ulipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Hatua za kuchukua ukigundua kuwa ulipo kuna kamera za Siri

    Kusanya ushahidi kwa kupiga picha na kuredi video za kamera hizo ulizogundua, andika muda, tarehe na eneo ulipogundua kamera hizo. Funika kamera kwa tepe, karatasi au kitambaa bila kushika kamera hiyo ili usiache alama zako za vidole "Fingerprints" wala usiichomoe. Ondoka eneo hilo ili...
  2. W

    Tujifunze kwa Mrusi: Hizi ni njia mbalimbali za kujua kama kuna Camera za siri Sehemu ulipo

    Mamlaka nchini Kenya na Ghana zinaendelea na uchunguzi kufuatia ripoti nzito kuwa mwanaume mmoja, raia wa Urusi, aliwarekodi kwa siri wanawake wa mataifa hayo mawili wakati wakiwa faragha, na kisha kusambaza video hizo mtandaoni bila ridhaa yao. Vyombo vya habari barani Afrika na nchini Urusi...
  3. Pdidy

    Samaki Fresh toka Mwanza zimeingia leo kg 13000 ukinununua zaidi ya kg 10.. Unaletewa bure ulipo Dar

    TUPAMBANE TUKIWA HAI WAPENDWA KIJANA WETU AMEINGIA NA MZIGO.MWINGI TU WA SAMAKI TOKA MWANZA SANGARA KG 13000 UKINUNUA ZAIDI YA KG 10 UNALETEWA BURE CONT 0783 80 52 14 Past DICKSON Ukiitaji na Sato kama zitakuwa hazinaisha anakuketea ulipo Mungu awabariki
  4. Idugunde

    Humphrey Polepole popote ulipo tunakukumbuka kwa ushujaa ulioonyesha kwa ajili ya Taifa hili

    Kueleza ukweli kuwa Rais Samia na genge lake ni waovu na wameua watu wengi akiwemo hayati John Pombe Magufuli. Ufisadi wenye kinyaa. Mfano wa Angela Kiziga lakini anakumbatiwq na Rais Samia. Kuibiwa kwa Watanzania na kampuni ya Rostam kupitia gas ya kupikia. Rais mstaafu Kikwete kulazimisha...
  5. Kazanazo

    Upo wapi kwa sasa, kwanini upo hapo ulipo kwa kipindi hiki

    Leo ni tarehe 8 December hebu tuambie upo wapi kwa sasa mjini au kijijini! Kwanini upo hapo ulipo Binafsi nipo mjini naendelea na shughuli zangu kama hamna kinachoendelea nchini wewe je?
  6. President of China

    Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  7. ELI COHEN

    Sikujui wala haunijui ila popote ulipo embrace na kuwakumbatia very passionate tena kwa nguvu wana familia wako.

    Uhai ni zawadi, pumzi ni ya kuazima, ipo siku tuitarudisha. WISH U THE BEST GUYS🕊️🕊️🕊️
  8. Dr leader

    Tupeane madili popote ulipo kama una dili leta hapa

    Kahama mjini wana tupeane madili Kwa walio msalala naomba kufahamu kuhusu kilimo cha bustani inakuwaje ? Watu wa mikoa mingine kama una dili weka hapo chini. Tupeane fursa
  9. Msanii

    Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga...
  10. R

    Humphrey Polepole: Popote ulipo, naomba jibu la swali hili ukija kwenye press ya tarehe 3/9/2025 kama ulivyoahidi

    1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi. 2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza...
  11. 4

    Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

    Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi. Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k Majuzi...
  12. and 998 others

    NIDA ulipo, wapo!

    Hawa watu wapo popote ulipo Si Benki, passport hata kwenye Kura wapo. Huenda Hata Lissu aliipigia Kura veggies 2020
  13. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Simba SC yangu Ahmed Ally tafadhali popote pale ulipo nakuomba unijibu haya Maswali yangu....

    1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki? 2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa yoyote ya Matokeo ya Mechi za Pre Season huko Misri katika Page ya Simba SC ili kutowashtua...
  14. Knock life

    Byabato popote ulipo nadhani salamu umezipata na kama haujazipata nakupatia muda huu.

    Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge . Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
  15. Duh Aisee

    “Anzia Ulipo” inaweza kuwa ni moja ya ngoma kali ya Chino Kid

    https://youtu.be/Zy-ulZ9MyuU?si=Tz-O32qrJWjNpy_N
  16. papag

    Mkoa ulipo sasa hivi?

    JEE KUNA UMEME?
  17. Zemanda

    Ujumbe kwako Kijana popote ulipo

    Kijana huu ni ujumbe kwako ukufikie na ukukute katika hali ya kuelewa na usipoelewa soma tena vema uelewe. Wewe kama mtoto wa kiume unazaliwa na cheti na hadhi ya uongozi. Ndio maana baba yako huwa anasheherekea kimya kimya kujua kapata kidume na mama yako moyo wake huyeyuka kwa faraja na...
  18. Lucas mwashamba

    Ukishatambua wapi ulipokosea, wewe tubu

    Ndugu zangu watanzania ukweli Leo nimebubujikwa na machozi mengi ya furaha baada ya kuona Wana JamiiForums wenzaungu wamenisamehe na kuniona mi ni mwenzao na ukweli nimetubu dhambi zangu mana nilikuwa nimechagua njia ya uovu na Sasa nimerudi kwenye njia ya haki na naimani sitapotea Tena ndugu...
  19. Carlos The Jackal

    Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
Back
Top Bottom