umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Tuache kufarijiana; Umasikini ni Laana, tuupige Vita

    TUACHE KUFARIJIANA; UMASIKINI NI LAANA! Anaandika, Robert Heriel Angalizo; Kama hutaki ukweli pita kushoto sio lazima usome, Kama hutaki andiko refu pita kushoto. Kama unapenda maneno matamu matamu! Pita kushoto, leo sina hayo maneno ya uongo uongo! Ukweli usemwe! Ukweli ndio utakaotuweka...
  2. P

    SoC02 Mirathi ilivyo mbolea ya umasikini na upoteaji wa asilia ya vizazi

    Moja ya majukumu yangu ni kuwasaidia wafiwa kuandaa nyaraka muhimu za mirathi na kuwapa ushauri ni namna gani wanaweza kulinda mali za wapendwa wao marehemu na haki za warithi wao kisheria pindi wanapokuwa wamefiwa ikiwemo ufunguaji na uteuzi wa wasimamizi wa mirathi. Katika utendaji wangu huu...
  3. figganigga

    Umasikini ndo unasababisha tufanye sensa za Mikingamo, wenzetu wanajua hata kama ukilala njaa

    Salaam Wakuu, Natamani kuona kila mtu akihesabiwa kwa maendeleo sawa ya nchi yetu. Ila bado nailaumu Serikali na NBS kwa kulifanya lionekane swala la Kisiasa. Wameshindwa kutumia Teknolojia kufanikisha hili swala kwa 50% siku ya kwanza badala yake siku ya kwanza wanaenda kufanyiwa Sensa watu...
  4. Mohammedy Al Hajji

    SoC02 Kujipambania kutatufanya tuondokane na umasikini

    Thamani ni Chakula, fedha ni namba huna uhakika nazo. Utajiri ni chakula, Walioamua kulima wakisema hawauzi chakula chao, sijui kama tutaweza kula hela. Chakula ndio utajiri kwa kuwa ni mfumo asilia wa kimungu. Hela sio utajiri hela ni mfumo wa namba ulioanzishwa na wasiokuwa na mali...
  5. K

    SoC02 Njia 6 zinazotumiwa na nchi za Magharibi kuiweka Afrika masikini milele

    Ngoja nikuambie kitu kitakachokushangaza,siku moja nikiwa ninarudi nyumbani jioni,baada ya kumaliza shughuli zangu za kujenga taifa, nilimuona mzee mmoja akiuza matikiti maji kandokando ya barabara .Orodha ya bei yake ilisomeka tikiti maji1 kwa TSh. 3,000 na matikiti maji 3 kwa TSh.10,000...
  6. C

    SoC02 Jinsi mila zilizopitwa na wakati zinavyochangia tatizo la ndoa katika umri mdogo na ukeketaji katika mkoa wa Mara

    Picha kwa hisani ya Haki Elimu 1. UTANGULIZI Elimu ni moja ya sekta za kipaumbele zilizoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, na katika Sera ya Mafunzo ya Elimu (ETP, 2014) ambayo Serikali imejitolea kutoa miaka 11 ya elimumsingi bila malipo kwa wote kuanzia elimu ya awali hadi...
  7. chiembe

    Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

    Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha. Hii maana yake JPM angetawala miaka 10 basi robo tatu ya watanzania...
  8. E

    Hussein Mwinyi arudi bara 2025, awe Rais wa JMT, miaka kumi tunaaga umasikini

    Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
  9. N

    SoC02 Vijana "Uchawa" ni Uchafu na Umasikini unasahaulisha ajenda zetu

    Kwenye mnakasha huu nitaangazia Ajenda za vijana na matatizo yanayo wakumba na Suluhu ya Changamoto zao. Kulingana na sensa ya 2012 vijana ndio kundi kubwa kwenye muundo wa demographic ya nchi yetu.Vijana wanachukua kwa makadilio zaidi ya 75%. "Uchawa" vijana wao huita hivyo wakiimaanisha ili...
  10. Equation x

