umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Haya ndiyo maisha halisi ya takriban 70%; bado tunapigana na ujinga, maradhi na umasikini

    Haya ndiyo maisha ya takriban 70% ya Watanzania. Bado tunapigana na maadaui tuliowarithi kwa Wakoloni miaka 60 imiyopita Ujinga, maradhi na umasikini. Mtoto anaezaliwa katika nyumba hii anategemewa akue salama, fikiria changamoto za kudhibiti mbu katika nyumba hii na uepukane na malaria...
  2. L

    FOCAC yanyanyua wakulima wa Afrika kimapato na kuondokana na umasikini

    Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), umemalizika hivi karibuni mjini Senegal, Senegal. Mkutano wa mwaka huu ni muhimu sana kwasababu umeonesha hatua kubwa zilizopigwa katika miongo miwili tangu mkutano wa kwanza ufanyike mjini Beijing mwaka 2000. Wakati ushirikiano...
  3. Rais Samia: Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi unakua kwa kasi. Tumepunguza kiwango cha umasikini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha. Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
  4. Kwanini maeneo mengi ambayo CCM ina nguvu ndio yanayoongoza kwa umasikini?

    Habari zada huu Naomba moja kwa moja niende kwenye mada maana nina ushahidi pia licha ya kwamba kama upo wanajamvi mnaweza kuuweka Katika pita pita yangu humu jf nilikutana na reply moja na ukuu "maeneo mengi ambayo CCM inanguvu ni masikini sasa" Moja kwa moja ikabidi nianze kuangalia maeneo...
  5. Familia pana tegemezi (Extended Family) ni chanzo cha umaskini kwa watu wengi nchini

    Kwa wale waliosoma Civics watakumbuka aina mojawapo ya familia ya "extended family" ambayo kwa kiswahili kisicho rasmi ni aina ya familia pana inayokusanya watu wengi zaidi ya wazazi na watoto wao. Hii ni familia inayohusisha watu wengine wengi wasio watoto wa mwenye familia. Vijana wengi...
  6. P

    Nisaidieni, umasikini wa familia unanitatiza

    Wakuu habari zenu, Naomba usiache kuchangia kwenye uzi huu ili niweze kupata msaada wa kukabili changamoto nazopitia. Case yangu iko hivi: Nina uhitaji wa kiasi cha pesa kisichopungua milioni 30. Pesa hii sina uwezo wa kuipata kwa pamoja based on my job monthly income. Lakini Kuna sense of...
  7. Bill Gates: Sipo tayari binti yangu kuolewa na masikini. Asema washinda kamari ni maskini pamoja na hela nyingi wanazoshinda

    BILL GATES AFAFANUA KWANINI BINTI YAKE HATAOLEWA NA MASIKINI: Mwandishi mmoja wa habari katika kikao kilichofanyika Marekani alimuuliza Bill Gates. Je, angekubali binti yake kuolewa na masikini? Bill Gates alijibu kama ifuatavyo: "Kwanza kabisa, elewa kuwa utajiri haimaanishi kuwa na akaunti...
  8. Sikukukataa mwanangu; Umasikini ulifanya mama yako anikimbie

    SIKUKUKATAA MWANANGU; UMASIKINI ULIFANYA MAMA YAKO ANIKIMBIE. Kwa Mkono wa, ROBERT HERIEL. © maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili. Taikon wa Fasihi Anawasilisha "Sasa nimebaki Peke yangu, hata waliowangu hawanitaki, sio wangu tena, ingawaje ni Mali yangu kiasili lakini dunia...
  9. Dalili mojawapo ya umasikini ni kufurahia tajiri anapopata matatizo

    Ni kwanini masikini huwa wanafurahi sana wakiona tajiri kapata matatizo?Nafsi zao zinasuuzika sana wakiona tajiri kapata majanga! Yaani roho fulani hivi za kichawi. Yaani badala wajifunze kwa waliofanikiwa wao kwao ni furaha eti "tumefanana". Si ajabu kuwakuta sehemu wamekaa wakiteta kwa...
  10. Mamilioni ya Watu watumbukia katika Umasikini mkubwa kutokana na janga la CoronaVirus

    Kulingana na Benki ya Dunia, kati ya Watu milioni 88 hadi 115 wanasukumwa katika Umasikini kutokana na Janga la CoronaVirus, na wengi wanapatikana Nchi za Asia Kusini na Kusini mwa Jangwa la Sahara Makadirio yanaeleza Mwaka 2021, idadi hii inatarajiwa kuongezeka kati ya milioni 143 na 163...
  11. Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

