umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Urusi sijawai kuona faida yake zaidi kuongeza umaskini kwa afrika wanaomtegemea.

    Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza. Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian. Ukandamizaji wa habari na mambo yanayo fanywa kama kuwekewa sumu,kutekwa urusi sio mageni kwa kisingizio kulinda Amani...
  2. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Wenye Kupenda Kupiga Au Kusababisha Makelele Wana Asili Ya Umaskini

    Uchunguzi binafsi uliofanywa na Bey umegundua kwamba makelele ni sehemu na asili ya maskini,huko kwa watu mbao wana maisha magumu ndio wanapenda makelele Nenda kwenye nyumba au makazi ambao wanaishi wenye hela huwa hakuna makelele kabisa,kule huwezi kukuta kuna Subwoofer,kule kuna Television...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hali za watanzania kwenye kampeni zinazoendelea utaona mavazi yao sio mazuri, viatu sio vizuri, hawana nuru na wamezungukwa na umaskini

    Moja ya mambo ambayo binafsi siyapendi ni hali za watanzania zinavyotisha kimwonekano Mfano sahivi kampeni zinaendelea za vyama mbalimbali ila ukiangalia wanaosikiliza kampeni hali zao zinatisha yaani sio nzuri Nguo walizovaa sio nadhifu Vitu walivyovyaa ni vibaya Watoto ni wachafu kupita...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania CCM na Siasa ya Kuendeleza Umaskini: Uongozi au Uonevu wa Kitaasisi?

    CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni...
  6. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha umaskini kikipungua kiwango cha kustarabika huongezeka

    Jaribu tu kufuatilia hili swala utagundua. Yapi maoni yako kuhusu hili?
  7. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Elimu ni umaskini na ujinga

    Nursery miaka 2 Primary miaka 7 Secondary miaka 4 Advance miaka 2 Chuo miaka 3 Kujitolea miaka 2 Jumla miaka 20 upo shuleni leo huyu mtu ni MASKINI
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Kigoma: Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM

    Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM. Leo akina mama wakienda kujifungua wanaambiwa lete beseni, lete wembe, lete mpira, lete sindano. Walitakiwa wakivikute hospitali.” Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  9. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Huwezi elewa hata kidogo kama hujaingizwa kwenye mfumo wa hawa jamaa

    Wasalam... Mda huu nimetoka ota ndoto ya ajabu sana.. ila nasemaje Kama kijana ambaye unategemea kuja kujikwamua katika cheni ya umasikini jua Umasikini ulionao sasa hvi unasababishwa na mfumo wa sehemu husika. Hvo kupambana kwako na umaskini ni kupambana na mfumo.. Hivo kuna mawili either...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kushangilia kupewa baiskeli ni dalili kuwa watanzania tumetopea kwenye umaskini!

    Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana. Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana. Leo hii tena CCM nchi nzima...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za kiafrika zinapenda kushindanisha umaskini?

    Utasikia Bondeni au Afrika Kusini imeendelea. Mara Kenya iko juu sana ukanda huu na upuuzi mwingine mwingi. Ukiziangalia nchi za kiafrika kwa makini, zote ni wagonjwa wa kiitwacho coloniality au mabaki na makandokando ya ukoloni. Ni sawa na wadudu walio kwenye mfuko wa plastiki wakigombania...
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Mtanzania na maadui wa Mtanzania ni umaskini na Uafrika . Uchawa unaliangamiza Taifa , tuukatae kwa nguvu zote

    Uchawa unaliangamiza Taifa hakuna kusema ukweli , hakuna Uzalendo tena . Umaskini,Tamaa ,Uvivu na kupenda madaraka umefanya kuisahau Tanzania , palipo na pesa hakuna haki , hakuna kukemea ubaya na kuimba mapambio ya aliyeshika rupia . Ni lini tutaupinga kwa nguvu Uchawa na machawa wakalijua...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Sema NO kwa Umaskini, Stay Woke na Hustle Bila Kutetereka!

    Mtaani maisha ni kama jungle – ukiwa soft, unaliwa bila huruma. Vitu haviendi kwa mpangilio, hakuna guarantee ya kesho, na ukiwa na stress sana unaweza kujikuta ukibadilisha ndoto zako kuwa ndoto za kuamka. Kila kona ni shida, kila mtu anakimbiza daily survival, na wengi wamekuwa slaves wa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Waafrika wamejizolea umaarufu kwenye sifa mbaya kama wivu, fitna, kusalitiana, tamaa, rushwa, uvivu, uchawi, uzinzi na umaskini ?

    (i) wivu/husda/fitna (ii) kusalitiana/kuuzana (iii) tamaa/rushwa (iv) uvivu (v) uchawi (vi) umaskini vii) uzinzi viii) kukwepa uwajibikaji kwa kupenda kuhamisha lawama
  15. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani?

    Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani? Karibuni wadau tujadili.
  16. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni Kichaka cha Unyonyaji na Kura ni silaha ya Umaskini.

    Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Umaskini wetu sisi Watanzania ni wakujitakatia kabisa?

    Mpaka siku umati wa wananchi utakapoamka usiku wa manane ukakusanyika pamoja sehemu moja kudai mabadiliko ya Nchi. Kupata katiba mpya itakayokuwa na haki ya kupata tume huru ya uchaguzi. Kama madai waliofanya wamasai wa Ngorongoro CCM ikajua sasa kumekucha
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Umaskini unakufanya uchukie watu bila sababu

    Unaweza kutana na mtu kwa mara ya kwanza unashangaa hakupendi au kutokukubali tu. Hujamuumiza, hujamfanyia chochote kibaya. Wala sio issue ya first impression wala sio instinct, ila unakuta mtu ana kirusi cha kinyongo ndani yake, kila kitu kuhusu wewe kinamuumiza na ku-trigger ubinafsi wake...
  19. BUSINESS IDEAS ACADEMY

    JamiiForums Tanzania Kuvaa shati moja kila siku sio umaskini

    Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa. Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake. Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta pesa kwa njia za analojia umaskini uko mlangoni kwako.Pesa ziko mtandaoni.

    Kama unataka utumie nguvu zako au jasho lako kupata utajiri sahau. Kama kazi yako kusafiri na mizigo kutoa hapa kwenda kule sahau utajiri. Kama unataka ukalime mpunga sahau utajiri. Pesa ziko online. Waache walime wewe tumia mitandao kuuza hayo mazao yao . Usihangahike na mikorokoro, . USIKAE na...
Back
Top Bottom