Jmoss tulivu imewadia, nimepoa kwa shem hapa... Ila Kuna issue nataka tuongee wanabodi.
Kwanza kabisa jana Nimetoa bandiko lenye ukakasi kuhusu watu wasio na ndinga(wanao panda daladala) . Ila niseme ukweli kulikuwa na Misconception kubwa, Hakika sikutaka kudhihaki wasio na magari, nilitaka tu...