Wakuu,
Nimetafakari sana nguvu kubwa na ya makusudi inayotumika kuidhoofisha kabisa Chadema tena wahusika hawana tena hata soni waziwazi.
Haya yote lengo kuu ni kukilinda chama tawala, lakini huu ulinzi mbona hauna ulinzi? Public awareness kwa yanayoendelea mbona ni sawa na kuzungusha ukuta...
Ujenzi wa sasa hauishii tu kwenye muundo wa nyumba bali unapaswa kuzingatia ulinzi na usalama wa mali zako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha nyumba yako iko salama:
🔹 Mambo Muhimu ya Ulinzi na Usalama
✅ Ufungaji wa Milango na Madirisha Imara
Tumia milango ya chuma au yenye...
Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi.
Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi
Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
Asalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu.
Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ?
Ni kwamba nje ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema uwepo wa ushirikiano wa kidiplomasia wa kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi zingine umesaidia hata watu aliowataja kutaka kufanya vurugu nchini kutoungwa mkono na nchi zao...
https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE
Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Taasisi nyingine zilizopo chini ya Wizara kutekeleza majukumu yake ipasavyo ambayo ni: ulinzi wa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine.
Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati...
"Miaka ya 4500 kabla ya Kristo, wakati jamii zilipoanza kuelimika, askari walijitolea kwa moyo wa dhati kuilinda jamii dhidi ya watu wabaya. Walikuwa ngao ya wanyonge, walinzi wa haki na utulivu.
Magenerali kama Hannibal Barca wa Karthage (Tunisia ya sasa), aliyepambana kulinda taifa lake dhidi...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
Salaam!
Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni!
Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa...
Nimesikia kwamba kwa sasa wameanza kuvaa mask ili wasitambulike na wanafuatilia mikutano ya John Heche. Napendekeza hivi:-
1. Kila mkutano unapofanyika hakikisheni kuna kikosi maalumu cha kuwalinda viongozi.
2. Ikiwa kutakuwa na mtu/watu mnaowashtukia, hakikisheni kila walinzi wenu watano...
Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu.
Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja.
-Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7
Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision
Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na...
Wakati wenzetu marekani wameanzisha jeshi la anga za juu yani us space force.
Sisi lijeshi letu bado liko karne ya 5 huko.eti cdf anafurahia mradi wa kokoto,serious?
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, amelipongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya Jeshi la Wananchi wa...
Kufuatana na hali ya kiu salama ilivyo tete hivi sasa nchini kuna kila sababu ya kuimalisha ulinzi wa watu muhimu kwa Taifa letu hasa hasa mzee Warioba.
Nasema hivi kuwa hali ya kiusalama kuwa tete kutokana na vitendo vya kihalifu vilivyowapata watu wengi hivi karibuni akiwemo father Kitima...
Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI.
Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki.
KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo.
Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana zenye 2MP
Tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha
Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk VISION...
Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa hali ya ulinzi jijini humo imeimarika kwa kiwango kikubwa tangu kabla ya Pasaka hadi sasa, na kwamba ongezeko la askari mitaani si jambo la kuwatia hofu wananchi bali ni hatua ya kulinda usalama wa wote.
Akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.