ulinzi

  1. Waufukweni

    Waziri wa Ulinzi: Waliotaka kufanya vurugu nchini, Mataifa yao hayajawasapoti

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema uwepo wa ushirikiano wa kidiplomasia wa kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi zingine umesaidia hata watu aliowataja kutaka kufanya vurugu nchini kutoungwa mkono na nchi zao...
  2. JanguKamaJangu

    Mkutano wa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Waandishi wa Habari - Dodoma, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Taasisi nyingine zilizopo chini ya Wizara kutekeleza majukumu yake ipasavyo ambayo ni: ulinzi wa...
  3. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena Tax: Walitaka kujipenyeza nchini kuleta vurugu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine. Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati...
  4. CHAGOSI GERALD

    Huwezi kuilinda amani kwa kuuwa sauti za haki. Ulinzi wa kweli unaanza pale unapoamua kuwa binadamu~si roboti wa mamlaka

    "Miaka ya 4500 kabla ya Kristo, wakati jamii zilipoanza kuelimika, askari walijitolea kwa moyo wa dhati kuilinda jamii dhidi ya watu wabaya. Walikuwa ngao ya wanyonge, walinzi wa haki na utulivu. Magenerali kama Hannibal Barca wa Karthage (Tunisia ya sasa), aliyepambana kulinda taifa lake dhidi...
  5. Roving Journalist

    Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  6. meningitis

    Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya# hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina. mfano: 1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya. 2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
  7. R

    Kwa ulinzi huu, polisi mnamtabiria Nini Tundu Lissu?

    Salaam! Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni! Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa...
  8. M

    Imarisheni ulinzi wa viongozi wetu kama wao wanavyoimarisha ulinzi wa mtu wao

    Nimesikia kwamba kwa sasa wameanza kuvaa mask ili wasitambulike na wanafuatilia mikutano ya John Heche. Napendekeza hivi:- 1. Kila mkutano unapofanyika hakikisheni kuna kikosi maalumu cha kuwalinda viongozi. 2. Ikiwa kutakuwa na mtu/watu mnaowashtukia, hakikisheni kila walinzi wenu watano...
  9. V

    Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja. -Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7 Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na...
  10. kyagata

    CDF Mkunda apongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya ya JWTZ kwa kuanzisha mradi wa kokoto

    Wakati wenzetu marekani wameanzisha jeshi la anga za juu yani us space force. Sisi lijeshi letu bado liko karne ya 5 huko.eti cdf anafurahia mradi wa kokoto,serious? Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, amelipongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya Jeshi la Wananchi wa...
  11. N

    Mzee Warioba apewe ulinzi zaidi

    Kufuatana na hali ya kiu salama ilivyo tete hivi sasa nchini kuna kila sababu ya kuimalisha ulinzi wa watu muhimu kwa Taifa letu hasa hasa mzee Warioba. Nasema hivi kuwa hali ya kiusalama kuwa tete kutokana na vitendo vya kihalifu vilivyowapata watu wengi hivi karibuni akiwemo father Kitima...
  12. R

    Wake up call -Dayosisi ya KKKT Karagwe: Imarisha ulinzi kwa Askofu Benson Bagonza

    Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI. Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki. KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
  13. V

    Je unahangaika kupata huduma ya kufunga cctv camera kwa ajili ya ulinzi wa mali zako? Karibu tukuhudumie.

    Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo. Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana zenye 2MP Tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk VISION...
  14. Genius Man

    mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  15. Just Pray

    Jumanne Muliro: Wananchi wengi Dar wanafurahia polisi kuimarisha ulinzi

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa hali ya ulinzi jijini humo imeimarika kwa kiwango kikubwa tangu kabla ya Pasaka hadi sasa, na kwamba ongezeko la askari mitaani si jambo la kuwatia hofu wananchi bali ni hatua ya kulinda usalama wa wote. Akizungumza...
  16. teetotaller

    Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi. sifa za mlinzi anaehitajika. Awe mtanzania Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta...
  17. Just Pray

    Video: Hali ilivyo Kisutu, Ulinzi umeendelea kuimarishwa

    Ulinzi umeendelea kuimarishwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuzunguka makutano yote yanayoingilia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ambako kuna kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Katika kesi hiyo inayosikilizwa leo...
  18. Gilbert A Massawe

    Ulinzi Uimarishwe Kisutu

    Kesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha Shughuli za Wananchi Zinaendelea Salama na kuepusha wale wenye nia ovu na wanapanga Kuleta Fujo...
  19. V

    Funga Cctv camera kwa ulinzi imara

    Ishi bila wasiwasi kwa kufunga Cctv camera nyumbani au ofisini kwako. Tunao ujuzi na uzoefu wa kutosha na tunafunga camera zenye ubora wa hali ya juu. Utaona picha angavu zenye rangi usiku na mchana. Tupigie kupitia simu namba 0764308320 . Karibu tukuhudumie.
  20. Webabu

    Mahmoud Abbas amechanganyikiwa. Isingekuwa ulinzi wa Israel Hamas wangemuweka ndani

    Hajielewi hata anachosema. Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas. Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa...
Back
Top Bottom