umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cvez

    JamiiForums Tanzania "Linda utajiri wako, ogopa umasikini " Mzee Abdul

    Kauli hii wanaume tuiweke katika sehemu salama zaidi katika vichwa vyetu. Maneno ya mwisho ya Mzee Abdul kumuasa aliyekua mwanae kuhusu maisha.
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna hatua ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Kuna stage ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa. Familia masikini/fukara kuuza nyumba yao ya pekee ni pigo...
  3. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umasikini wakita mizizi zaidi Kenya: Taarifa ya Benki ya Dunia

    Hali ya UMASIKINI nchini Kenya yatajwa kuzidi kuwa mbaya sana. Hiyo inapelekea kuwa ni miongoni mwa nchi 10 Afrika zenye kiwango kikubwa cha UMASIKINI uliyotopea. Mtu anaweza kujiuliza ni kwa nini hali UMASIKINI uliokita MIZIZI iko hivyo, ilhali nchi inajipambanua kuwa ni miongoni mwa nchi...
  4. Mkaa wa mawe

    JamiiForums Tanzania Mazingira yamechangia kudumaza ufahamu wa Mwafrika

    Straight to the point. Africa ni bara lililosheheni vitu vingi vya asili vyenye thamani. Vitu ambavyo kama vingetumiwa ipasavyo na inavyotakiwa basi africa ingekuwa moja kati ya mabara yenye nguvu duniani. Africa ni moja ya bara lenye mazingira mazuri ya kuishi binadamu na asilimia kubwa ya...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo

    Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara Nchi hizo ni Nigeria (79 million) Democratic Republic of Congo (60 million)...
  6. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kyela-Mbeya: Nitatumia elimu yangu kukuza uchumi na kufuta umasikini katika nyanja zote

    NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA" KYELA- MBEYA Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/...
  7. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Iringa Mjini: Nchi hii inahitaji Rais mchumi na mwenye huruma na watanzania, mkinichagua kuwa nitafuta umasikini

    NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA" IRINGA MJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  8. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Handeni Vijijini: Hali ya maisha ya watanzania ni ngumu sana vyuma vimekaza nichagueni nifute umasikini katika nyanja zote

    HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mama achagua umasikini, Mtoto kachagua kujiua

    MAMA ACHAGUA UMASIKINI, MTOTO ACHAGUA KIFO Na, Robert Heriel Tukio la kusikitisha lililotokea Mkoani Katavi ambapo Mtoto amejiua kwa kujinyonga kisa na Mkasa ni mgogoro baina yake na Mama yake mzazi. Mtoto anashauri Mama aiache CCM na ahamie CHADEMA kwa madai kuwa CCM haijamsaidia chochote...
  10. Mkaa wa mawe

    JamiiForums Tanzania Dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika

    Straight to the topic. Africans wengi wanaamini kwenye dini kuliko chochote kile hapa duniani. Na watu wanaomini kwenye dini wanaamini wapo hapa duniani ili kumuabudu mungu tu na si kingine. Well hapa kwetu africa kuna dini kubwa mbili yaani uislamu na ukristo. Na kwenye hizo dini kubwa...
Back
Top Bottom