. Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’
By Lazar Berman Follow
Today, 11:22 am
Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire.
“Iran broke the...
Kwanza nataka nikiri kuwa wazungu ni wajanja. Wao huwa wanaact kwa mtindo wa good cop vs bad cop. Safari hii Marekani na Israel walikuwa bad cops huku Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zikijifanya kama ziko mbali lakini behind the scenes wako pamoja.
Leo Trump ametangaza ceasefire kati ya Israel...
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA ULINZI.
Kampuni ya ulinzi ya SYNERGY SECURITY Ltd Inatangaza nafasi za kazi za ulinzi kwa vijana wakike
na wakiume, kwa sehem zifuatazo; Dodoma, Dar es salaam,Masasi, Arusha, Na Zanzibar; wenye
sifa zifuatazo;
01. Awe mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na...
Wakuu!
Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu.
Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan...
Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga.
Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa.
Kuhusu usaidizi...
Oya wadau Hivi protocal haiuhisiani na malipo ya hivi vyombo?
Kwa mfano,Katika vyombo vyote vya ulinzi JWTZ,POLICE,MAGEREZA,TISS,UHAMIAJI,ZIMAMOTO hapo chombo mama(senior force) ni JWTZ then vinafwata POLICE nk kama nilivyoviainisha hapo navovitaja.Mkuu wa JWTZ ndiye mwenyekiti wa ulinzi na...
Imechukua siku tatu tu Marekani kuingia kwenye vita kumsaidia Israel ila mpaka sasa Russia anaangakia mshirika wake anapigwa na watu kibao.
Jeshi la Marekani lina jisifu kuthibit anga ya Iran, na kusema wako vizuri. Russia uko wapi?
Siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaonya raia wa Iran waliopo mji wa Tehran kuhama mara moja kuwa kutakuwa na mashambulizi yanayoweza kufanyika katika eneo hilo amedai kuwa ba udhibiti wa anga la Iran
Kupitia mtandao wa Truth Social Trump ameandika kuwa “Marekani sasa...
Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo.
Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka.
Pia...
askari
askari polisi
dar
dar es salaam
gwajima
josephat gwajima
kanisa
kanisa gwajima
kanisa gwajima lafungwa
kanisa la askofu gwajima
makanisa ya gwajima
mkali
polisi
ubungo
ufufuo na uzima
ulinziulinzi mkali
Jana Israel ilijidanganya kuwa imepiga na kumaliza ulinzi wa anga wa Iran na kwa hivyo inaweza kufanya lolote.
Kumbe hilo lilikuwa uongo, ni mchezo ambao Iran iliucheza ili kuiingiza mkenge kwa kujifanya ulinzi wake wa anga umekwisha.
Kilichofanyika kumbe Iran ina decoys (midoli) ya air...
Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday,
June 14, 2025
Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’
By Emanuel Fabian Follow
Today, 12:16 pm
Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
🇮🇱 Israel imehamisha mifumo ya Patriot kwenda Ukraine, Balozi wa Israel nchini Ukraine Michael Brodsky amethibitisha.
"Mifumo ya Patriot tuliyowahi kupokea kutoka Marekani sasa iko Ukraine. Hii ni mifumo ya Israel iliyokuwa ikihudumu nchini Israel mwanzoni mwa miaka ya 1990. Tulikubali...
ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli.
Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself.
Hatujazoea kuona hivyo!
Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael
Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)
Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za...
Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 06 Juni, 2025 amemkabidhi Mkuu wa Majeshi wa kwanza mstaafu Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya gari jipya la kisasa aina ya Toyota VXR nyumbani kwake Arumeru nje kidogo ya Jiji la Arusha.
Akiongea muda mfupi...
Wakuu,
Nimetafakari sana nguvu kubwa na ya makusudi inayotumika kuidhoofisha kabisa Chadema tena wahusika hawana tena hata soni waziwazi.
Haya yote lengo kuu ni kukilinda chama tawala, lakini huu ulinzi mbona hauna ulinzi? Public awareness kwa yanayoendelea mbona ni sawa na kuzungusha ukuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.