ulinzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuwe na balance kwenye idara za ulinzi vya Tanzania, itapendeza kuona nusu ya idara zinaongozwa na Wabara na nusu nyingine Wazanzibari

    Kila baada ya miaka kama 8 kuwe kuna swap, idara iliyoongozwa na Mzanzibar awekwe wa Bara na vice versa. Mfano UPANDE A Jeshi la wananchi wa Tanzania Jeshi la Magereza Idara ya Uhamiaji Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) UPANDE B Jeshi la Polisi Tanzania Usalama wa Taifa...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Houthi, Mohammed Nasser al-Atifi anapumulia mashine

    Tovuti ya Yemeni "Defense Line," ambayo inapinga Houthis, iliripoti usiku kucha ikinukuu vyanzo vyake kwamba Waziri wa Ulinzi wa Houthi, Mohammed Nasser al-Atifi, amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya sana baada ya kujeruhiwa katika shambulizi la Israeli mwishoni mwa Agosti uliolenga...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania JWTZ vyombo vya ulinzi na usalama waliokula kiapo kulinda usalama na kutetea watanzania viko wapi wakati huu watu wanatekwa na kuuawa?

    Haya majeshi sijui yaliundwa kwa ajiki ya kuitetea CCM na kuilinda serikali? Wametekwa watu mchana kweupe, Mzee Ally Kibao, na sasa Humphrey Polepole, kisa wamezungumza na wametoa maoni yao ya wazi na yenye nia njema na nchi, ila wanatekwa na majeshi yetu yapo tu! Kazi yao kufanya jogging na...
  5. fundi radio

    JamiiForums Tanzania Uthibiti wa Matumizi ya Mapanga/Machetes Nchini Tanzania

    ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu wengi wa hovyo(wasio fuata taratibu na sheria/( kujichukulia sheria mkononi)). ili jamii nzima...
  6. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Akiba Tanzania (Mgambo) watumike kwa Ulinzi kwenye maeneo ya Umma

    Habari Tanzania ! Salaam kwako Mtanzania; wewe ni mwema sana. Ninaombi ambalo limekaa kama pendekezo; Naomba kuuliza Je, ni kwanini hawa wataalamu wa Ulinzi ambao ni Jeshi la Akiba wasitumike moja kwa moja kwenye maeneo ya Umma kama sehemu ya kutoa huduma ya Ulinzi na kuimarisha Usalama kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa: Vyombo vya ulinzi na usalama visiwashambulie raia

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuacha kuwashambulia wananchi wanaojitokeza kuonesha hisia zao katika masuala yanayohusu maisha na mustakabali wa taifa. Golugwa ameyasema hayo wakati wa mazungumzo...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) linatekeleza zoezi la ajira kitaifa Oktoba

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa vyuo vikuu, Wakandarasi Maalumu, Wajibu wa Kawaida, Wafundi wa Kazi na Wanawake, pamoja na Askari wa...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump aibadili jina Wizara ya Ulinzi Marekani kuwa Wizara ya Vita

    DJT anaendelea kuwapeleka mbio Wamarekani, sasa Department of Defense(DoD) imekuwa Department of War(DoW)
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Huu ni ulinzi au udhalilishaji unaofanywa na marais wa Afrika?

    Kila alipo rais wa nchi ya Kiafrika utakuta kuna mtu amesimama nyuma yake tofauti na viongozi wa mataifa makubwa. Je, huu ni ulinzi au udhalilishaji wa kawaida utokanao na mabaki ya ukoloni na ulumbukeni mbali na ubinafsi na woga usio na sababu au ni kwa vile wanasifika kwa kutowatendea haki...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kumkamata Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.!!!

    ‼Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kwa atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez. You
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

    GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

    Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka. Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
  15. C

    JamiiForums Tanzania Eti Kwamba TANZANIA nayo ina inteligence,kwamba tunavyombo vya ulinzi na usalama vyenye uzalendo kwa Taifa lao! Hebu acheni dhihaka.

    Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana . Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Msingi wa uzalendo na uadilifu wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania ni upi?

    Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA. Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wa idara za afya na vyombo vya ulinzi na usalama

    Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi. Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kile watu wasichokijua, Hawawezi kukiharibu

    Usiwe too open kwa watu kupitiliza, tengeneza connection na sio penetration. ++JASUSI COHEN++
Back
Top Bottom