    Nguvu inayomsukuma mwanamke kwenye mahusiano, ni umasikini

    Nguvu inayomsukuma mwanamke, kuingia kwenye mahusiano, kwa asilimia kubwa huwa ni umasikini. Wengi wanaingia kwenye mahusiano, ili kupata uhakika wa kula, kuvaa, kumiliki majengo, magari, kumiliki miradi, kupanda vyeo n.k Hawaingii kwenye mahusiano, kwa sababu ya mapenzi ya kutoka moyoni; ndio...
  11. beth

    Ripoti: Watu milioni 71 watumbukia katika umasikini ndani ya miezi 3

    Takriban Watu Milioni 71 kutoka Nchi zinazoendelea wametumbukia katika umasikini ndani ya miezi mitatu (Tangu Machi 2022). Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) inasema hali hiyo imetokana na kupanda kwa Bei za Vyakula na Nishati kutokana na Vita inayoendelea...
  12. beth

    ILO: Umasikini unachangia tatizo la ajira kwa Watoto

    Bila kuwepo Mikakati, Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa, Idadi ya Watoto wanaotumikishwa inaweza kuongezeka kwa Milioni 8.9 ifikapo mwisho wa 2022, kutokana na umasikini pamoja na kuongezeka kwa mazingira magumu Hali ya Ajira kwa Watoto inatajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi...
  13. K

    Ndugu zetu wa Kagera kwanini mkoa wenu unaongoza kwa umasikini?

    Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania. 1. Ina wasomi wengi sana 2. Ardhi nzuri 3. Ziwa kubwa 4. Mipaka ya nchi yetu mingi Pamoja ya yote hayo ni swali ya kujiuliza wenyewe watu wa huko bila kuweka lawama kwa serikali. Ukiangalia vizuri Kagera na...
  14. Jini mtuu

    Jinsi ya kuukaribisha umasikini

    JINSI YA KUUKARIBISHA UMASKINI 1. ENDEKEZA USINGIZI Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma. 2. USIPANGILIE MATUMIZI Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako, wewe zitumie tu pale unapozipata. Na zikiisha kaa chini na jifikirie umezitumiaje. 3. USIWEKE...
  15. K

    Usafi ni utamaduni sio umasikini au utajiri

    Nikuwa kwenye boma la familia yangu huko Ununio nikajiuliza. Kwanini kuna uchafu wa mazingira wakati watu wana uwezo? Ukweli ni kwamba usafi ni utamaduni na sio uwezo au hata siasa. Usafi inabidi uwe utaratibu. Hata kwenye familia yangu binafsi kwenye hilo hilo boma moja kuna familia moja kati...
  16. Part Asifiwe kilen Malila

    Zifahamu mbinu za kuondoa umasikini katika familia 👨‍👩‍👧‍👦

    Umasikini ni tatizo kubwa hususani ktk mataifa yanayoendelea kama Tanzania. Sababu za umasikini ni ujinga,maradhi , uzalishaji hafifu ktk shughuli za kiuchumi kama kilimo, viwanda na biashara. Vilevile umasikini husababishwa na mfumo mbovu wa elimu. Hoja zifuatazo zitaeleza kuhusu mbinu za...
  17. BestOfMyKind

    Umasikini na ongezeko la mishahara

    masikini ni yule anayejitahidi kutokuonekana masikini. Akipata 10000 akanywee pombe 7000, elfu 3 anunue vocha na chai kesho yake Akipata elfu 5 anunue chakula cha elfu 3, vocha mia 5 na hela ya daladala Hali hii ipo wired kwenye akili za watu katika makuzi. Umezaliwa hivyo na utakuwa hivyo...
  18. S

    SHAKA: Uamuzi wa kuwapanga Wamachinga usiwape Umasikini Wananchi

    Na Mwandishi Wetu, Kutoka Babati. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uamuzi wa serikali kuwapanga vyema wafanyabiashara wadogo hauna lengo la kuwatia umasikini bali kuwajengea mazingira mazuri ya kujiongezea kipato. Amesema kutokana...
  19. ACT Wazalendo

    Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  20. ACT Wazalendo

    Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
Back
Top Bottom