umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheDreamer Thebeliever

    Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  2. Mulokozi GG

    SoC01 Njia nyepesi ya kuuondoa umasikini

    Uwepo wa kila kilichopo semehu kilipo ni matokeo ya muunganiko wa mihimili kadhaa. Hivyo hivyo maisha ya binadamu katika hii dunia yanayo mihimili yake, moja kati ya mhimili wa mhimu katika haya maisha yetu ya leo unaotufanya tuishi tunavyo ishi ni uchumi. Uchumi katika ulimwengu umekuwa...
  3. K

    Ikiwa mission ya COVID-19 ni kupunguza watu, basi Demokrasia na haki za binadamu za kijinga zinatia umasikini

    Kama kweli mission ya covd ni kupunguza ongezeko la watu Duniani, basi huo ni mpango wa kidicteta uliopitiliza Kwa sababu mission hii, haibagui wema wala majambazi! Ninachotaka kusema, Wakubwa wa Dunia hii ni watu wanaocheza na akili zetu ili tusitoke mahali pa kuombaomba misaada kwao na...
  4. GENTAMYCINE

    Kama moja ya 'Literature' ya Uchumi inasema Masikini na Wajinga ni Muhimu katika 'Economy Stimulation', kwanini tunaupinga Ujinga na Umasikini?

    Katika hili lililo mezani ( nililolileta ) leo GENTAMYCINE nitakuwa Msomaji zaidi wa 'Comments' pamoja na 'Intellectual Arguments' zenu ili nami pia Kichwa changu na Ubongo wangu uimarike kwa uelewa wa Mambo makubwa, mazito na muhimu kama haya. Nataka hasa 'Critical Anaysis' zenu hapa.
  5. Miss Zomboko

    UN: Mauaji ya Albino yameongezeka kipindi cha Coronavirus kwa sababu ya Umasikini

    People being plunged into poverty during the COVID-19 pandemic has led to an increase in the killing of people with albinism, the outgoing UN appointed independent expert, Ms Ikponwosa Ero, said on Thursday. Ero stated that people had been turning to witchcraft “because of the mistaken belief...
  6. P

    Wazazi wanavyochangia umasikini

    Wazazi ni watu muhimu sana kwani wao ndio chanzo cha watoto ambao ndo utajiri wa Mungu, lakini haimaanishi kwamba kila wasemacho, wafanyacho na waamuacho ni sawa kwa sababu hua wana tabia ya kuamulia vitu watoto hao ambapo ni jambo zuri ila endapo amuzi ni sahihi. Malezi ya mtoto huonyesha...
  7. Geo C Starfish

    Lini tutafika kama Taifa?

    Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ilipofika mwaka 1964 Taifa liliamua kuungana na taifa lingine lililokuwa huru la Zanzibar na kufanya...
  8. Mr Chromium

    Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

    Sorry kwa watakao feel offended Africa kuna nchi 54. Nje ya Africa nchi ambazo zina jamii ya watu weusi Ni za visiwa vya Careebian kama Jamaika , Haiti Buhamas. Lakini zooteee hizo hamna hata nchi ambayo ni developed nation hata moja!! Matatizo ya Tanzania , Zimbabwe Congo Namibia sijui...
  9. _pirate

    SoC01 Chanzo cha Elimu kutuweka masikini

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Namueleza mchumi kama mtaalamu ambaye kesho atajua kwanini vitu alivyotabiri jana havijatokea leo. Mjasiriamali hujifunza zaidi kwenye makosa kuliko kwenye mafanikio. Uvumbuzi ndiyo msingi mkubwa wa maendeleo ya...
  10. Doctor Ngariba

    Kodi ya miamala ya simu ifutwe ama ipunguzwe; itaongeza umaskini na kupunguza ajira

    Habari JF members, Naomba turejee kauli ya Rais wetu Samia alipokuwa anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari alipoulizwa kuhusu katiba mpya na siasa za majukwaa. Simple tu alijibu dhamira yake kubwa ni kuifungua nchi kiuchumi japo katiba ni muhimu pia. Lakini kwa hali ilivyo inaonekana...
  11. L