    They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree But, what can poverty buy? Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii. Hapa duniani hakuna...
  12. G

    SoC01 Umasikini chanzo cha maswaibu

    UMASIKINI CHANZO CHA MASWAIBU. Tarehe 21/07/2021 usiku wa sikukuu ya Eid-el-Hajj, ambapo baada ya shamra shamra za mchana katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Mnamo saa tano usiku tukiwa tunarejea nyumbani tukaona gari imenasa kwenye mchanga na watu wakifanya jitihada za kulinasua...
  13. Maisha bila umasikini wa fikra

    Habari karibu katika andiko hili la story for change,Lenye kuhamasisha jamii kuelimisha na kubadili mitazamo hasi kuwa chanya yenye kuleta msukumo wa jamii iliyolala katika wimbi la umasikini na kuamka katika mafanikio ya utajiri na jamii yenye kipato. Ndimi mwandishi wako Ndugu jeef george JF...
  14. SoC01 Tuorodheshe ushirikina kwenye ile vita ya Maadui Watatu...yaani sasa iwe Vita dhidi ya Maadui Ujinga, Umasikini, Maradhi na Ushirikina

    Niliwahi kuja na andiko humu nikionesha huzuni yangu juu ya Kiongozi mmoja wa juu tena mwenye hadhi ya Udaktari aliyekuwa anaithibitishia Jamii kwamba kuna Mama kutoka eneo moja la nchi aliyekuwa na uwezo wa kushambulia Maadui zake akiwatumia Nyuki kwa njia ya nguvu za giza. Kama haitoshi...
  15. SoC01 Ushuhuda wa jinsi UKIMWI ulivyotesa familia, kuongeza umasikini na mateso. Tushukuru ARV na wadau wa afya

    Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia,kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja.Misiba mingi ilikuwa ni kwa ndugu na jamaa tu wa karibu.Msiba huu wa dada yetu aliyekuwa "kichwa" na msaada mkubwa kwa familia ulitokea mwezi March 1993 wakati huo mimi nikiwa nimemaliza kidato...
  16. E

    SoC01 Amri kumi (10) za mafanikio zitakazokutoa jehanamu ya umasikini na kukupeleka pepo ya mafanikio

    Habari zenu wanafamilia wa JamiiForums? Ni imani yangu kuwa mu bukheri wa afya na mnaendelea kushiba chakula cha maandishi kinachopikwa asubuhi, mchana na jioni na waandishi chipukizi kwenye jukwaa letu pendwa la uandishi wa mtandaoni wenye kuleta mabadiliko yaani "Stories of change". Hakika...
  17. Tukubali au tukatae, chama tawala kimechoka mpaka sasa

    Watu wanasema hata umri unavyozidi kuongezeka na ufanisi unapungua. Kwa aina hii nimekaa kusikiliza mada nyingi, maoni ya watu, wachambuzi na media nyingi. Wimbi kubwa linaeleza sana kama kichwa cha habari nilivyosema. Turudie miaka iliyopita kwenye swala la uchaguzi? Hii inaonesha mfano...
  18. O

    SoC01 Ni vidogo lakini vinakera, na visipofanyiwa kazi umasikini utabaki palepale

    Sasa imekuwa kama mtindo wa maisha kwa watanzania wengi, bila kufahamu kuwa wanapoteza pesa na muda mwingi ambao ungetumika katika kujenga jamii. Baadhi ya watu hasa wa maisha ya kawaida kwa kipindi hiki wameonekana wakifanya sherehe nyingi zisizo za lazima. Nabaki najiuliza nini sababu hasa...
  19. M

    SoC01 Kagera: Jitihada za kuleta Maendeleo na kuondoa Umasikini uliokithiri

    MAENDELEO NA KAGERA Dhana ya maendeleo watu wengi huitafakari tofauti kabisa. Wataalamu wengi husema maendeleo ni ile hali ya kutoka kwenye hali duni kwenda kwenye hali bora( hali yenye unafuu kuliko ya awali) Watu wengine hudhani maendeleo ni mfano kupatikana kwa umeme, barabara safi tena za...
  20. Kama tunapokea msaada wa kuondoa umasikini ina maana tunakiri kuwa Nchini tuna Watu Masikini? Je Masikini hao nao wanatozwa tozo au wanapewa unafuu?

    Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100... Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini Nchini. Hii inamaanisha ya kuwa kama Serikali tunakiri ya kuwa Sehemu ya Wananchi wetu ni Masikini na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…