dunia baadae itahamia Morocco kumuangalia mnyama akitoa kipigo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…