    Mabadiliko makubwa yashuhudiwa kwa wanavijiji wa Xinjiang walioondolewa kwenye umasikini

    Nimeishi nchini China kwa miaka 13 sasa. China ni nyumbani kwetu kwa pili na ni nchi ambayo naipenda sana, nchi ambayo naishi, nafanya kazi na hata kumsomesha mwanangu. Kusema kweli najihisi mwenye bahati kuwepo hapa na kushuhudia mabadiliko ya kiwango kikubwa cha maendeleo ya kasi ya Wachina...
  12. P

    Umasikini wetu umesababishwa na wingi wa Rasilimali tulizonazo?

    Mimi najiuliza tu, Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..! Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
  13. Sky Eclat

    Kutokula nyama si umasikini ni aina tu ya maisha unayoamua kuishi

    Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi. Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
  14. P

    Ni kivipi Serikali itajiwajibisha Kwa upotevu wa mabilioni ya fedha kuhamia Dodoma kumbe ni geresha?

    Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
  15. B

    Kijana amuua mama wa kambo akidai amemroga. Umasikini ni mbaya kuliko Corona

    IN SUMMARY Grace Chacha (67), mkazi wa kijiji cha Guta Wilaya ya Bunda mkoani Mara amefariki dunia baada ya kukatwa mapanga na mwanaye wa kambo, Matiku Chacha akidaiwa ni mchawi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, Daniel Shillah amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akiahidi kutoa taarifa...
  16. Chris wood

    Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

    Kwanza niseme tu mimi ni kati ya watu, waliokuwa wakiamini betting kwa asilimia 100, nilikuwa na imani betting ndio kitu itanitoa kimaisha, kuhusu betting ulikuwa huniambii kitu, kuna ile kauli watu huwa wanasema beti kama starehe, Lakini mimi nimekuwa nikiifanya kama kazi ya kujiingizia kipato...
  17. dalalitz

    Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

    Salaam, Kuna watu huwa wanawaponda sana wenzao waliopo Ng’ambo hasa Ulaya na Marekani wakidai kuwa ni ‘Wabeba Maboksi’ tu na hawana lolote. Kituko ni kuwa ukichunguza haohao wanaoitwa Wabeba Maboksi wengi tu ‘wametoboa’ na sasa wana maisha yao mazuri huko waliko. Mwingine anaweza kunidadisi...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Umasikini hurithiwa; masikini huzaa masikini

    UMASIKINI HURITHIWA; MASIKINI HUZAA MASIKINI. Na, Robert Heriel Andiko hili linaweza lisifurahishe watu wengi hasa watu masikini, lakini huu ndio ukweli na acha niseme ukweli tuu. Hata hivyo sitakuwa wa kwanza kuusema ukweli huu kwani wahenga pia walishasemaga; Ng'ombe wa masikini hazai, na...
  19. matunduizi

    Tabia 7 za watu waliokulia katika umasikini uliokithiri kisha wakafanikiwa ghafla

    Moja kwa moja tuokoe muda maana zamani hizi watu wako bize sana na breaking nyuzzz. 1: Wanadhani utajiri ni kunyenyekewa na kila mtu. Hawa utakuta bila kupiga Magoti Ndugu, kanisa, msikiti, masikini hapewi msaada. 2: Hofu ya kupoteza ni kubwa kuliko hamasa ya kupata zaidi. Hii ilimkuta msanii...
  20. B

    Umasikini ni mbaya: Mtoto wa miaka 9 achomwa moto kwa tuhuma ya kuiba karanga Shinyanga

    Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshilikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Christina Mwagi (29) kwa tuhuma ya kumjeruhi kwa kumchoma moto sehemu mbalimbali za mwili wake mtoto wake mwenye umri wa miaka 9 akishirikiana na mme wake (baba wa kambo) Yohana Michael (34) kwa tuhuma za kuiba...
Back
Top Bottom